~::Waridi la Penzi::~

tamu kweli kweli ......
yap nasubiri kipande kingene kwa
hamu sana ....... Anzisha online BOOK SHOP please
thank you .....
 
Thax stay blessed mchana weka nyingine tena lunch time
 
Hongera sana Mzee Mwanakijiji. Tunakuomba kwa dhati kabisa ututendee haki kwa kuandika vitabu na kutuuzia. Fanya juu chini tunakutegemea!
 
Dah, story tamu sana, tena hiyo style ya frash back nimeipenda zaidi. Natumaini wengi wetu tumeifurahia basi ni ombi tu kwa wale watunzi wa story sio mbaya kuwa mnatupa burudani kama hizi hata mara moja kwa wiki. Thankx Mwanakijiji.
 
Zamani nilikuwa ninapenda hadithi ndefu sana lakini hii JF imeniharibu siku hizi riwaya ndefu hata siwezi kusoma tena..........................ila zile fupifupi tu..............
 
Ladies and Gentlemen..........................our hero is Back!......................nitapita baadaye wacha nitumikie mkoloni kwanza
 
mwanzoni nilipokuwa nasoma hii story nilijijengea mazingira ya kuwafahamu sosi na suma kwa sababu mimi mwenyewe nimesoma huko karatu sekondari miaka hiyo, dah tamu kweli kweli, nahisi we mzee m ni jiniaz
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom