Hiyo ndio miujiza ya Tanzania.Hebu waulizwe labda wao wamepewa na DPW kopi ilioandikwa kiarabu na inawezekana tunasoma vitu viwili tofauti kwa Sharia law huruhusiwi kufanya mikataba ya dhuluma na hata bank kutaka riba ni haramu.
DP wangekuwa na hofu ya alllah wangesitisha na kuungana na maskini, lakini wapo kimaslahi, hawajali, waliolambishwa nai hawajali, Maulid, Mwijaku, na chawa wengine.
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Hao ni mashoga tu hamna kitu pale TV imani
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
How do they know? Kama kilichosomwa ni msimamo wa TEC na ni maoni na mapendekezo yao, what's wrong with that. Yaani hao jamaa wanapinga tu kwa sababu waraka uliosomwa ni wa upande huu si upande wao.
 
Huwa nikiwaambia Muislam Hana Akili, muwe mnanielewa.

Hawa wanaelimu ya udini inayowaambia ,Nje ya Uislam wee ni kafiri, na kwamba ,unatakiwa kufaaaaa hata Kwa kujilipua kumtetea Muislam mwenzako.

Siunaona Sasa ? Hapa tunazungumzia Mkataba, wao wanaleta habari ya Samia, ana huruma, Mara Magufuli katili.

Sawa Magufuli katili, je angeruhusu Huu Upumbavu wa DPW???.

Hawa watu ni wajinga sanaa
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Mashekhe timizeni wajibu wenu, mi mkristo lakini upuuzi wao ule siutaki
 
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!

Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.

Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na chuki Kwa wananchi dhidi ya serikali ya CCM.
Wanoo upeo wa kuuchambua?
 
Magufuli aliwanyoosha majizi makuu ya Escrow bila kujali dini Wala madhehebu Yao.
 
Back
Top Bottom