Wapi Nape?

Zamani facts na arguments vilikuwa ni mapambo hapa jamvini, sikuhizi hisia na kejeli zinajitahidi kupamba jukwaa.....

Siku nikiingia Igunga mtajua tu, hakuna sababu ya kuandikia mate wakati winno upo......

Yes kabla hujajiunga na kutuma watu wako kuja kuchafua hapa JF
 
Huyu dogo nae sijui anakubalije kutumika kirahisi hivyo. Kwa umri wake alitakiwa awe fame. Asimamie maadili ya Chama apigie debe chama kujiingiza moja kwa moja kwenye ugomvi na mapacha watatu itamcost. Nakuhakikishia hii inaweza kuwa nafasi yake ya mwisho kupata kama hiyo post maishani mwake
Kaingia choo cha kike.
 
EDSON,
Kwanza pole sana kwa kujitahidi KUTUNGA UONGO WAKO HUMU.... Haya mawasiliano unayoyasema humu SIYAJUI vinginevyo kuna Nape mwingine mahali.... Mimi mjumbe halali wa CC uyasemayo hayajawahi kutokea, labda ile CC yenu mlokaa Morogoro kutathimini mtaendelezaji Ufisadi wenu katika mazingira haya ya kina " nape"..
Lakini hivi umesahau mtu mzima HATISHIWI NYAU? vitisho vya " huna mda utapotea"..." kijana mdogo tu huyo nikikitaka kichwa chake asb kitakuwa hapa".. " hazijui siasa za nchi hii huyo dogo"... HAZIJAANZA JANA, WALIANZA SIKU NYINGI WALIOKUTANGULIA, BADO NIKASIMAMA IMARA LEO NIKO HAPA....USHAURI USIPOTEZE MUDA NA WENZIO KWA VITISHO VYA KITOTO KAMA MNADHANI MNAWEZA...VIDUME KWELI... TUENDELEE NA SAFARI TUONE PUMZI ZA NANI ZITAKWISHA MAPEMA.... CHAMA HICHI KILIJENGWA KATIKA MISINGI HATUWEZI ACHA MISINGI YAKE KWA KUJIDANGANYA CHAMA KITAENDELEA KUWEPO, HUWEZI BOMOA MISINGI YA NYUMBA NA UKATUDANGANYA TUTABAKI SALAMA... MNAOJARIBU KWAKUWA SISI BADO TUNAPENDA KUISHI NDANI YA NYUMBA HII TUWASHUGHULIKIE, VINGINEVYO RUDINI KWENYE MISINGI YA CHAMA....
REJEA...imani za mwanachama wa CCM, ndio misingi yenyewe coz inawezekana kwasababu ya kudandia gari kwa mbele

sasa unakataka kukataa juu ya kauli ya kikwete ndani ya kikao cha cc yenu? ....mbona sasa hivi mnafanya jitihada za kuwabadilihsa wenyeviti wa mikoa wa ccm eti kisa ni watu waliokuwa installed na lowasa na ndio maana wanapinga sana na kumtetea lowasa? kuna wakuuwa wilaya na mikoa mnasema eti waliwekwa na lowasa na sasa mnafanya mbinu zenu chafu ili muwaondoe..maana siku ile ndani ya kikao wewe mwenyewe ni shahidi uliona jinsi wale wenyeviti walivyokuwa wnaapinga mipango yenu michafu.....mi nakwambia wewe nape kaa chini ufikirie na tenda kwa akili utabaki peke yako unaweweseka tu....

sasa hivi wewe na msekwa mnatumika vibaya sana na kama rostam alivyosema hizo gutter politics hazifai.....wengi mle ccm ni wezi na mafisadi hata msekwa mwenyewe ni mwizi tu si umeona anavyohangaika kule ngoro ngoro sasa hivi hivi amesharudi? au we huna habari unapayuka tu? .........mtoeni kwanza jk hapo ndo mtajipanga upya...acha kutumika vibaya kijana.....
 
quote_icon.png
By Nnauye Jr
Kwanza U-DC nlishaacha siku nilipoteuliwa katibu wa NEC. Kwahiyo kupanda majukwaani kwasasa si tatizo.
Kuhusu nilichofanya Masasi, sijisifu lakini nenda leo au tafuta mtu aliyeko Masasi atakuambia, na hakika si rahisi kunisahau pamoja na kukaa miezi nani tu.
Maneno gani yanageuzwa? Hata hiyo siku ya kikao na wahariri, tulielezea kilichotokea,tatizo watu wanachukua maneno ambayo hayajatolewa ufafanuzi, na jana nimesisitiza UAMUZI na MJADALA WA NEC VIME REKODIWA kwa MOVING kamera na ndo maana wanaosema ni maamuzi ya Nape na Chiligati si wajumbe wa NEC. Bado nashauri subirini tushindwe kuwafukuza....

Mkuu nape Nnauye

Hapo kwenye Red Rostam kafukuzwa au?
 
...halafu kingine huu ni ushauri wa bure kwako rekebisha maswala yako ndoa na mkeo achana yule mama wa singida(mbunge viti maalumu) mjali mkeo kwanza na hili linakutesa sana kwa sasa.......mrudie mkeo halali achana na huyo mama ...
Duh.. Mkuu unaenda mbali, nadhani this is too personal...
 
Pole sana Edson, kazi yenu sasa ni kujaribu kuzusha hata ambayo hayaingii akilini, kama nyi wengine ndoa zimewashinda bahati mbaya poleni... Kama mnaweza kuzusha mpaka ya kifamilia, basi sitashangaa kesho mkisema Nape mchina... Maana kama mnaweza kumzushia mtu kutembea hata na mama yake, basi huu ni uzushi wa kutisha...pole sana maana mmetafuta ufisadi wa Nape mpaka miguu imeota vigimbi... Dawa ya uchafu kuoga si kujaribu kuchafua wengine kwa kudhani utakua msafi
 
Sasa Edson hebu twambie KAMATI KUU YA CCM KUNA WENYEVITI WA MIKOA HAO UNAODAI WALIKUWA WAKIPINGA??? nadhani napoteza muda wangu kukujibu. Ndo maana nasema pengine ni ILE CC YENU YA MORO....CHECK VIZURI NOTES ZAKO MKUU
 
Pole sana Edson, kazi yenu sasa ni kujaribu kuzusha hata ambayo hayaingii akilini, kama nyi wengine ndoa zimewashinda bahati mbaya poleni... Kama mnaweza kuzusha mpaka ya kifamilia, basi sitashangaa kesho mkisema Nape mchina... Maana kama mnaweza kumzushia mtu kutembea hata na mama yake, basi huu ni uzushi wa kutisha...pole sana maana mmetafuta ufisadi wa Nape mpaka miguu imeota vigimbi... Dawa ya uchafu kuoga si kujaribu kuchafua wengine kwa kudhani utakua msafi

Aisee.......hii mipasho umesomea wapi? Tambwe hakuzushiwa bali alisema mwenyewe...nanukukuu ''mimi kama ntarudi CCM basi bora nimlale mama yangu mzazi'' mwisho wa kunukuu
 
Pole sana Edson, kazi yenu sasa ni kujaribu kuzusha hata ambayo hayaingii akilini, kama nyi wengine ndoa zimewashinda bahati mbaya poleni... Kama mnaweza kuzusha mpaka ya kifamilia, basi sitashangaa kesho mkisema Nape mchina... Maana kama mnaweza kumzushia mtu kutembea hata na mama yake, basi huu ni uzushi wa kutisha...pole sana maana mmetafuta ufisadi wa Nape mpaka miguu imeota vigimbi... Dawa ya uchafu kuoga si kujaribu kuchafua wengine kwa kudhani utakua msafi

Mkuu nape

naomba unijibu swali langu hapo post 64
 
Alianza kwa Mkwara. Wapimaji wa mambo wakasema ni Mkwara wa Nanasi ambao Nje ni Miba wakati Ndani ni utamu mtupu.

Baada ya kelele nyingiiii, baadae amejigundua kumbe amezungukwa na kundi la Wanafiki, akavunjika nguvu. Wapi Operesheni Vua gamba? Wapi Mapacha Watatu aliotuambia wamewapa siku tisini na kuwaandikia barua?

Zile kelele zooote ngumbe ni ndege mnana tu! We unacheza na Mkweree wewe! Full Unafiki!!

Rudi ukawaombe radhi akina Mzee Lowasa uliojifanya kula nao sahani moja maana ndo wanaelekea kuziba hilo ombwe la Uongozi lililopo CCM sasa. Sijui utakimbilia wapi?

Chadema ulishawakorofisha, labda ukimbilie kwa Dovutwa Fahmi.

Pole sana.

Inawezekana alikuwa REMOTE CONTROL ya bwana mkubwa.
Sasa bwana mkubwa kachoka kaamua kuiweka pembeni ili
aangalie biashara nyingine...
 
Karudi kusomea ukada! Tulimwambia amekuwa sasa hawezi tena kuvaa nepi hakutusikia!
 
Alianza kwa Mkwara. Wapimaji wa mambo wakasema ni Mkwara wa Nanasi ambao Nje ni Miba wakati Ndani ni utamu mtupu.

Baada ya kelele nyingiiii, baadae amejigundua kumbe amezungukwa na kundi la Wanafiki, akavunjika nguvu. Wapi Operesheni Vua gamba? Wapi Mapacha Watatu aliotuambia wamewapa siku tisini na kuwaandikia barua?

Zile kelele zooote ngumbe ni ndege mnana tu! We unacheza na Mkweree wewe! Full Unafiki!!

Rudi ukawaombe radhi akina Mzee Lowasa uliojifanya kula nao sahani moja maana ndo wanaelekea kuziba hilo ombwe la Uongozi lililopo CCM sasa. Sijui utakimbilia wapi?

Chadema ulishawakorofisha, labda ukimbilie kwa Dovutwa Fahmi.

Pole sana.

Nnape Nnauye si lolote si chochote.
Watu tulisema mapema kabisa huyu jamaa anatumika KAMA VUVUZELA LA MAGAMBA!!!!
Juzi walipokutana CC walimbana jamaa kuwa aache kelele za vuvuzela maana aweza sababisha Chama Cha Magamba KUSAMBARATIKA kabisa baada ya Rostam kuwatosha CCM akiwaambia wanaendesha SIASA ZA KIJINGA ZA KUPAKANA MATOPE.

Mpaka sasa yeye Nnape na Chiligati WAMEAMBIWA WASIKANYAGE IGUNGA HATA IWEJE MAANA WAO NDIYO CHANZO CHA JIMBO HILO KUWA WAZI.

Sasa hivi Nnape na Chiligati wake KIMYAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!Unafanya mchezo na WANAMAGAMBA???Watakakupotezea sasa hivi.
 
EDSON,
Kwanza pole sana kwa kujitahidi KUTUNGA UONGO WAKO HUMU.... Haya mawasiliano unayoyasema humu SIYAJUI vinginevyo kuna Nape mwingine mahali.... Mimi mjumbe halali wa CC uyasemayo hayajawahi kutokea, labda ile CC yenu mlokaa Morogoro kutathimini mtaendelezaji Ufisadi wenu katika mazingira haya ya kina " nape"..
Lakini hivi umesahau mtu mzima HATISHIWI NYAU? vitisho vya " huna mda utapotea"..." kijana mdogo tu huyo nikikitaka kichwa chake asb kitakuwa hapa".. " hazijui siasa za nchi hii huyo dogo"... HAZIJAANZA JANA, WALIANZA SIKU NYINGI WALIOKUTANGULIA, BADO NIKASIMAMA IMARA LEO NIKO HAPA....USHAURI USIPOTEZE MUDA NA WENZIO KWA VITISHO VYA KITOTO KAMA MNADHANI MNAWEZA...VIDUME KWELI... TUENDELEE NA SAFARI TUONE PUMZI ZA NANI ZITAKWISHA MAPEMA.... CHAMA HICHI KILIJENGWA KATIKA MISINGI HATUWEZI ACHA MISINGI YAKE KWA KUJIDANGANYA CHAMA KITAENDELEA KUWEPO, HUWEZI BOMOA MISINGI YA NYUMBA NA UKATUDANGANYA TUTABAKI SALAMA... MNAOJARIBU KWAKUWA SISI BADO TUNAPENDA KUISHI NDANI YA NYUMBA HII TUWASHUGHULIKIE, VINGINEVYO RUDINI KWENYE MISINGI YA CHAMA....
REJEA...imani za mwanachama wa CCM, ndio misingi yenyewe coz inawezekana kwasababu ya kudandia gari kwa mbele

Dogo unaongea saaaana...raisi wako yupo wapi..? SOMA ALAMA ZA NYAKATI ....KIMBIA HAYO MAGAMBA...!
 
Hii dhana ya kujivua magama ni ngumu mno, nafikiri hatukufaya tathimini ya kina kabla, tayari chama kimeshajeruhiwa.
 
Nadhani inatia aibu kusema jambo ambalo huna hakika nalo....nimejaribu kusoma kejeli hapa nyingi sana lakini nasema mambo yatakapo kuwa kama nilivyosema( na bila shaka mnajua wameshaanza) ....msisite kuja hapa kupongeza pia.......

Kwa hili unapaswa uone aibu. Mambo yapi yaliyoanza! Rostamu kaondoka kwa sababu ya siasa Uchwara na si kwa kulazimishwa na mtu. Usiongee kwa mafumbo kama Mwimba taarabu. Yataje mambo yaliyokwishaanza ni yapi! Tunachoweza kukushauri ni kwamba Usifanye shingo ngumu, rudi kwa akina Mzee Lowasa ukawaangukie, wale ni watu wazima wanaoelewa kwamba ulikuwa unaganga njaa tu watakusamehe, lakini ukiendelea kufanya shingo ngumu, itavunjika. Mzee wako Msekwa ndio huyo tena ni aibu nyingine. Kumbe nalo ni jizi tu la mali ya Watanzania. Sasa atawezaje kumnyooshea kidole Mzee wa Vijisenti! Halafu kuwa makini sana, kwani imeshaonekana kwamba CCM hakuna mtu msafi kuanzia waliopo sasa na wengi waliopita. Angalia wasije kuanza kufichua na Madudu yaliyofanywa na Waliotangulia, Wengine ni Wazazi wetu! Akina Lowasa wanajua mengi!
 
Back
Top Bottom