Waraka kwa mke wa mtu (ex)

Walau mnawataarifu wana JF kuwa ninyi ni mashuhuri na mnazingatia matumizi ya kondomu. Lakini pia huo ni uzembe. Ina maana hukumkagua? Lakini naye mwanamke hatosheki na mmewe. Kazi kwake! Hata ukimchukua, atagawa tu kwa wengine. Hiyo ndo tabia yake. hawezi kuiacha. Nawe kidume kumbuka mke wa mtu ni sumu!
 
Ndo maana mi sipendi kutumia condom!
Kwa hiyo hata mke wa mtu utaenda naye bila condomu. Sema ninachowashangaa hawa jamaa ni kimoja tu. Ina maana baada ya game hawakuoga? Ilikuwa hicho kipakiti cha kitendea kazi kigande mgongoni na kisijulikane. Bila shaka hawakuoga, na hapo tena linakuja swali lingine, mke wa mtu utoke guest bila kuoga, unategemea nini?
 
hahaha... Story inaenda ikibadilika eeeh? lol. He is crazy huyu B' wetu, No wonder hua tunam Miss... Hata wewe SL Ulipotea wifi yangu...
Hahaha, kweli mpaka ifike sa 7 kamili atasema ukweli!

Wifi mie nilibanwa na majukumu ya kitaifa ila nipo mzima wa afya!
 
sasa nifanyeje Mkuu wakati najua la kuoana haliwezekani na mzee keshamwaga,nitakachofanya nitamfungulia biashara.


Nani kakueleza kuwa hitaji lake kuu ni biashara?

Kwani wazazi/ndugu zake hawezi kumfungulia? Why not think beyond that?

Au na wewe unataka kukata kamba kwa sababu security yake aliyokuwa anatumia kuombea mikopo kwako ime-expire?

Babu DC!!
 
Alafu tuache mzaha Ndahani... mie nashindwa elewa... unashikwa ugoni sababu tu una ganda la rubber lipo mgongoni? yaani alishindwa kabisa jitetea?
wewe ungejitetea na kipande kimekuganda mgongoni? embu wape twisheni wazinzi watarajiwa najua watapitia hapa.
 
Unajua tulikutana samaki samaki, tukaona it is not bad tukikaa tupeane salam na kubadilishana mawazo ya hapa na pale... The next thing I know nipo kwenye Taxi naelekea nyumbani... naona atakua alini drug. I have tu sue! lol
utasema kila kitu.......
 
Bishanga Naipeleka kwa shigongo hii..Kesho utakutana nayo front page ya gazeti la Ijumaa ama Risasi

Sitaki lawama ..inaniuma sana nasema nasema ...
inakuuma kivipi FL1? inakuuma unamwonea huruma bishanga au?
 
Back
Top Bottom