Wasichana kuwaitia wizi wapenzi wao (kisa cha juzi udsm). .

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Jumanne ya juzi kuna kijana mmoja alipigwa sana na kupoteza uhai udsm hall 1 kwa kuitwa mwizi.

Uchunguzi uliofanyika ulibaini yule kaka hakuwa mwizi. Alikuwa boyfriend wa mwanadada mmoja ambapo inaonekana huyo dada alikula hela ya jamaa. Kabla ya kuitwa mwizi alionekana akizungumza kwa simu kwa muda mrefu aking'ang'ani 'kuja room'. Baada ya kufika kwa mdada huyo walivutana na mwisho wa siku alimpigia kelele za mwizi. Kama kawaida ya watanzania wakampiga mawe na matofali wakaua!
 
Mwaka 2008 hall 7 kilitokea kisa kama hicho. Mwanadada aligonganisha wapenzi room saa 7 usiku. Mmoja alikuwa mwanafunzi na mwingine mtu wa off campus with his cash. Mzozo ukaibuka, dada akamwitia mwizi yule mwanafunzi! What saved him from death was the identity card he carried that day
 
Duuh?Huu ubize alafu mavuno hafifu,eti sijasikia hicho kisa akati nipo hall 2,mihangaiko ya maisha inatufanya kukosa news..Sasa mkuu huyo Mshikaji amefariki?Nijuze tafadhali.
 
Duuh?Huu ubize alafu mavuno hafifu,eti sijasikia hicho kisa akati nipo hall 2,mihangaiko ya maisha inatufanya kukosa news..Sasa mkuu huyo Mshikaji amefariki?Nijuze tafadhali.

Amefariki jamaa. . G
 
But the lady will pay 4 it throughout her life time!kusababisha m2 auwawe co jambo dogo
 
its true thing. . . Just do some little digging u will get all of that
 
alipigiwa kelele za mwizi, alifika rum akataka kuchukua vitu alivyomnunulia mdada kisa wamegomba. Nasikia nae alikula kichapo (sina uhakika kama alipona au lah)

Hiyo sikuwahi kuskia. . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom