wasichana wanabore sana

Wenyewe ndio mwayataka hayo unakutana na mtu anaanza kuongea na simu oo lile kontena langu la simu liko njiani laja, mara unajua kuna yule nimemkopesha milioni tano ananizungusha na bla bla kibao unategemea nini? au mwingine anatoa simu tano tano mara kaongea na hii mara kaongea na hii mradi mashauzi tu lazima upigwe mzinga besides wanaume wa sasa usipomuomba tu utashangaa unaanza ombwa wewe

Hivi Maty, nikija na njaa njaa zangu,
nikawa nakutongoza, hivi kweli utanikubalia?
yaani nakupiga mzinga, kisha nakuomba na penzi!!!!hapo vipi?
 
hivi huwa mnafuata nini huko?
mpaka kufikia kupewa bills zote hizo,
huwa najiuliza wana nini cha maana hao mpaka uingie mfukoni kiivyo?
kama shida yako ni kugusa na kusepa, then taabu yote ya nini hiyo?

shopping ya mlimani city na karume tofauti kaka
 
Hata kama naongelea yote hayo ndo unipige kirungu?
 
hivi huwa mnafuata nini huko?
mpaka kufikia kupewa bills zote hizo,
huwa najiuliza wana nini cha maana hao mpaka uingie mfukoni kiivyo?
kama shida yako ni kugusa na kusepa, then taabu yote ya nini hiyo?

ahh kumbe nia yako ni kugusa na kusepa...NISIKUONE TENAAAAAAAAAAAAAAAA
 
shopping ya mlimani city na karume tofauti kaka

haijalishi shopping umeifanya wapi kaka,
mi najaribu kuangalia hiyo starehe unayoifuata huko ni ipi?
sioni utofauti sana katika hizo starehe, kwani mambo mengine ni kutiana presha tu!!!!!!

mbaya zaidi, unakuta unagharamika sana,
mwisho wake hata hiyo starehe inakuwa karaha tu, unapewa kwa kubaniwa, masharti kibao!tabu tupu!!!!!!!!!!
 
wooote?
nan kakudanganya wewe.....km unakutana na wa dzain iyo daily kimpango wako...BT SI MADEMU WOTE WANAPIGA MIZINGA..KM NI IVO KUSINGEKUWA NA WANAUME WANAOPENDA KULELEWA...INDPNDT WOMAN...SI WOOOTE WANAOPIGA MIZINGA WEWE ACHA USHAMBA UO KAKANGU.

KM UMEDONDOKEA pua na unakutana na wapiga miznga daily bas jichek fresh uwenda unajisifia sana so wanaoina ahhh uyu kisima cha pesa ....

Should i always remind myself why i have a big smile readn comments like ths?!totally right!.afu with respect,let them say wanawake o wasichana!mademu its too vulgar,kama how some guys walichukia kuitwa masela!..and guys wa you know me ndo wanaombwa pesa sana,!em jaribu kuwa wewe kama wewe,acha kujiboast sana,hata kama unazo jishushe tu!.atakaekupenda hvo ndo huyo huyo!ni kama guys,kuna ambao wanaomba pesa sana tu!so ni wote.
 
haijalishi shopping umeifanya wapi kaka,
mi najaribu kuangalia hiyo starehe unayoifuata huko ni ipi?
sioni utofauti sana katika hizo starehe, kwani mambo mengine ni kutiana presha tu!!!!!!

mbaya zaidi, unakuta unagharamika sana,
mwisho wake hata hiyo starehe inakuwa karaha tu, unapewa kwa kubaniwa, masharti kibao!tabu tupu!!!!!!!!!!

tehettehhee
unatoa laki saba halafu unaambiwa finishi kwikli
 
ahh kumbe nia yako ni kugusa na kusepa...NISIKUONE TENAAAAAAAAAAAAAAAA

nagonga kisha nasepa,
kwakuwa kwa mtaji huu wa kunifyonza,nikisema nikugande tu...........
unaweza ninyonya mpaka damu!
hamna huruma nyinyi!!!!!!!!!
 
tehettehhee
unatoa laki saba halafu unaambiwa finishi kwikli

Hiyo ndo tabu yenyewe kaka,
bora niende uswahilini tu!
ukimlipia kodi ya chumba miezi sita tu,
mzee una guarantee ya kula mzigo mwaka mzima!
cost effective, maximum satisfaction!!!!!!
 
Hiyo ndo tabu yenyewe kaka,
bora niende uswahilini tu!
ukimlipia kodi ya chumba miezi sita tu,
mzee una guarantee ya kula mzigo mwaka mzima!
cost effective, maximum satisfaction!!!!!!

ekzaktile...
 
Hivi Maty, nikija na njaa njaa zangu,
nikawa nakutongoza, hivi kweli utanikubalia?
yaani nakupiga mzinga, kisha nakuomba na penzi!!!!hapo vipi?

hapo pekundu kama nimekupenda lazima nikukubalie, kwenye bluu sitegemei mtu na akili zako timamu uanze kunitongoza na kunipiga mzinga hapo hapo nitakukimbiza kama mwizi hata kama nilianza kukupenda.

Na kingine unakuta unamwambia mtu hapana siwezi kua na wewe lakini anakulazimisha tu matokeo yake unampiga mzinga na mzigo humpi
 
Hiyo ndo tabu yenyewe kaka,
bora niende uswahilini tu!
ukimlipia kodi ya chumba miezi sita tu,
mzee una guarantee ya kula mzigo mwaka mzima!
cost effective, maximum satisfaction!!!!!!

Kumbe wewe bacha wafaa unalipa mpaka kodi ya nyumba? mwingine kodi halipi anakuja kukugongea kwako halafu ukimuomba hela kidogo anasema umempiga mzinga mwe!
 
Jamani kuna tabia ya mademu inanibore sana. Yani mara baada ya kumu approach hata hujafanikiwa ana anza kurusha invoice. Tabia hii ni mbaya na inauzi sana wanaume kwahiyo muache kupiga invoice kabla. Muwe tu wavumilivu you will be taken care.

Hahahahaha lazima akupime je utaweza gharama za Hotel, Lotion n.k
 
Hiyo ndo tabu yenyewe kaka,
bora niende uswahilini tu!
ukimlipia kodi ya chumba miezi sita tu,
mzee una guarantee ya kula mzigo mwaka mzima!
cost effective, maximum satisfaction!!!!!!

Mi nimeweka kambi Tandale kwa Mtogole kuna watu humu wananicheka umeona ehee
 
I am sure ukiwa mfukoni haueleweki halafu ukakiri wewe mwenyewe kwa kinywa chako, basi uje thats the last time u will be hearing from her..lol

Halafu viumbe haohao wanasema eti hawapendi pesa?!
 
Nafurai wadada wame-comment vizuri...........

1.Kama tunavyojua mwanaume akiwa anataka..............atasema lolote,sasa kuna kaka zangu wana ji-market sana,mara mimi vile mara mimi hivi,unamjengea mtu picha fulani,ndo maana hata hajakukujua jina la pili ashaleta invoice.
2.Saa nyingine wanawake hufanya hivyo just to get a man out of her life,get rid of you......hakutaki na anajua huwezi mpa hilo analotaka au utaumia ukiamua kulipa,but anafanya ili umuache.
3.Wanaume muwe mnaangalia na wadada mnaowatongoza,mapenzi si hela but lets be honest,kuna mtu si standard yako.....nilishasema tena,unakuta wewe what you can afford ni kumpeleka mdada b-bar,sijui kwa mangi kunywa pia.........dada kazoea kula marrybrown,shopping kila weekend,wewe na ka-mshahara kako ka laki nne huyo unamtaka,waga mnaonekana vituko unless dada nae anakutaka.....:car::car:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom