Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

inawezekana ndio ila si halali kisheria TCRA wameshatangaza ukikamatwa fine milioni 10
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kutusaidia kujua simu za kweli na uongo,mimi kuna mtu kuniuzia note 3 ukiiwasha ina display neno SM 900 NOTE 3 je ni kweli ni note 3?
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kutusaidia kujua simu za kweli na uongo,mimi kuna mtu kuniuzia note 3 ukiiwasha ina display neno SM 900 NOTE 3 je ni kweli ni note 3?
mkuu kuandikA hivyo hakuthibitishi lolote kua ni original au fake, download cpu z halafu fungua compare specs zake na za gsmarena
 
67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom