Waraka kwa mke wa mtu (ex)

Umeona Babu DC, Huyu bishanga hana maana kabisa.

Huyu mwanamke kawa kidumu cha kudumu, kama chama cha mape. . . .

Yaani mwenzio hajapona wewe unaanza kumtangazia kuwa kapoteza kote kote? Halafu unajidai eti bado unampenda??

Au ni maandalizi ya kumtayarisha mwenzio awe pozeo la kudumu?

Babu DC!!
 
Haaahaaa.....I understand na ndio maana sielewi mtu anayeshindwa kusamehe wakati wote matatizo yetu kama yanalingana...halafu unajua majani yanaonekana ya kijani zaidi upande wa pili....ingawa ukivuka sasa sio lazima ukakutana na majani ya kijani. Macho yanaweza kuwa yamekudanganya.


Alafu tuache mzaha Ndahani... mie nashindwa elewa... unashikwa ugoni sababu tu una ganda la rubber lipo mgongoni? yaani alishindwa kabisa jitetea?
 
hahaha Ashadii bwana Bishanga alikuwekea Libwata nadhani kama hukumbuki matukio


Unajua tulikutana samaki samaki, tukaona it is not bad tukikaa tupeane salam na kubadilishana mawazo ya hapa na pale... The next thing I know nipo kwenye Taxi naelekea nyumbani... naona atakua alini drug. I have tu sue! lol
 
Alafu tuache mzaha Ndahani... mie nashindwa elewa... unashikwa ugoni sababu tu una ganda la rubber lipo mgongoni? yaani alishindwa kabisa jitetea?
Bora ushangae na wewe wifi...huyu Bishanga aseme wamekutwa live bila chenga!
 
Pole kwa maswahiba, afu mie wala siendi kushangaa feri...nakushangaa wewe na huyo mke wa mtu tu!
vishawishi mama vishawishi,kila ukisema staki niniliyu inasema nataka,kaaaazi kweli kweli.
 
Umeona mzee DC? Hasa ndio malengo yake.... "pozeo la kudumu" lol.

Atleast hata kamwandikia huu waraka.. maana mwingine hata salam isingekuwepo.

Mzima wewe?


Sijambo dada yangu,

Naona kama nataka kuzeeka vibaya...Siwalewi kabisa hawa akina Bishanga na wadogo zake!!

Babu DC!!
 
Alafu tuache mzaha Ndahani... mie nashindwa elewa... unashikwa ugoni sababu tu una ganda la rubber lipo mgongoni? yaani alishindwa kabisa jitetea?

Utapiga kiswahili gani hapo? Hilo lazima utakuwa ulililalia na sijui ulikuwa unakimbizwa ukavaa fasta fasta bila hata kujimwagia maji. Tugelikuta mguuni kwenye dole gumba ingewezekana tukasema ilikuwa ya promotion kuonyesha ubora wake....sasa kitu mgongoni, mhhh!
 
Back
Top Bottom