Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Mimi tayari nimeisha ingizwa mjini ingawa mimi nimenunua galax 4 kwa laki tatu na nusu. Ki muonekano haina tofauti na hata ukitumia *#0*# mambo yanakubali lakini inakosa kitu kimoja sensor ambayo galax original inayo.
. Inaweza kuwa ni original ila ni version tofauti, zote zinaweza kuwa galaxy 4. ingia Link ya IMEI ujirizishe
 
Kupata IMEI type *#06# alafu piga...Number 15 za mwanzo ni IMEI number ya simu yako...Au fungua simu toa betri utaiona imeandikwa kwenye label.
 
Ilikuwa na uhakika na samsung original nunua Maduka ya Samsung Official kama express. Utapata na warantee ya miaka 2 hapa hapa Tz.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
SIO KWELI, HAKUNA SAMSUNG FAKE INAYOKUBALI TESTING CODE *#0*#. Ataiga vyote lakini hiyo hatajaribu kwakuwa ni agreements zinazombana kibiashara ili kulinda origin brand . Angalia hata kwa NOKIA- hakuna FAKE ITAKAYO RESPOND KWA TESTING CODE YA *#0000#. HAYO MADOIDO YOOOTE SEMENI KUWA ANA COPY. Nakama yupo mwenye fake inayo respond hiyo code basi sema na kama ni kweli Basi hiyo fake itakuwa imetengenezwa huko tz. Pia isije mtu kauziwa simu ambazo zilizejeshwa ndani ya terms of guarantee kama wanavyofanya wafanya biashara wengi wa kati hata kama ni original hasa kwakuona usumbufu kurejesha kwa manufactural.

zipo galaxy s4 mini feki zinakubali hiyo code, simu ni clone kabisa,kwanza haina sensor kama inavyotakiwa kwenye galaxy s4,pili quality za picture ni mbaya sana,internal memory ni ndogo, display sio ya galaxy kabisa but hiyo LCD test code inakubali
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg

Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

Asante Chief.
Sie wengine tunaukwaa tu mduka ya simu. Now at least naweza kubabaisha kama najua vile... nisigongwe.
Asante mkuu.
 
Chief mkwawa naomba usikariri mamb.! Usione kitu kinauzwa bei ya juu ukadhn ndo original utakuja kutapeliwa hapa mjini..!!
Watu tunatoa sim original mombasa nairobi kwa bei cheee..!! We unashangaa s4 kuuzwa chini ya milion wkt note 3 zilizotoka tunauzwa kwa bei cheee..!!
ukinunua sim kwa bei ghali dukan usidhan ndo bei yake halisi pale kaweka cost kibao mpka ikafka vile
Sisi tunaouza used tunaelewa soko la used likoje..!!
Mfano mzur kuna mtu aliend kununua nokia e72 mliman city 425,000 sasa anataka auze baada ya mwaka kuichoka akaniletea mm nkamtel hyo kwa vile bado mpya mpya tunauza kwa 180 mpka 150 jamaa akasema nauza 350 mwsh..!! Nkamtel kwa mtoto wa mjin huwez kuuza hvy labda utafute mtu ambaye hajui soko la used. .!!
So nakuonyesha kua kitu cha bei ghali dukan kwa mtaan n bei chee na wala usiseme n mchna..!!
Watch out usije ukapewa s4 mchna kwa 1.1m ukasema original utaumia bro
 
kabla hujanijibu mimi jifunze kusoma tarehe.
 
press *#0000#.....zitatokea IMEI no...no ya saba lazima iwe zero...kama sio zero simu yako ni clone
 
zipo nyingi tu feki sema zinagundulika kirahisi
1. ukitype hairespond vizuri kila saa unakosea au ukitouch namba haifany kitu
2. zinatumia line kubwa badala ya ndogo
3. hazina playstore ya kudownload apps
4. zina java apps wakati iphone haina java
5. ukiclick browser ya safari inakuletea uc browser
6. nyengine zina memory card wakati iphone haitumii memory card
7. zina usb cable universal ya kawaida kama nokia, samsung wakati iphone cable yake ni unique
8. mandishi mandishi ya kichina unayakuta baadhi ya maeneo wakati kwengine ni kingereza

Watanzania tuache kukariri.Mmeambiwa na nani au kwa ushaidi gani kwamba simu zote za kichina ni bomu au feki.
inatosha kuelezea kwamba simu aina ya XY kutoka labda Uk ni bora kuliko simu aina hiyo hiyo kutoka china kwa sababu kadha wa kadha.mbona uelezi issue ya matumizi unaongelea specification tu.

vinginevyo sipendi namna mnavyo-generalize mambo. Tubadilike jamani.
 
na we ni muuzaji wa simu fake? unajua watu wangapi washapigwa na radi kwa kutumia simu fake za kichina? sawa utasema matumizi zinatosha ila unajua wanatumia nini kutengeneza? je kama ni mabaki ya nyuklia ukaanza kuzaa watoto matahira?
 
Rudi shule wewe!
 
Je..kutumia hizi code, hazisaidii
*#1234# (View SW Version PDA, CSC, MODEM)
*#0*# (General Test Mode)
*#12580369# (SW & HW Info)
*#197328640# (Service Mode)
*#0228# (ADC Reading)
*#32489# (Ciphering Info)
*#232337# (Bluetooth Address)
*#232331# (Bluetooth Test Mode)
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg

Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

Mkuu Mkwawa. Jana siku nilikuwa nacharge galaxy 4 yangu ikiwa off. nilipoiwasha ikaniandikia Safe mode. Network ya internet ikawa hakuna. Applications zote zikapotea acha nipanic! Nikashindwa kuitoa hiyo mode. ila nilipozima na kuwasha ikarudia hali yake ya kawaida. What is that Safe Mode?
 
safe mode kwenye android inatokea pale app inapojaribu kuchange system files yenyewe hivyo os inajiweka safe mode ili kudisable app zote na kuondoa madhara.
 
Back
Top Bottom