Wasichana kuwaitia wizi wapenzi wao (kisa cha juzi udsm). .

so sad. . .

Na nyie wanaume, pesa kitu gani bana una uwezo wa kuzitafuta issue nyingine sio za kung'ang'ania hata.....
 
Ilishatokea mwaka 2007/8 kula mabibo, mdada wa
Muhimbili alimwitia mwizi b/f wake, waungwana
wakaja wakashusha kipondo cha nguvu. Masikini
walojua uhusiano wa wawili hao walipowajulisha wapigaji
ilikuwa too late to save his life. Alifariki pale pale
dispensary ya hostel ya mabibo

Mdada alifunguliwa kesi ya mauaji, sijui iliishia wapi. ilibidi
ahame hostel na shule pia nasikia aliacha
 
Jamani.......ajamani........Huu utamu utatumaliza.
Inasononesha, inasikitisha na inauma kuona damu ya mtu asiye na hatia anaangamia pasipo sababu!
 
Jumanne ya juzi kuna kijana mmoja alipigwa sana na kupoteza uhai udsm hall 1 kwa kuitwa mwizi.

Uchunguzi uliofanyika ulibaini yule kaka hakuwa mwizi. Alikuwa boyfriend wa mwanadada mmoja ambapo inaonekana huyo dada alikula hela ya jamaa. Kabla ya kuitwa mwizi alionekana akizungumza kwa simu kwa muda mrefu aking'ang'ani 'kuja room'. Baada ya kufika kwa mdada huyo walivutana na mwisho wa siku alimpigia kelele za mwizi. Kama kawaida ya watanzania wakampiga mawe na matofali wakaua!

Sasa huyo dada ameweka danguro la kuzia mwili wake hapo chuoni ?hayo ndiyo matatizo ya kulipa in advance .
 
Mimi nakumbuka Mabibo Hostel 2006, Jamaa aliitiwa mwezi na mwanamke, watu wakaanza kumpiga bahati nzuri jamaa akadondosha ID ndo watu wakajua Mwanafunzi mwenzio na alikuwa mpenzi wa yule mwanamke, wanafunzi wakiume wakavamia block A na B, mpaka defender zikaja.

Mkuu,mbona mi nakumbuka the same case nadhani 2007/08 jamaa alikua msabato,ilikua ni Mabibo hostel
 
Mimi nakumbuka Mabibo Hostel 2006, Jamaa aliitiwa mwezi na mwanamke, watu wakaanza kumpiga bahati nzuri jamaa akadondosha ID ndo watu wakajua Mwanafunzi mwenzio na alikuwa mpenzi wa yule mwanamke, wanafunzi wakiume wakavamia block A na B, mpaka defender zikaja.

Hii sinema naikumbuka mkuu jamaa alitepeteta kwelikweli n haikuwa fair maana jamaa alikuwa anatupwa kwenye ngazi kama kiroba. Lakini kiliwaka vioo vikashushwa na mawe warden akajifungia kwake wakaona sio tabu wakamshushia mafuriko ya maji ndani mwake.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom