Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.

Status
Not open for further replies.
Pole sana bwana Pasco. Kwa kweli inatiaga hasira sana pale watu ambao hawakujui kujifanya wanakujua na kuanza kueneza mambo ambayo hawawezi hata kuthubutu kuyathibitisha.
Bandiko la mkubwa Pascal haliwezi kujustify kuwa yeye sio Shoga! na siwezi kusema pascla ni shoga,sijawahi kumuona akifanyiwa mchezo mbaya.Kusema yeye ni kidume ana watoto 6 haimaanishi mtu asiwe shoga,tumeshuhudia mashoga lukuki wakiwa na watoto wao na hata wake zao inakuwa ngumu kuwagundua.

Kama ndugu yangu pascal kakanusha madai haya,simlazimishi akubali ili basi tuamini maana hizi tuhuma ni za siku nyingi watu hawawezi kukurupuka na kusema fulani ni shoga.

Hivyo basi atuwekea matokeo ya kitabibu ya kuwa si shoga.

Ur not mental normal? Mbna maelezo ya mkuu pasco yapo clear ww ni nani? Hadi akuthbtshie, na kuna ulazima gani? Think twice sio unajfanya ku'argue hata paspo na maana.

Pascal ameeleza upande wake, nafikiri wengi tumemwelewa. Badala ya kumtaka aje na uthibitisho wa kitabibu unaonaje kama utatoa kwanza ushahidi wa kupinga madai yake kuwa hahusiki na upuuzi huo?

Yaani pascal umenisikitisha sana siku ya leo pole sana bwana pls jitahidi kuondoa machungu moyon mwako thats is life.whhhuuu.sijui nipige yowe jamani my tears

Ur not mental normal? Mbna maelezo ya mkuu pasco yapo clear ww ni nani? Hadi akuthbtshie, na kuna ulazima gani? Think twice sio unajfanya ku'argue hata paspo na maana.
Mimi msomaji kama wewe,sikujua kama kaweka thread hapa kujibu tuhuma dhidi yake.Si kaweka wazi? ushahidi wa namna hii hauwezi ku justfy kuwa "si shoga" kaandika tu "kakiri sio shoga" Tutamuamini vipi? anasema iliwahi kuvumishwa uko nyuma 2000,kwa maono yako inawezekana tu watu wakaanza kuzusha zusha tu bila sababu?

Anasema alipokuwa chuoni aliemuona "akiingiza" jinsia kama yake aseme,kwa hiyo yeye anasema kama angeonekana route za jinsia ya kiume nyingi chumbani kwake basi tu jusyfy kuwa shoga?

"Wamezushiwa" wengi kama Bwana pascal lakini kwa kuwa kaja mbele yetu kukataa madai yake,mimi siwez kukubaliana na maelezo yake yasiokuwa na udhibitisho wa kitabibu

BarakaTanzania

Hivi kwanini mnajali sana mambo personal ya mtu? Wewe itakuongezea au kukupunguzia nini ukijua ukweli wa personal life ya mtu mwengine?

Hakuna anaeweza kukulazimisha kuamini. Kama hujataka kuamini bado baada ya maelezo hayo hapo juu, unaweza kuendelea kuamini vile utakavyo, kwako wewe binafsi hakutakuongezea wala kukupunguzia chochote.

Msichimbe watu kwa kuwa nyinyi mnatumia majina vivuli hapa JF.

Tuhuma za ushoga ni ngumu sana kuzithibitisha, tumeshuhudia watu wengi wakikanusha kuwa mashoga lakini baadaye wao wenyewe wakikubali . Mifano ni mingi sana. Ushoga sio jambo jema ndo maana utaona mashoga wanaoana lakini hawasemi nani atakuwa mke nani atakuwa mume maana yake bila wao kusema huwezi jua..............ushahidi wa kimazingira ndo utaonyesha nani anakuwa mwanamke

Kuthitibitisha kuwa mtu ni shoga ni ngumu sana, mara nyingi ni ushahidi wa kimazingira ndio unaotumika. Yaani watu wanaweza kuwa walikuona na fulania au tabia zako, au familia yako, room mates n.k

Kwa jinsi Pascal alivyoeleza mtitiriko wa maisha yake tangu Primary hadi sasa, haiyumkiniki akakosekana mtu hata mmoja asiyewahi kuwa ushahidi wa moja kwa moja kuwa yeye ni shoga.

Ingekuwa natoa hukumu, ningesema nampa Pascal the benefit of the doubt kuwa SIO SHOGA, vinginevyo anayemtuhumu aje na uthibitisho wa ng'ambo ya shaka kukabili maelezo aliyoyatoa Paschal

Mimi msomaji kama wewe,sikujua kama kaweka thread hapa kujibu tuhuma dhidi yake.Si kaweka wazi? ushahidi wa namna hii hauwezi ku justfy kuwa "si shoga" kaandika tu "kakiri sio shoga" Tutamuamini vipi? anasema iliwahi kuvumishwa uko nyuma 2000,kwa maono yako inawezekana tu watu wakaanza kuzusha zusha tu bila sababu?

Anasema alipokuwa chuoni aliemuona "akiingiza" jinsia kama yake aseme,kwa hiyo yeye anasema kama angeonekana route za jinsia ya kiume nyingi chumbani kwake basi tu jusyfy kuwa shoga?

"Wamezushiwa" wengi kama Bwana pascal lakini kwa kuwa kaja mbele yetu kukataa madai yake,mimi siwez kukubaliana na maelezo yake yasiokuwa na udhibitisho wa kitabibu

Hivi ni lazima wewe ukubali hayo maelezo?

Pascal ameeleza upande wake, nafikiri wengi tumemwelewa. Badala ya kumtaka aje na uthibitisho wa kitabibu unaonaje kama utatoa kwanza ushahidi wa kupinga madai yake kuwa hahusiki na upuuzi huo?
Ushahidi ni bandiko lake,na sijasema Pascal ni shoga,ila napingana na utetezi wake.

Huo uvumi sikupata kuusikia kabisa Pascal na sidhani ningeuamini kama ningeusikia kwa jinsi ninavyokufahamu.

Bora umeandika ili wanaokuchafua waache hiyo tabia. Baada ya hapa nakusihi unyamaze kimya mana kama mwenye kutaka kuelewa ameelewa ulichokiandika. Salamu kwa familia yako!

Pole kamanda!!

BarakaTanzania

Hivi kwanini mnajali sana mambo personal ya mtu? Wewe itakuongezea au kukupunguzia nini ukijua ukweli wa personal life ya mtu mwengine?

Hakuna anaeweza kukulazimisha kuamini. Kama hujataka kuamini bado baada ya maelezo hayo hapo juu, unaweza kuendelea kuamini vile utakavyo, kwako wewe binafsi hakutakuongezea wala kukupunguzia chochote.

Msichimbe watu kwa kuwa nyinyi mnatumia majina vivuli hapa JF.
Hili ni jukwaa na Celebrity,hatujadili miti au mawe.Celebrities watu.Pili haijawekwa thread kuwa "Pascal shoga" la hasha! ila yeye mwenyewe katundika uzi wa "maisha yake binafsi" unataka tujadili nini? cv yake? hapana.Tunajadili maisha binafsi ya Pascal mayala na tuhuma dhidi yake.

Tuhuma za ushoga ni ngumu sana kuzithibitisha, tumeshuhudia watu wengi wakikanusha kuwa mashoga lakini baadaye wao wenyewe wakikubali baadaye. Mifano ni mingi sana. Ushoga sio jambo jema ndo maana utaona mashoga wanaoana lakini hawasemi nani atakuwa mke nani atakuwa mume.

Kuthitibitisha kuwa mtu ni shoga ni ngumu sana, mara nyingi ni ushahidi wa mazingira ndio unaotumika. Yaani watu wanaweza kuwa walikuona na fulania au tabia zako, au familia yako, room mates n.k

Kwa jinsi Pascal alivyoeleza mtitiriko wa maisha yake tangu Primary hadi sasa, haiyumkiniki akakosekana mtu hata mmoja asiyewahi kuona ushahidi wa moja kwa moja au wa kimazingira kuhususu yeye kuwa shoga.

Ingekuwa natoa hukumu, ningesema nampa Pascal the benefit of the doubt kuwa SIO SHOGA, vinginevyo anayemtuhumu aje na uthibitisho wa ng'ambo ya shaka kwa maelezo aliyoyatoa Paschal
Wewe ndio umesema

Mtafute Pascal uende nae kwa Daktari wako ili ukathibitishiwe unalolitafuta.
Hapana mkuu siwezi kufanya hivyo,na sina haja ya kufanya hivyo sababu sujawahi kumbandika Kaka Pascal tuhuma za Ushoga.Sijui unielewa?Bado napingana na utetezi wake,uko so weak unanipa mashaka.

Uzuri hii thread kaanzisha mwenyewe kupinga tuhuma.Asitegemee woote watakubaliana nae kuwa "si shoga" na yawezekana akaja mtu na ushahidi wa kimazingira dhidi ya mleta mada.

Hili ni jukwaa na Celebrity,hatujadili miti au mawe.Celebrities watu.Pili haijawekwa thread kuwa "Pascal shoga" la hasha! ila yeye mwenyewe katundika uzi wa "maisha yake binafsi" unataka tujadili nini? cv yake? hapana.Tunajadili maisha binafsi ya Pascal mayala na tuhuma dhidi yake.

Kwanza elewa kuwa Pascal hakuja tu hapa akaanzisha uzi huu. Ni baada ya wapenda mambo ya watu kama wewe kuandika waliyoandika na ikiwa jibizo kwa hayo yaliyoandikwa.

Kwa hiyo haya ni maelezo ya kupinga kilichosemwa, iwapo bado hujaridhika na ukiona hayajakuridhisha, unaweza kuambaa huku ukiamini vile upendavyo wewe.

Hawezi yeye kwenda kwa daktari kwa ajili ya kukuridhisha wewe tu. Kama maelezo yake hayajakuridhisha, amini tuhuma hizo zilizotolewa awali

Pole Mkuu Pascal Mayalla. Maelezo yako yameenda mbali tu sana na yanatosheleza kwa wengi wetu, na asiyeweza kukuelewa basi huyo analake jambo!

Btw, CV yako ni ya nguvu!

Tuko pamoja.

Steve Dii

u
Pole bwana Pasco kwa hili lakini je kwa nini mke wako alikukimbia?
Stuxnet. Kwanza sio kweli kuwa mke wangu amenikimbia bali yeye anaishi US na mimi naishi Tanzania. Long distance relationship works for some cauples and did't for others just like all relationships, some works, and some don'twork for a reason or no reason at all. Very unfortunately ours simply didn't work for no reason at all hivyo hakuna yoyote kati yetu mwenye makosa and we are still good friends.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom