Waraka wa Pili wa Pascal Mayalla.Maisha Binafsi.

Status
Not open for further replies.
mmmmmmmh!!mi ndo naiona leo..ivi uyo mataka ndo nani... ila pia bro hakua na haja ya kujielezea that much..mimi nina mifano ya clozed mens walio na marafiki wakutosha na they know very much how to play with their feelings plus matendo yao!!anyway ukweli unao mwenyewe kwenye nafsi yako..pole sana.
 
mmmmmmmh!!mi ndo naiona leo..ivi uyo mataka ndo nani... ila pia bro hakua na haja ya kujielezea that much..mimi nina mifano ya clozed mens walio na marafiki wakutosha na they know very much how to play with their feelings plus matendo yao!!anyway ukweli unao mwenyewe kwenye nafsi yako..pole sana.
Mkuu sisi Waafrika wa Tanzania tuna sifa ya kutofikiri.Tunao mfano wa babu wa Loliondo angalia wengi walivyonaswa na mtego ule.Hata hivyo mkuu naheshimu sana comments zako
 
Binadamu Mayalla, Binadamu! Unaweza kukuta ni wivu tu au mlikorofishana kwa jambo dogo, basi ndio akaamua kuzusha uzushi!

Ila wewe usikonde, wanaokujua huna haja ya kujieleza kwao.
 
Kaka Pascal Mayalla Heshima mbele Mkuu,
Nakupa tena pole kwa uzushi uliopewa, nahita uzushi kwa sababu kauli yako ndio ya mwisho na ndio inayosimama, anayesema kinyume na wewe ni kutaka kukuchafua ama ni mtu asiye na ustaarabu (NI KITU CHA KAWAIDA KWENYE JAMII)

Mimi binafsi nimejifunza mengi kutoka kwako, kwa kweli ulivyoichukua hii issue kutoka mwanzo mpaka mwisho, busara uliyotumia na ushahidi uliotoa bila kugombana na mtu wala kutukanana na mtu ni funzo kubwa kwangu na kwa wengine wanaoishi kwenye mistari monyoofu na wanaotaka kujifunza na waliotayari kukosolewa

sina cha kukushauri bali ni kukumbushana tu kwamba, kuwa mtu maarufu kunakuwa na mambo mengi yanayoambatana nayo, kitu atakachokifanya mtu wa kawaida ni tofauti na kitu hicho akikifanya mtu maarufu, nadhani watu wengi walishaenda kwa MAtaka lakini ikaonekana nikawaida tu lakini kitendo cha mtu maarufu (Mayalla) kwenda kwa MAtaka basi kimezua uzushi na kuaribiana jina

Pole sana Kaka,nadhani utabaki kuwa yuleyule wa kawaida, MPOLE MSTAARABU NA MWELEWA
"ONGW'ANA O' SHIMBA NANG'WE SHIMBA"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom