YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,597
- 37
Ningependa kupata sheria inayoongoza ushahidi Tanzania, ninaweza kupata PDF?
Asanteni wdau wote wa Jukwaa hili!
Asanteni wdau wote wa Jukwaa hili!
Shukrani sana!https://www.unodc.org/tldb/pdf/Tanzania_Evidence_Act_6-1967.pdf
Sina uhakika kama is is the latest edition.
Lipo wapi hilo?Vema ukiwa pia na hard copy kwa kuwa usomaji wa soft copy huwa unaumiza macho. Kama upo Dar tembelea duka la vitabu la serikali