Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.

Status
Not open for further replies.
Hii ni fitna na I know how it feels bro Pascal kwani mimi binafsi nishafanyiwa fitna na watu humu na to be honest nilimwaumu sana Invisible kwani kuna members nilipishana nao kimawazo na mwishowe issue ikaja kuwa out of control. Tumepishana na jamaa kimawazo lakini it got too personal na to be honest sikushindwa ku retaliate kwa namna nionavyo sawa kwani nilipakaziwa sana na infact nilishamake up my mind lakini ilitokea intervention ya watu ambao kwa ukimwa wangu walihisi I was up to something ambayo ingepelekea mambo mazito sana na najua couple of yrs down the line wakati JF hai exist anymore sijui mbele ya Mungu ningemjibu nini. So I had to let it go na jamaa mpaka leo yupo humu anaendelea kukamua.

Kaka Pasco mimi unaweza usinifaham lakini mimi napinga kwa nguvu zote kwani nimekufaham enzi zileee pale kwnye ofisi ya JOV na akina ALI OKI na AHMAD NZOWA na MSELEM....hata kabla MASAI STUDIOS haijaanza kupiga vipindi vyake na ofisi ilikuwa pale juu nyuma ya msikiti wa ngazija just opposite ile library ya wahindi. Kaka mara ya mwisho tumekutana kwenye corridor mlikuwa unatoka na Savanna lounge lakini hatukuchat sana. Leo hii nimeingia na kukuta upuuzi huu umenisikitisha sana lakini thats what you get na JF. Hapa kulikuwa na bifu kati ya Invisible na Mange Kimambi, je ushaona Mange anabandikwa humu tangu atoe warning ? lakini wewe utatukanwa, mimi nitatukanwa na of course wengine watatukanwa na you know what I wont blame you kwa hatua yoyote utakayoichukua. This is so wrong at all levels lakini pia since you;ve stated your point I will also support you if you decide to walk away. its not worth it.

Pole sana and I care less about your private life lakini when wronged I will always support you hata kama tutakuwa na difference of opinions and you didnt deserve this.

Plse try to address the issue with Max in private.

attachment.php
 
u Stuxnet. Kwanza sio kweli kuwa mke wangu amenikimbia bali yeye anaishi US na mimi naishi Tanzania. Long distance relationship works for some cauples and did't for others just like all relationships, some works, and some don'twork for a reason or no reason at all. Very unfortunately ours simply didn't work for no reason at all hivyo hakuna yoyote kati yetu mwenye makosa and we are still good friends.
ungemuuliza kwanza yeye yuko na mkewe hata kama yuko nae hajawai kuachana na mtu.? kwani wewe ndo wa kwanza kuachana?
 
Kwanza elewa kuwa Pascal hakuja tu hapa akaanzisha uzi huu. Ni baada ya wapenda mambo ya watu kama wewe kuandika waliyoandika na ikiwa jibizo kwa hayo yaliyoandikwa.

Kwa hiyo haya ni maelezo ya kupinga kilichosemwa, iwapo bado hujaridhika na ukiona hayajakuridhisha, unaweza kuambaa huku ukiamini vile upendavyo wewe.

Hawezi yeye kwenda kwa daktari kwa ajili ya kukuridhisha wewe tu. Kama maelezo yake hayajakuridhisha, amini tuhuma hizo zilizotolewa awali
Hili jukwaa hailikuhusu,hapa tunaongelea watu tu,elewa na sio mawe.
 
Ni David Matakka peke yake anayeweza kumsafisha Pascal Mayalla kwa kuwa tendo la ngono ni la watu wawili. Tumemsikia sana maelezo yake pamoja na sympathizers wake, lakini bado tungependa kusikia upande wa pili yaani Mataka. Kinyume cha hapo tutamuona anafanya rumbling and mumbling
 
Mkuu umeona mbali,napenda watanzania wanaotumia sekunde chache kufikiri tofauti na wale wanaokurupuka na ku judge kitu.Naona watu wanampa pole kwa "kusingiziwa" ukiwauliza wana uhakika gani kama Bwana pascal sio? We need sometimes scientific justfycation au ushahidi wa kimazingira ambao Mataka ni key figure.
 
Pole sana ndugu yangu. Najua inauma sana ila wasamehe wote waliokukosea maana hawajui walitendao. Naye Baba yako aliye sirini atakubariki uingiapo na utokapo. Samehe. Achilia machungu yote. Kisasi ni cha Mungu pekee
 
Ni David Matakka peke yake anayeweza kumsafisha Pascal Mayalla kwa kuwa tendo la ngono ni la watu wawili. Tumemsikia sana maelezo yake pamoja na sympathizers wake, lakini bado tungependa kusikia upande wa pili yaani Mataka. Kinyume cha hapo tutamuona anafanya rumbling and mumbling

Mkuu umeona mbali,napenda watanzania wanaotumia sekunde chache kufikiri tofauti na wale wanaokurupuka na ku judge kitu.Naona watu wanampa pole kwa "kusingiziwa" ukiwauliza wana uhakika gani kama Bwana pascal sio? We need sometimes scientific justfycation au ushahidi wa kimazingira ambao Mataka ni key figure.

Nyie mna una lenu jambo si bure.

Je nyie wenyewe mwenyewe Toka mpate ukili za kuchunguza, kudadisi na kutafuta ukweli kisayansi wa mambo mme mewai kufikiria a kwenda kupima DNA kujua kama unayemuita mama au hata baba ni wazazi wenu wa kweli.....
 
Mkuu umeona mbali,napenda watanzania wanaotumia sekunde chache kufikiri tofauti na wale wanaokurupuka na ku judge kitu.Naona watu wanampa pole kwa "kusingiziwa" ukiwauliza wana uhakika gani kama Bwana pascal sio? We need sometimes scientific justfycation au ushahidi wa kimazingira ambao Mataka ni key figure.
so unataka tuamini kwamba yeye ni shoga?
 
Pascal,ukwel upo waz,acha waseme 2 wakchoka watanyamaza.ucjal,mtegemee mungu na yeye atakupa nguvu dhidi ya uvumi na majungu hayo.jamani mnaopenda majungu,mjue kua MAJUNGU HAYANA SALARY SLIP JAMAMN.pole pole pole sn mayala
 
Wakati wanadamu wanakuwazia kushindwa Mungu anakuwazia Kushinda, wakati wanawaza kuanguka kwako Mungu anawaza kukuinua, wakati wanashangilia kuwa wamekumaliza Mungu analeta msaada maishani mwako! wakati wanapanga ni jinsi gani uaibike Mungu anaondoa aibu yako na kuweka juu yao!

Pole sana Kaka.
 
Paschal,
Hauko peke yako,hata hawa wanapakaziwa vilivyo(japo hawakanushi kama wewe) ila sijui kwa sababu gani wapakaziwe
  1. JAMES MBATIA
  2. MUDDY PIZZARO
  3. WAKILI NGALLO(WA IPP)
  4. BILALI WA KINONDONI
  5. DJ MANGAPII
  6. MAREHEMU KIIZA KAHAMA
  7. NA WENGINE WENGI TUU
Kaka kaza roho na maisha yako......puuza hii kitu...otherwise kuileta humu ni kuikuza zaidi
 
Sikuwahi kusikia kitu kama hii dah pole sana Bro....

But take it easy tu binadamu ndio tulivyo hata useme nini kuna watakaopingana na wewe tu.

Kwa hayo maelezo mimi binafsi nakubaliana na wewe kabisa kuwa sio shoga.

NB: CV imetulia hiyo si mchezo hongera sana mkuu
 
Paschal,
Hauko peke yako,hata hawa wanapakaziwa vilivyo(japo hawakanushi kama wewe) ila sijui kwa sababu gani wapakaziwe
  1. JAMES MBATIA
  2. MUDDY PIZZARO
  3. WAKILI NGALLO(WA IPP)
  4. BILALI WA KINONDONI
  5. DJ MANGAPII
  6. MAREHEMU KIIZA KAHAMA
  7. NA WENGINE WENGI TUU
Kaka kaza roho na maisha yako......puuza hii kitu...otherwise kuileta humu ni kuikuza zaidi
mhhh Bilali na Kiiza nao wanasingiziwa jamani....haya!!!!
 
Pole sana bwana Pasco. Kwa kweli inatiaga hasira sana pale watu ambao hawakujui kujifanya wanakujua na kuanza kueneza mambo ambayo hawawezi hata kuthubutu kuyathibitisha.

Watu wa hivyo wapo wengi sana humu JF. Amini usiamini hata mimi nimewahi kuzushiwa eti ni shoga. Tena nilizushiwa na watu ambao hawanijui kabisa. Watu ambao hawajawahi kuniona na ambao hata nikikutana nao mtaani hawataweza kunitambua mimi ni nani. Lakini wakazusha hivyo. Inasikitisha kwa kweli.

angalia wanaokuzunguka au vitendo vyako, kashfa za ushoga haziibukagi hivi hivi!
 
Mkuu umeona mbali,napenda watanzania wanaotumia sekunde chache kufikiri tofauti na wale wanaokurupuka na ku judge kitu.Naona watu wanampa pole kwa "kusingiziwa" ukiwauliza wana uhakika gani kama Bwana pascal sio? We need sometimes scientific justfycation au ushahidi wa kimazingira ambao Mataka ni key figure.

Ni kazi sana, if not completely impossible "kuwaridhisha" intellectually challenged fools kama wewe. Umeshawahi kusikia misemo kama "Burden of proof is on the believer", "Innocent till proven guilty" etc, maana ni wazi weledi wako ni mdogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom