Wasichana kuwaitia wizi wapenzi wao (kisa cha juzi udsm). .

baada ya kipigo domo la ccta do lilisikika 'ningejua nisingemwuliza hadharani' kisa pc iliyoibwa na roommate Mwenye beef na lidada hilo.
unyama zaidi bajaj iliendeshwa ili kuwezesha tofali zipoteze
ile roho upesi.
 
Duh, ulishuhudia vyema mkuu? Tujuze bana. . . .
 
i was there too n aile ya Mabibo pia
Mwaka 2008 hall 7 kilitokea kisa kama hicho. Mwanadada aligonganisha wapenzi room saa 7 usiku. Mmoja alikuwa mwanafunzi na mwingine mtu wa off campus with his cash. Mzozo ukaibuka, dada akamwitia mwizi yule mwanafunzi! What saved him from death was the identity card he carried that day
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom