~::Waridi la Penzi::~

Pretty za shigongo mbaya sana zina uongo mwiiiiiiiiiingi sijui anazitoa wapi aisee ..zina vitu visivyosadikika kabisa labda ajaribu kupunguza na kuweka uhalisia

.....Shigongo siku hizi ndio kaharibu, nakumbuka siku za mwanzoni alikuwa ana hadithi nzuri. Kuna ile hadithi ya siku za mwisho wa uhai wangu..........ilikuwa nzuri atiiii!! Lakini siku hizi ovyo tu, nilishaachaga hata kusoma hadithi zake.
 
ngoja tusubiri za mwanakijiji tuone .
 
MM hadithi yako ni nzuri sana! nilipoiona niliona ni ndefu ikaanza kunikatisha tamaa. Nilipoanza kusoma, kila nikimaliza sentensi moja nyingine inaita! nimesoma mfululizo hadi kumaliza kwa muda mfupi tu. BIG UP MM!
Ni somo pia kwetu - hivi nampelekea "jamaa home" asome naamini ataambulia somo japo kidogo!
 
mama wee!!! kikikugeukia miye simo!
 
.....Shigongo siku hizi ndio kaharibu, nakumbuka siku za mwanzoni alikuwa ana hadithi nzuri. Kuna ile hadithi ya siku za mwisho wa uhai wangu..........ilikuwa nzuri atiiii!! Lakini siku hizi ovyo tu, nilishaachaga hata kusoma hadithi zake.

Ni kweli. Na kinachoharibu hadithi za Shigongo siku hizi ni wingi wake! Huwezi kuwa na magazeti saba halafu yote ya hadithi tofauti kwa mwaka mzima!

Siku nilipoacha kusoma hadithi za Shigongo ni pale nilipoanza kusoama hadithi mojawapo inazungumzika mwaka 1977 halafu eti muhusika anaendesha Landcruiser VX....!!! Yaani Tanzania hii mwaka 1977 kulikuwa na Landcruiser VX jamani? Hat huko Japan haikuwepo!
 
jukwaa la mapenzi limeingiliwa! Mzee M, wewe ni kichwa sana! Big up!
 
HAHAHA mie namkumbuka huyu kuna web moja miaka kadhaa iliyopita tulikuwa naye katika jukwaa moja na hadithi zake zilikuwa balaa
big up sana ...sijui kijana /mzee ?
 
Yah,mi ni msomi mzuri sana wa hadithi,na mpaka sasa kuna watunzi ambao nimekuwa nikiwaheshimu sana kwa riwaya zao kama BEN MTOBWA(R.I.P) na vitabu vyake kama tutarudi na roho zetu,najisikia kuua tena,nyuma ya pazia,mtambo wa mauti,Salamu kutoka kuzimu;MUSIBA na kisasi,hofu,gongo la chuma,njama,HUSSEIN TUWA na mkimbizi,mtuhumiwa,mdunguaji.Hao jamaa ukisoma vitabu vyao lazima mwili usisimke,vinatia hari ya mapinduzi,moyo wa uzalendo,moyo wa kuipenda nchi yako.Niliumia sana alivyofariki Mtobwa maana nilijua wanaisha na hawaibuki wengine,lakini nilifarijika nilivyoanza kuviona vitabu vya Hussein Tuwa.Ukiangali makala nyingi sana za MWANAKIJIJI utaona ni jinsi gani alivyo na moyo wa kizalendo,nimesoma hadithi yake hiyo juu pamoja ni ya mapenzi lakini waweza kuona utaalamu na umahili wake unaopelekea kumfanya msomaji asikiweke chini kitabu na asahau mambo mengine.Mi nadhani kwa Ushauri wangu kwa Mwanakijiji atunge vitabu vingi vitakavyolenga kumpa hari kijana yeyote wa kitanzania achukie Rushwa,apende nchi yake,Awe tayari kufa kwa nchi yake na aviingize sokono kwa wingi.Nasema hivi cuz mimi ni zao la vitabu hivi vya akina Mtobwa,namshukuru uncle wangu kwa kuniletea vitabu hivi tangu nikiwa la kwanza(cuz they made me who i am now).
 
“Suma, nakupenda” Alijikuta akisema bila hata kujua kweli alimaanisha au alikuwa amezidiwa na mfadhaiko. Suma akitumia kidole chake cha pili alimfunga mdomo na kumwambia “shhhhhh”. Sospeter alijikuta amekuwa na ububu wa ghafla. Kabla hajajua kilichoendelea, Suma allichuchumaa mbele yake, huku akizurusha nywele zake nyuma, kama mtumbuiza nyoka, alilichukua joka hilo, na kuliingiza mdomoni mwake. Kwa ufundi uliokubuhu, alianza kulipa burudani ya mwaka. Suma alifanya ufundi wake kwa joka hilo na kabla huyo chatu hajatema sumu yake alimchomoa mdomoni. Kichwa cha chatu huyo kilikuwa kimetuna, huku mrenda mrenda ukiwa unachuruzika. Suma alisogea kidogo na kuteremsha suruali na nguo ya ndani aliyekuwa amevaa hadi mguuni na kuchomoa mguu mmoja na kuuweka upande. Kwa mikono yake miwili aliinamia dawati, huku akishikilia kiti cha dawati hilo makalio yake akiwa ameyabong’oa. alinama kama anachuma mboga. Sospeter hakufanya ajizi, kama morani wa kimasai, alitupa mkuki wake wa raha, uliokita kunakotakiwa kwa ulaini kama kisu kikichomekwa kwenye siagi. Suma, nusura adondoke.

nimekipenda kipengele hiki mkuu uwezi kutunga kitabu
 
Yah,mi ni msomi mzuri sana wa hadithi,na mpaka sasa kuna watunzi ambao nimekuwa nikiwaheshimu sana kwa riwaya zao kama BEN MTOBWA(R.I.P) na vitabu vyake kama tutarudi na roho zetu,najisikia kuua tena,nyuma ya pazia,mtambo wa mauti,Salamu kutoka kuzimu;MUSIBA na kisasi,hofu,gongo la chuma,njama,HUSSEIN TUWA na mkimbizi,mtuhumiwa,mdunguaji.Hao jamaa ukisoma vitabu vyao lazima mwili usisimke,vinatia hari ya mapinduzi,moyo wa uzalendo,moyo wa kuipenda nchi yako.Niliumia sana alivyofariki Mtobwa maana nilijua wanaisha na hawaibuki wengine,lakini nilifarijika nilivyoanza kuviona vitabu vya Hussein Tuwa.Ukiangali makala nyingi sana za MWANAKIJIJI utaona ni jinsi gani alivyo na moyo wa kizalendo,nimesoma hadithi yake hiyo juu pamoja ni ya mapenzi lakini waweza kuona utaalamu na umahili wake unaopelekea kumfanya msomaji asikiweke chini kitabu na asahau mambo mengine.Mi nadhani kwa Ushauri wangu kwa Mwanakijiji atunge vitabu vingi vitakavyolenga kumpa hari kijana yeyote wa kitanzania achukie Rushwa,apende nchi yake,Awe tayari kufa kwa nchi yake na aviingize sokono kwa wingi.Nasema hivi cuz mimi ni zao la vitabu hivi vya akina Mtobwa,namshukuru uncle wangu kwa kuniletea vitabu hivi tangu nikiwa la kwanza(cuz they made me who i am now).

Mmmh! Vitabu vya Musiba vyote nimevisoma. Hicho cha Gongo la Chuma sijawahi hata kukisikia! Una uhakika ni cha Musiba nikakitafute sasa hivi ninapokwenda lanchi?
 
yah ni kweli,nilikosea mkuu ni kwenye njama ndo kuna kundi la maharamia lililokuwa likijiita gongo la chuma.
 
Jamani mi pia hicho cha gongo la chuma ndo nakisikia

FL1, Hassani ameshatoa maelezo hapo juu kwamba gongo la chuma likuwa kundi la maharamia kwenye kitabu cha Njama!

Haya sasa THREADS POSTPONED WAPWA NA BINAMUZI....Leo Happy Hour ni wapi?
 
Yah,mi ni msomi mzuri sana wa hadithi,na mpaka sasa kuna watunzi ambao nimekuwa nikiwaheshimu sana kwa riwaya zao kama BEN MTOBWA(R.I.P) na vitabu vyake kama tutarudi na roho zetu,najisikia kuua tena,nyuma ya pazia,mtambo wa mauti,Salamu kutoka kuzimu;MUSIBA na kisasi,hofu,gongo la chuma,njama,HUSSEIN TUWA na mkimbizi,mtuhumiwa,mdunguaji.Hao jamaa ukisoma vitabu vyao lazima mwili usisimke,vinatia hari ya mapinduzi,moyo wa uzalendo,moyo wa kuipenda nchi yako.Niliumia sana alivyofariki Mtobwa maana nilijua wanaisha na hawaibuki wengine,lakini nilifarijika nilivyoanza kuviona vitabu vya Hussein Tuwa.Ukiangali makala nyingi sana za MWANAKIJIJI utaona ni jinsi gani alivyo na moyo wa kizalendo,nimesoma hadithi yake hiyo juu pamoja ni ya mapenzi lakini waweza kuona utaalamu na umahili wake unaopelekea kumfanya msomaji asikiweke chini kitabu na asahau mambo mengine.Mi nadhani kwa Ushauri wangu kwa Mwanakijiji atunge vitabu vingi vitakavyolenga kumpa hari kijana yeyote wa kitanzania achukie Rushwa,apende nchi yake,Awe tayari kufa kwa nchi yake na aviingize sokono kwa wingi.Nasema hivi cuz mimi ni zao la vitabu hivi vya akina Mtobwa,namshukuru uncle wangu kwa kuniletea vitabu hivi tangu nikiwa la kwanza(cuz they made me who i am now).

Hassan.. hakuna mtu aliyenichochea kuingia katika mambo ya utunzi kama Ben R. Mtobwa (marehemu); kuanzia "malaika wa shetani", "Roho mkononi", n.k

Sasa hivi siandiki sana vitabu vya mapenzi ila vya stori mbalimbali ambamo mapenzi ni sehemu tu ya maisha...
 
Back
Top Bottom