Wapi nitapata Sheria ya ushahidi Tanzania (Law of evidence)

YeshuaHaMelech

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
2,597
37
Ningependa kupata sheria inayoongoza ushahidi Tanzania, ninaweza kupata PDF?
Asanteni wdau wote wa Jukwaa hili!
 
Mkuu ivi ukigoogle uipati? Google alaf uspecify kwa Tanzania.
 
Vema ukiwa pia na hard copy kwa kuwa usomaji wa soft copy huwa unaumiza macho. Kama upo Dar tembelea duka la vitabu la serikali
 
Lipo mitaa ya posta, nyuma ya mafuta house. Kajaribu pale unaweza kupata. Wanauza vitabu vingi sana ambavyo huwezi kuvipata katika maduka mengine
 
Back
Top Bottom