Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.

Status
Not open for further replies.
mkuu watu wasingetajwa.... bwana pasco asingekuja kujisafisha.. watu wangeishia na coclusion vichwani mwao.. matangaji.. katikati ya mwaka etc... kutajwa majina imesaidia walengwa kuja kumaliza uvumi unaoendelea mtaani

Hiyo siyo excuse. Wanasema "Its easy to be wise after the event." Kwa hiyo hapa inabidi utilie maanani motivations alizokuwa nazo wakati ule, siyo "after the fact". Sikuona mahali ambapo alidai ushahidi kutoka wale watembeza umbeya wenzake. Alikuwa aking'ng'ania tu yatajwe majina.
 
Congratulation Pascal for coming out boldly and refute the slander. Only few people could behave such courageously like you have done. Other subjects, like Kibonde, should also come up and rebut a number of smears thrown against them.
 
Na wewe ndugu, you're not so innocent yourself. Sababu ulikuwa ukichochea uwongo huu kwenye ile mada ya awali na kudai watu watajwe majina. You're as guilty as them all and should be ashamed kwa kuendeleza umbeya.

nafikiri uliiona kwenye ile thread nilisema siamini na sikubali
sasa sijui ulitaka nisemeje????/
so far nili demand majina na demand yangu imewezesha ku clear hili jambo
au huonni hilo????/
 
Mkuu pole sana lakini yote hii inatokana na kautamaduni ka kitanzania ka uzushi na uongo uongo!!!!!!Some pple can stop at nothing kupropagate uongo. Ni tabia ya kishenzi lakini kwa bongo inaexist in all ranks. Gossiping is wht runs that country unfortunately. Halafu na hii tabia ya watu kujifanya wanawafahamu watu hata wasiowajua ni kitu cha kawaida kabisa kwa watanzania!!!!!!

One time I, personally niliwahi kuzushiwa nafanya biashara ya madawa ya kulevya, wakati hata sijawahi kuyaona hayo madawa!!!!!
 
Mkuu pole sana lakini yote hii inatokana na kautamaduni ka kitanzania ka uzushi na uongo uongo!!!!!!Some pple can stop at nothing kupropagate uongo. Ni tabia ya kishenzi lakini kwa bongo inaexist in all ranks. Gossiping is wht runs that country unfortunately. Halafu na hii tabia ya watu kujifanya wanawafahamu watu hata wasiowajua ni kitu cha kawaida kabisa kwa watanzania!!!!!!

One time I personally niliwahi kuzushiwa nafanya biashara ya madawa ya kulevya, wakati hata sijawahi kuyaona hayo madawa!!!!!

mkuu umeongea point
kuna watu wanazushiwa wana ukimwi
wakati hata malaria tu hawana
na mtu unamuona anaoa au kuolewa
anazaa watoto na wanakua
but still mtu anashupaa bila aibu na uzushi wake
 
mkuu umeongea point
kuna watu wanazushiwa wana ukimwi
wakati hata malaria tu hawana
na mtu unamuona anaoa au kuolewa
anazaa watoto na wanakua
but still mtu anashupaa bila aibu na uzushi wake

Wee wacha unafiki wako. Hao kina Frank Machozi, General Defao, Muddy Pizzaro, Hussein Macheni na wengineo waliotuhumiwa kwa shutuma hizohizo, lakini sikuona umedai ushahidi wowote dhidi yao zaidi ya kudai majina mengine zaidi. Hadi kashfa ikuguse wewe binafsi, ndugu zako, au washirika wako ndiyo unajifanya eti "huu utakuwa ni uwongo tu", "siamini", "haiwezekani". *****!
 
huo ni muono wako na upeo wako
wengine wanaweza kuona vingine
 
huo ni muono wako na upeo wako
wengine wanaweza kuona vingine

Hiyo siyo opinion yangu tu, bali ni factual information. Kubali tu wewe kama kweli ni mwanaume, basi ni mnafiki na mbeya mkubwa. You're part of the problem, na hata nafsi yako inakusuta.
 
Pole bwana Pasco kwa hili lakini Je Mataka mwenyewe anasemaje kuhusu hili? Naye anafikiri anazushiwa? Na je kwa nini mke wako alikukimbia?
 
Pole sana kaka pascal,mama yangu aliwahi nambia ukiona mtu anakuchukia kuna maswali unatakiwa kujiuliza,uliwahi mkosea?kama uliwahi mkosea nenda kamuombe msamaha na kama hujawahi mkosea achana na cos jamaa anatamani kuwa kama ww lakini hana jinsi,so hana tiba mtu kama huyo,msamehe bure
 
usingiziaji ni tabia mbaya sana, inamvunjoia heshimana kumshushia thamani anaye singiziwa.
Nakupa pole sana mheshimiwa kwa maneno ya hovyo yanayosemwa juu yako.
Damu ya Yesu Kristo itakusafisha kutoka kwenye hizo tuhma.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom