Wasichana wa UDSM, IFM ,Ustawi, CBE wanajiuza Club Ambiance

Status
Not open for further replies.
Yawezekana umeamini tu kutokana na maoni ya watu,mitazamo ya jamii pamoja na wewe unavyo amini.
Kumbuka kuna wadada wengi huko mtaani wanaenda club kutoa huduma hiyo na wanajiita wanachuo ilimradi wawezepata wateja ambao wengi wao wanaamini kuwa wanachuo ndo wazuri nani sifa kutembea na wanachuo then fanya kwanza utafiti kwa kina nikisema UMEKURUPUKA NADHANI SITAKUWA NIMEKOSEA.

Ahsante alexism kweli mshkaji amekurupuka
 
pale ohio wapo madernti kibao wa IFM, usiku utawakuta wanajifanya kuongea kiingereza ili uwaogope kumbe wapi, neno moja tu unashusha mzigo chini, aibu!!!!
 
Wengine kujiuza ni vipaji vyao. Kwahiyo hata ukiwapeleka chuo hakutaondoa vipaji vyao.
 
Kama kweli ni wanafunzi, mbona wapo muda wote hata wakati wa mitihani. Nadhani hawa ni full Changu wanjivika usomi ili kuongeza thamani.
 
hivi hamna solutions ya kuwasaidia hamuoni wanadhalilika kwani selikali halifahamu hili......jamani hii ni aibu jana nilikuwa na msichana wa ifm anasema anatafuta ada ya chuo ......

hahahaaa, "c", ulikuwa unajilia tunda, kwa mtoto wa ifm eeh?
 
Kwanini wasiende kujiuza ikulu ambapo kuna jamaa mmoja anapenda sana chovya chovya? Hata hivyo hii ni kashfa kwa taifa na ushahidi kuwa watawala wetu ni waroho na wenye roho mbaya. Wao walisomeshwa bure na Kambarage. Bila aibu wanailangua elimu kwa vile wameiba pesa ya kutosha kuwapeleka watoto wao Ulaya na Marekani tena wakapate wengine shahada za kughushi kabla ya kuwatafutia kazi huko huko ubalozini.l Shame on you all.
 
Kweli, tena ukitaka kuwa win subiri kipindi boom limekata....kuna mmoja wao nilijichukulia kiulaini...kingereza kingi mm nikajidai kifaransa ndo kinapanda mtoto akalegea. 'Eti usijefikiria mm malaya' nikamwambia ndio mama!
 
Kwanini wasiende kujiuza ikulu ambapo kuna jamaa mmoja anapenda sana chovya chovya? Hata hivyo hii ni kashfa kwa taifa na ushahidi kuwa watawala wetu ni waroho na wenye roho mbaya. Wao walisomeshwa bure na Kambarage. Bila aibu wanailangua elimu kwa vile wameiba pesa ya kutosha kuwapeleka watoto wao Ulaya na Marekani tena wakapate wengine shahada za kughushi kabla ya kuwatafutia kazi huko huko ubalozini.l Shame on you all.

Umekosa adabu wewe. Inabidi uende ukafundwe tena kabla ya kuanza maisha na uende msikitini ama kanisani kutubu. Pambafuuu
 
Ukiaminishwa na kicheche kuwa ni mwanachuo na ukiamini ujue umeibiwa. Hakuna mwanafunzi hapo. wE MUULIZE ANASOMA NINI KAMA HATAKWAMBIA ANACHUKUA KOZI YA SAYANSI KIM PALE ifm
 
Kwanini wasiende kujiuza ikulu ambapo kuna jamaa mmoja anapenda sana chovya chovya?

Jina lako linaonyesha ww ni mtu wa aina gani humu JF. JK ni sawa na baba yako hivyo huna budi kumuheshimu. Au kukupeni uhuru wa kuandika na kusema mtakayo humu JF imekuwa nongwa mpaka ufikie hatua ya kumtukana? Una ushahidi gani kuthibitisha hayo unayoyasema juu yake? Heshima ni kitu cha bure.
 
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili

Yule dada wa Stanbic nilieenda kummegea South Africa last weekend sio Malaya? Tuache kuwanyanya paa wanafunzi. Most of the girls here in Dar are ******! they will do almost anything for money, hata maofisini!
 
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili

Labda!!
Maana nasikia IFM uliwamega kishenzi!!
 
Wanayo mtaji.tatizo nini? Ngoja watoe takrima wapate elimu. ustaarabu baadae. Kwa kuwa haitaharibika sura ila itakuwa na virusi haina tabu let them do it for the sake of their education.....or they just do it celebrate 50 years of the dead Tanganyika!
 
Yule dada wa Stanbic nilieenda kummegea South Africa last weekend sio Malaya? Tuache kuwanyanya paa wanafunzi. Most of the girls here in Dar are ******! they will do almost anything for money, hata maofisini!

aiseee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom