Wapi Nape?

Said Bagaile

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
686
256
Alianza kwa Mkwara. Wapimaji wa mambo wakasema ni Mkwara wa Nanasi ambao Nje ni Miba wakati Ndani ni utamu mtupu.

Baada ya kelele nyingiiii, baadae amejigundua kumbe amezungukwa na kundi la Wanafiki, akavunjika nguvu. Wapi Operesheni Vua gamba? Wapi Mapacha Watatu aliotuambia wamewapa siku tisini na kuwaandikia barua?

Zile kelele zooote ngumbe ni ndege mnana tu! We unacheza na Mkweree wewe! Full Unafiki!!

Rudi ukawaombe radhi akina Mzee Lowasa uliojifanya kula nao sahani moja maana ndo wanaelekea kuziba hilo ombwe la Uongozi lililopo CCM sasa. Sijui utakimbilia wapi?

Chadema ulishawakorofisha, labda ukimbilie kwa Dovutwa Fahmi.

Pole sana.

Tulimwambia yule jamaa ni mzuri wa kuruka wenzake sasa yameanza kumkuta
siku Lowassa atakapokuwa m/kiti na m.k.w.e.r.e si rais tena nape atatafuta pa kujificha.

Alichemsha kupanda KITONGA na gia number TANO.

hahaha...waswahili kwa maneno...hahahaha!
Jamaa kaanza na kasi...kumbe mbio za sakafuni!
Alidhani mkwer ndio sisiem...kumbe huko kuna wenyewe.
Amepewa kazi ya kuipa maiti pumzi...sasa tunasubiri miujiza...
kudadadeki...nape ananepuliwa sasa...

Red: How?

hutosikia nape tena, two weeks ago walipokwenda dodoma
alichibwa biti ile mbaya, ccm ina wenyewe bwaaaana

Alianza kwa Mkwara. Wapimaji wa mambo wakasema ni Mkwara wa Nanasi ambao Nje ni Miba wakati Ndani ni utamu mtupu.

Baada ya kelele nyingiiii, baadae amejigundua kumbe amezungukwa na kundi la Wanafiki, akavunjika nguvu. Wapi Operesheni Vua gamba? Wapi Mapacha Watatu aliotuambia wamewapa siku tisini na kuwaandikia barua?

Zile kelele zooote ngumbe ni ndege mnana tu! We unacheza na Mkweree wewe! Full Unafiki.
Rudi ukawaombe radhi akina Mzee Lowasa uliojifanya kula nao sahani moja maana ndo wanaelekea kuziba hilo ombwe la Uongozi lililopo CCM sasa. Sijui utakimbilia wapi?

Chadema ulishawakorofisha, labda ukimbilie kwa Dovutwa Fahmi.
Pole sana.

Atakimbilia CCJ au CCK kwa akina sita

Tulimwambia yule jamaa ni mzuri wa kuruka wenzake sasa yameanza kumkuta

siku Lowassa atakapokuwa m/kiti na m.k.w.e.r.e si rais tena nape atatafuta pa kujificha.

Fisadi kama lowasa hatuwezi kumpa nchi ni bora tumpe mama Asha Migiro

hahaha...waswahili kwa maneno...hahahaha!

Jamaa kaanza na kasi...kumbe mbio za sakafuni!

Alidhani mkwer ndio sisiem...kumbe huko kuna wenyewe.

Amepewa kazi ya kuipa maiti pumzi...sasa tunasubiri miujiza...

kudadadeki...nape ananepuliwa sasa...

Mkuu unataka kuniambia ni bora ya mpayukaji makamba aka gamba kuliko nape?

Hahahaaa hiyo ndio ishara ya kufa kwa CCM kwani haitafika mwakani mwezi kama huu

Nape alianza kwa mkwara kwa sababu hana uwezo wa kuchambua mambo. Anafanya mambo kama robot tu. Alikuwa anajaribu kupima kina cha bahari kwa kutumia rula!!! Matokeo yake amefuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Tulimwambia akija Arusha aje na majibu yote tuliomliza...hakupata hayo majibu maana alijua vijana wa kazi unga limited tupoje...*@w#++**

Kasomewa CCM Black Book... SHIBA AU NYAMAZA!!!

Mdomo Umefungwa kwa Sasa...

Makamba aliwaambia kuwa anaenda kuwaandalia makazi ili alipo nao waweze kuepo! Sasa nafikiri tayari ameshaenda kuchukua makazi mapema mapema!

Back
Top Bottom