Wana jf nahitaji ushauri wenu hususani waliopitia programu of law shahada ya kwanza na wengine wenye uelewa juu ya hili swala nahitaji ushauri wenu.
Mm n afisa tabibu(CO) kitaaluma nimefanikiwa serikalini natarajia kwenda masomoni kwa kozi ya bachelor of law je soko likoje pia natarajia kuhama idara ya afya nitakapohitim masomo yangu niwe sheria ila nakumbana na maneno mengi.
Wengine wanasema bali afya kwa sababu huwezi kufanyiwa recategorization kutoka afya kwenda sheria,mara sheria watu wamejaa siyo rahisi kupata nafasi japo mimi binafsi naona hata nisipofanyiwa recategorization naweza kuiaoply me as me.
Soko likoje kwa wenye uelewa na hii kitu