wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili
Unajua malaya wengi wanapenda kujifanya wsaomi wakati ni waongo. ukivhunguza unaweza kukuta ni form au six sasa ili kukukoleza anakwambia nasoma UDSM, IFM, CBE au TIA.
Kama huamini wewe fuatilia utatambua hao sio wanafunzi bali ni full malaya ambao wapo hapo club muda wote kuanzia usiku.
Hii kauli ni ya kijumla sana,ni kweli kuna wanachuo wanaojiuza tena sio Ambiance pekee bali club zote na bar kadhaa.Hilo la kuongoza sio kweli lakini cha kusikitisha zaidi kuna wanafunzi wa sekondari ambao pia hujiuza kumbi nyingi za starehe.wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili
Tatizo lipo lakini sio kubwa kama muanzisha thread anavyotaka tuamini na pia kuna element ya wazoefu kujidai nao ni wanachuo. Wanachuo wakiume wachache sio ndio hawa wanaolelewa na mashugamami mjini ? tatizo lipo kote kwa wavulana/wasichana na hamna haja ya kuwataja kinadada pekee.Hili tatizo haliko kwenye vyuo vya Tanzania tu jamani.Liko hata Ulaya na Marekan ambako wasichana hufanya hivyo kupata fedha za kuwawezesha kupata elimu!.Cha msingi ni kuelewa kwanini baadhi ya wasichana katika vyuo vya Tz hufanya hivyo maana siyo wote. Je ni kwa sababu fedha wanzopewa haziwatoshi na kama ndivyo, kwani wanafunzi wa kiume wao husoma vipi?
Ni tatizo la kimataifa!Hili tatizo haliko kwenye vyuo vya Tanzania tu jamani.Liko hata Ulaya na Marekan ambako wasichana hufanya hivyo kupata fedha za kuwawezesha kupata elimu!.
Cha msingi ni kuelewa kwanini baadhi ya wasichana katika vyuo vya Tz hufanya hivyo maana siyo wote. Je ni kwa sababu fedha wanzopewa haziwatoshi na kama ndivyo, kwani wanafunzi wa kiume wao husoma vipi?
kwan c uamuz wao! ivi we ukitaka kua shoga nani atalaumiwa?
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili