Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

Attachments

  • 1403105241701.jpg
    1403105241701.jpg
    31.3 KB · Views: 793
Je..kutumia hizi code, hazisaidii
*#1234# (View SW Version PDA, CSC, MODEM)
*#0*# (General Test Mode)
*#12580369# (SW & HW Info)
*#197328640# (Service Mode)
*#0228# (ADC Reading)
*#32489# (Ciphering Info)
*#232337# (Bluetooth Address)
*#232331# (Bluetooth Test Mode)

hata mimi nasubiri wajibu hili ila hakuna anaejibu.
 
hata mimi nasubiri wajibu hili ila hakuna anaejibu.

kwenye programming kila.kitu kinawezekana. hata zile feki zinaweza kukubali hizo code endapo mtengenezaji ataamua kuzi consider. cha muhimu ili kujua simu original ni kutumia akili zaidi kuliko kutumia theory za wengine. check camera quality, sound quality ,weight, touch sensitivity quality, display quality, headset quality, other accessories quality.........
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg

Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!

samahani, nauliza antutu ni nini?
 
GONGO iite KONYAGI feki.
kinachofanya gongo iwe be poa ni gharama nafuu za utengenazaji.
kinachofanya konyagi iuzwe bei mbaya zaidi ya gongo ni gharama za logo ya TBS. Athari zake kwenye ubongo, maini, na figo ni zilezile.
mfano mzuri, lakini usiufananishe na simu feki na origino
 
Ila wabongo waache kupenda vitu vya bei rahisi rahisi haya matatizo yataisha. We simu inatangazwa mil. 1.5 Mtu anakuuzia laki 7 unaona poa tu, kweli? Mimi vitu vya bei rahisi kwangu huwa vina theory tatu kama ifuatavyo

  1. Mwenye nacho ana shida sana hela hivyo imebidi ashushe sana bei (Ni rahisi kujua hili maana mtu hawezi kuwa na shida na hela halafu awe na simu tatu zote mpya)
  2. Ni bidhaa ya wizi (Sinunui vitu vya wizi kwa hiyo biashara hamna hapo).
  3. Ni fake (Sinunui feki hadi pale ninapoamua kwa sababu maalum na kwa maana hiyo gharama lazima iwe ndogo sana kulinganisha na genuine product)
 
samahani, nauliza antutu ni nini?

Ni benchmark za kupima nguvu ya simu. Jinsi namba zinavyokuwa kubwa ndio jinsi simu inavyokuwa na nguvu.

Ila siku hizi ni useless sababu watengeneza simu wanacheat sana simu inaweza kupa namba kubwa ukaiona Ina nguvu kumbe haina nguvu
 
Jamani nipo nje ya hiyo mada simu ya aina ya ACER inauzwaje bongo.simu original. Jibu ajuwae tafathali.na kuna fake pia zinauzwaje??.Asante.
 
Umeona wapi Galaxy S4 ikauzwa chini ya milioni 1? Nilishangaa sana nilipoona hizi galaxies zikiuzwa cheap sana mwanzo nilifikiri wanaiba ila sasa nimekuja kugundua kumbe ni za kichina ila mchina huu ni balaa kwa macho ya kawaida huwezi kugundua hadi ufikirishe kichwa sana.

sgs4-fake

hio picha hapo juu ni ya galaxy s4 fake ya kichina
hebu tuangalie specificatio za galaxy s4 ya kichina na original.

specification za galaxy s4 origial
Processor: Quadcore snapdragon 600 1.9 ghz
RAM: 2gb
Kioo: inch 5
OS version: Android jelly bean 4.22
na benchmark za antutu zipo hivi

Samsung-Galaxy-S4-AnTuTu-3.3.jpg

Specification za galaxy s4 ya kichina
Processor: mediatek 1ghz quadcore
RAM: 1gb
Kioo: 5inch
OS version: Android jellybean 4.22

Kwa macho ya kawaida huwezi tofautisha perfomance even nilirun antutu kwenye galaxy s4 ya kichina ilifika 22,000

So nawatahadharisha wabongo kuwa makini na simu za bei rahisi na kujiona wamepata simu kali kwa bei rahisi.vitu vifuatavyo ufanye kuitambua simu hizi za kichina.

1. Camera Quality: Hata ikija na camera 13mp simu ya kichina itatoa picha vibaya hakikisha unapiga picha mbili tatu kujua quality
2. Download application yoyote ya benchmark, antutu ni nzuri pima score za simu yako kwenye proccessor, gpu na jinsi inavyo-render graphic kujua kama itascore kama galaxy original. score original zipo kibao online.
3. Charger yake usb na earphone hazina quality ya flagship

Je, zinafaa kununa hizo za kichina?
Sio mbaya kununua hizi clone za kichina lakini hazi-deserve kuuzwa hela nyingi. Simu kama hii yenye quadcore 1ghz ina-deserve around 300,000 hadi 400,000!

So, muwe makini wana JMF!
CHIEF MKWAWA kwa mfano unapoenda dukani nitajuaje all these sort of things sjui cera nipige picha manake zipo ktk boks unaziona tu had uwashe ndo ujue na wakat huo unakua ushanunua that means imekula kwako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom