Wasichana wa UDSM, IFM ,Ustawi, CBE wanajiuza Club Ambiance

Status
Not open for further replies.
Hivi kweli hawa wanaojiita wasoni wanafanya ukahaba bora nikapige tempo kuliko kufanya mwili kama jalala,hata hivyo atatiwa na wangap? na hata pata kiasi gani? kama si kuondoka na ukimwi yani haya ni mazuzu tu.
 
Duuuuuu! aisee kumbe unaweza kuzoa mzoga ukadhani ni msomi kumbe looooh
 
Umalaya hauna Elimu, wengine wamerithi toka kwa wazazi wao. Upo kwenye damu.
 
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili

Yawezekana umeamini tu kutokana na maoni ya watu,mitazamo ya jamii pamoja na wewe unavyo amini.
Kumbuka kuna wadada wengi huko mtaani wanaenda club kutoa huduma hiyo na wanajiita wanachuo ilimradi wawezepata wateja ambao wengi wao wanaamini kuwa wanachuo ndo wazuri nani sifa kutembea na wanachuo then fanya kwanza utafiti kwa kina nikisema UMEKURUPUKA NADHANI SITAKUWA NIMEKOSEA.
 
Hili tatizo haliko kwenye vyuo vya Tanzania tu jamani.Liko hata Ulaya na Marekan ambako wasichana hufanya hivyo kupata fedha za kuwawezesha kupata elimu!.

Cha msingi ni kuelewa kwanini baadhi ya wasichana katika vyuo vya Tz hufanya hivyo maana siyo wote. Je ni kwa sababu fedha wanzopewa haziwatoshi na kama ndivyo, kwani wanafunzi wa kiume wao husoma vipi?
 
kwan c uamuz wao! ivi we ukitaka kua shoga nani atalaumiwa?
 
jamani......ngoja niikienda ambiance club week hii nitafuatilia.....nijue kama kweli ni mwanafunzi wa ifm...na ntamuuliza course content
 
Unajua malaya wengi wanapenda kujifanya wsaomi wakati ni waongo. ukivhunguza unaweza kukuta ni form au six sasa ili kukukoleza anakwambia nasoma UDSM, IFM, CBE au TIA.
Kama huamini wewe fuatilia utatambua hao sio wanafunzi bali ni full malaya ambao wapo hapo club muda wote kuanzia usiku.

hili nalo neno.
 
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili
Hii kauli ni ya kijumla sana,ni kweli kuna wanachuo wanaojiuza tena sio Ambiance pekee bali club zote na bar kadhaa.Hilo la kuongoza sio kweli lakini cha kusikitisha zaidi kuna wanafunzi wa sekondari ambao pia hujiuza kumbi nyingi za starehe.

Hili tatizo haliko kwenye vyuo vya Tanzania tu jamani.Liko hata Ulaya na Marekan ambako wasichana hufanya hivyo kupata fedha za kuwawezesha kupata elimu!.Cha msingi ni kuelewa kwanini baadhi ya wasichana katika vyuo vya Tz hufanya hivyo maana siyo wote. Je ni kwa sababu fedha wanzopewa haziwatoshi na kama ndivyo, kwani wanafunzi wa kiume wao husoma vipi?
Tatizo lipo lakini sio kubwa kama muanzisha thread anavyotaka tuamini na pia kuna element ya wazoefu kujidai nao ni wanachuo. Wanachuo wakiume wachache sio ndio hawa wanaolelewa na mashugamami mjini ? tatizo lipo kote kwa wavulana/wasichana na hamna haja ya kuwataja kinadada pekee.
 
Wapo mchanganyiko. Wasomi wa UD,CBE, USTAWI NA IFM wanapanua sana pale. Kuna vijumba wanaviita hostel karibu na pale. Njaa inawaua na pia wanataka kula raha zaidi ya uwezo wao.
 
Hili tatizo haliko kwenye vyuo vya Tanzania tu jamani.Liko hata Ulaya na Marekan ambako wasichana hufanya hivyo kupata fedha za kuwawezesha kupata elimu!.

Cha msingi ni kuelewa kwanini baadhi ya wasichana katika vyuo vya Tz hufanya hivyo maana siyo wote. Je ni kwa sababu fedha wanzopewa haziwatoshi na kama ndivyo, kwani wanafunzi wa kiume wao husoma vipi?
Ni tatizo la kimataifa!
 
Jamani mbona sisi tunaoishi huku Morogoro hatuna bahati za kuwapata????? kama vp watuleteee huku tununue
 
Viongozi wetu hawana uungwana; huwezi kumuweka binti wa miaka 20 toka Mbeya hapo DSM IFM na ulimuahidi mkopo lakini humpi mkopo kwasababu unazozijua tena akae miezi 3 hajapata pesa. Tunawaonea sana wadogo na watoto wetu. Viongozi wa nchi hii tafadhali teueni watu wenye uchungu wa kulea familia ktk bodi hii ili wanaposhughulikia jambo hili wawe na mawazo ya kuwatendea vyema watoto hawa hata kama si wao.
 
sasa kama ada tu inatafutwa kwa ukahaba,,, wakimaliza chuo kazi wataitafutaje,. Na ajira zenyewe zilivyo tata/dume... Wajifikirie kwa kina hao wenye tabia hizo..jitihada wangezielekeza kwenye kutafuta sponsors na scholarships. ''Ukimwi upo kweli '' sote tusijisahau
 
Pia hapo maeneo ya Ohio wanafunzi kibao, wanajifanya wanazungumza kiingereza mwenzangu na mie utadhani ni matawi ya juu kumbe wapi, neno moja mzigo chali, aibu kwa taasisi hizo za elimu!!!!
 
wasichana wa ifm,udsm,cbe,ustawi ndo kundi kubwa linaloongoza kujiuza club ambiance sinza wakitafuta ada za chuo na wengine waliookosa.....mikopo hivi viongozi wa vyuo vyenu wanafahamu hili

wewe umewatambuaje? au huwa unakagua vitambulisho vyao mlangoni?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom