Wapi Nape?

Nashukuru kwa kujitokeza watu walianza kuwa na wasiwasi huyu ndugu kapotelea wapi.......hata hivyo nina swali moja, lini utakwenda Igunga maana kwa cheo chako wewe ndiye hasa wa kukiuza chama hasa wakati huu wa uchaguzi, nauliza hivyo kwa sababu nilisikia tetesi kuwa CC imekuzuia wewe na Chiligati kwenda huko ni ya kweli hayo.
Nape hawezi kwenda Igunga na akienda ataipunguzia mno kura CCM;Nape is extremely unpopular there na wana Igunga wanamchulia Nape kama kiongozi wa 'gut politics' aliyeanzisha chokochoko kwa RA na maswahiba zake akina Mamvi ingawaje kwa sasa CCM ni kama vile imemuacha Nape bila msaada wowote!
 
nasikia Igunga kapigwa stop kwenda na akienda asitaje majina ya miungu watatu . tatizo hakupewa semina elekezi aidha alidoji kipindi
 
nasikia Igunga kapigwa stop kwenda na akienda asitaje majina ya miungu watatu . tatizo hakupewa semina elekezi aidha alidoji kipindi
Zamani facts na arguments vilikuwa ni mapambo hapa jamvini, sikuhizi hisia na kejeli zinajitahidi kupamba jukwaa.....

Siku nikiingia Igunga mtajua tu, hakuna sababu ya kuandikia mate wakati winno upo......
 
Faiza F. hajambo?
 
Nadhani inatia aibu kusema jambo ambalo huna hakika nalo....nimejaribu kusoma kejeli hapa nyingi sana lakini nasema mambo yatakapo kuwa kama nilivyosema( na bila shaka mnajua wameshaanza) ....msisite kuja hapa kupongeza pia.......

Nape, tulizoe ulipokuwa unaropoka kila siku kuhusu mshahara wa Dr wa Ukweli, Naomba kuuliza swali la nyongeza, Je, katika maisha yako ndani ya chama cha magamba ulishawahi kuhisi ama kujua kuwa Msekwa ni fisadi? na je uliwahi kufahamu kuwa Luhanjo ndiye anayetengeneza mabomu yote. Mbona muda wote ulikuwa unamwandama Dr wa Ukweli na wakati unawatu wazito unafanya nao kazi lakini ni wachafu sawa na lowasa na chenge? au na wewe ni mmoja wapo. na kama hutajibu maswali yangu. Kuanzi leo natangaza kuwa hata wewe ni FISADI.
 
Zamani facts na arguments vilikuwa ni mapambo hapa jamvini, sikuhizi hisia na kejeli zinajitahidi kupamba jukwaa.....

Siku nikiingia Igunga mtajua tu, hakuna sababu ya kuandikia mate wakati winno upo......
Ushauri wa bure: Sina uhakika kama uliwahi kuuona ushauri niliokupa hapa mara ya mwisho, ila nitakueleza kwa ufupi tu, kwa jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu ccm haitoweza tena kuiteka mioyo ya Watanzania.

Sasa kijana kama wewe unatakiwa uongeze ziara nyingi kadili uwezavyo ili upate posho nyingi kwa muda mfupi, tena ningekushauri uongee na William Malecela ili wakualike Marekani ukafunguwe matawi ya ccm ili litakuongezea posho nzito zaidi maana safari ya Marekani itahitaji na pesa ya shopping.
Kumbuka mwakani ni uchaguzi mkuu wa ndani ya CCM, usiposikiliza ushauri huu usije ukajuta, wenye chama chao mwakani watahakikisha watu wote wasumbufu hamrudi madarakani na kama kigenzo ni ufisadi imethibitika ccm ni chama cha mafisadi ila tu mnazidiana dau la kiufisadi, nimejiridhisha hili baada ya kupata kashfa za Pius Msekwa. ccm kwishney!!
 
Bora kapotea, maana kuna wakati kila ukifungua blog za Wabongo ulikuwa humkosi. Sasa ameibuka starring mpya, Makamu wa Pili wa Rais, Gharib Balal au sijui nani. Kila kukicha, ni kizee hiki kikipeana mikono, kikifuturisha au kikitoa hotuba aka kutembeza pumba kama hakina akili nzuri.

Umeifanya siku yangu iwe nzuri sana.

Hakitadumu Chama cha Mapinduzi, Hakidumu.
 
ngoja nikuulize wewe nape....kama kweli wewe ni kiongozi tena katibu mwenezi wa chama kwa nini wamekupikataza kwenda igunga?

sababu ni nini.......ulikuja juu kweli sasa hivi naona umelowanisha?

mle ndani ya kikao siku ile uliona jinsi lowas alivyo na nguvu? .jamaa alikuwa kimya na wengine ndo wanamtetea
 
CCM hata wapate mwanapropaganda aina gani ndoto ya wao kuchukua hii dola tena haipo, tena kabisaaaa. Chadema tu, Nape ni sehemu ya wale watakao jenga historia ya masalia baada ya ccm kuporomoka.
 
cc yenu ya juzi uliona jk anavyogeuka na kujifanya hajui kitu.....eti anamuuliza msekwa....''msekwa uliniambia wamekwambia wataangalia na kujipima ndivyo ulivyosema?'' yaani yeye kama raisi hasemi kitu ila anasakizia.....na wewe nape wacha nikwambie unakumbuka chiligati alipokupigia simu na mkaongea na kukwambia mfanye jitihada zenu kwa akili maana mnaweza kupotea ndani ya kipindi cha mwisho cha jk......kumbuka kijana wewe ni kijana mdogo sana na hujui siasa za nchi hii...kipindi kile uko singida unafanya mikutano yako na kusema utamlipua dr slaa na chadema ....unakumbuka baada ya kutoka huko jk alikutumia meseji akasema ''usihofu na wala wasikutishe endelea hivyo hivyo'' lakini gafla ulipomkashifu mzee wa mikasi( makamu wa kwanza wa rasi wa zanziba) unakmbuka ni jkyule yule alikupigia simu na kukulaumu naakakuonya kwa maneno makali?........kama haitoshi katibu wako mkuu wa chama unamuona anavyokugeuka kila mara na kukubebessha zigo?

jaribu kufikiri upya juu ya mambo yako kijana unayofanya....huna mda utapotea na utapotezwa bila kujijua wenzako wajanja we kurupuka tu....fanya mambo kwa akili kijana sisi wengine tunakuangalia tu na mda ukifika utanyamaza na hutasema tena ...acha kukurupuka kumbuka yule mzee wa iringa(baba wawili) alivyokwambi siku ile wakati uko chanel ten kuwa huzijui siasa za nchi hii....na kweli huzijui....
 
EDSON,
Kwanza pole sana kwa kujitahidi KUTUNGA UONGO WAKO HUMU.... Haya mawasiliano unayoyasema humu SIYAJUI vinginevyo kuna Nape mwingine mahali.... Mimi mjumbe halali wa CC uyasemayo hayajawahi kutokea, labda ile CC yenu mlokaa Morogoro kutathimini mtaendelezaji Ufisadi wenu katika mazingira haya ya kina " nape"..
Lakini hivi umesahau mtu mzima HATISHIWI NYAU? vitisho vya " huna mda utapotea"..." kijana mdogo tu huyo nikikitaka kichwa chake asb kitakuwa hapa".. " hazijui siasa za nchi hii huyo dogo"... HAZIJAANZA JANA, WALIANZA SIKU NYINGI WALIOKUTANGULIA, BADO NIKASIMAMA IMARA LEO NIKO HAPA....USHAURI USIPOTEZE MUDA NA WENZIO KWA VITISHO VYA KITOTO KAMA MNADHANI MNAWEZA...VIDUME KWELI... TUENDELEE NA SAFARI TUONE PUMZI ZA NANI ZITAKWISHA MAPEMA.... CHAMA HICHI KILIJENGWA KATIKA MISINGI HATUWEZI ACHA MISINGI YAKE KWA KUJIDANGANYA CHAMA KITAENDELEA KUWEPO, HUWEZI BOMOA MISINGI YA NYUMBA NA UKATUDANGANYA TUTABAKI SALAMA... MNAOJARIBU KWAKUWA SISI BADO TUNAPENDA KUISHI NDANI YA NYUMBA HII TUWASHUGHULIKIE, VINGINEVYO RUDINI KWENYE MISINGI YA CHAMA....
REJEA...imani za mwanachama wa CCM, ndio misingi yenyewe coz inawezekana kwasababu ya kudandia gari kwa mbele
 
hana ujanja kila akigeuka dr.masaburi,jairo,iddy simba,msekwa pius,sasa hali ni tete hakuna msafi yote magamba tu......................
 
EDSON,
Kwanza pole sana kwa kujitahidi KUTUNGA UONGO WAKO HUMU.... Haya mawasiliano unayoyasema humu SIYAJUI vinginevyo kuna Nape mwingine mahali.... Mimi mjumbe halali wa CC uyasemayo hayajawahi kutokea, labda ile CC yenu mlokaa Morogoro kutathimini mtaendelezaji Ufisadi wenu katika mazingira haya ya kina " nape"..
Lakini hivi umesahau mtu mzima HATISHIWI NYAU? vitisho vya " huna mda utapotea"..." kijana mdogo tu huyo nikikitaka kichwa chake asb kitakuwa hapa".. " hazijui siasa za nchi hii huyo dogo"... HAZIJAANZA JANA, WALIANZA SIKU NYINGI WALIOKUTANGULIA, BADO NIKASIMAMA IMARA LEO NIKO HAPA....USHAURI USIPOTEZE MUDA NA WENZIO KWA VITISHO VYA KITOTO KAMA MNADHANI MNAWEZA...VIDUME KWELI... TUENDELEE NA SAFARI TUONE PUMZI ZA NANI ZITAKWISHA MAPEMA.... CHAMA HICHI KILIJENGWA KATIKA MISINGI HATUWEZI ACHA MISINGI YAKE KWA KUJIDANGANYA CHAMA KITAENDELEA KUWEPO, HUWEZI BOMOA MISINGI YA NYUMBA NA UKATUDANGANYA TUTABAKI SALAMA... MNAOJARIBU KWAKUWA SISI BADO TUNAPENDA KUISHI NDANI YA NYUMBA HII TUWASHUGHULIKIE, VINGINEVYO RUDINI KWENYE MISINGI YA CHAMA....
REJEA...imani za mwanachama wa CCM, ndio misingi yenyewe coz inawezekana kwasababu ya kudandia gari kwa mbele

Misingi gani ambayo ipo na inafuatwa ndani ya CCM Nape!!?? Hebu speak from your heart... You are surrounded with a bunches of thieves and greedy people... Rejea nukuu za marehemu Kolimba labda zinaweza kukusaidia.
 
Huyu dogo nae sijui anakubalije kutumika kirahisi hivyo. Kwa umri wake alitakiwa awe fame. Asimamie maadili ya Chama apigie debe chama kujiingiza moja kwa moja kwenye ugomvi na mapacha watatu itamcost. Nakuhakikishia hii inaweza kuwa nafasi yake ya mwisho kupata kama hiyo post maishani mwake
 
ngoja nikuulize wewe nape....kama kweli wewe ni kiongozi tena katibu mwenezi wa chama kwa nini wamekupikataza kwenda igunga?

sababu ni nini.......ulikuja juu kweli sasa hivi naona umelowanisha?

mle ndani ya kikao siku ile uliona jinsi lowas alivyo na nguvu? .jamaa alikuwa kimya na wengine ndo wanamtetea
kaka edson wajina wangu jamaa umemshika pabaya sana katika uchangiaji wako hali yake ni mbaya unaona anavyojiumauma mwaga data ..............................mpaka kajitokeza umetekenya penyewe kabisaaa,
 
EDSON,
Kwanza pole sana kwa kujitahidi KUTUNGA UONGO WAKO HUMU.... Haya mawasiliano unayoyasema humu SIYAJUI vinginevyo kuna Nape mwingine mahali.... Mimi mjumbe halali wa CC uyasemayo hayajawahi kutokea, labda ile CC yenu mlokaa Morogoro kutathimini mtaendelezaji Ufisadi wenu katika mazingira haya ya kina " nape"..
Lakini hivi umesahau mtu mzima HATISHIWI NYAU? vitisho vya " huna mda utapotea"..." kijana mdogo tu huyo nikikitaka kichwa chake asb kitakuwa hapa".. " hazijui siasa za nchi hii huyo dogo"... HAZIJAANZA JANA, WALIANZA SIKU NYINGI WALIOKUTANGULIA, BADO NIKASIMAMA IMARA LEO NIKO HAPA....USHAURI USIPOTEZE MUDA NA WENZIO KWA VITISHO VYA KITOTO KAMA MNADHANI MNAWEZA...VIDUME KWELI... TUENDELEE NA SAFARI TUONE PUMZI ZA NANI ZITAKWISHA MAPEMA.... CHAMA HICHI KILIJENGWA KATIKA MISINGI HATUWEZI ACHA MISINGI YAKE KWA KUJIDANGANYA CHAMA KITAENDELEA KUWEPO, HUWEZI BOMOA MISINGI YA NYUMBA NA UKATUDANGANYA TUTABAKI SALAMA... MNAOJARIBU KWAKUWA SISI BADO TUNAPENDA KUISHI NDANI YA NYUMBA HII TUWASHUGHULIKIE, VINGINEVYO RUDINI KWENYE MISINGI YA CHAMA....
REJEA...imani za mwanachama wa CCM, ndio misingi yenyewe coz inawezekana kwasababu ya kudandia gari kwa mbele

deep down unajua naanisha nini maana unajua kila kitu.....we jifanye hujui wakati una wakati mgumu na unalijua...upepo umeanza kugeuka na na sasa unaweweseka.....jipime uangalie utendaji kazi wako na hao wenzako unaodai viongozi wako wa juu.......nilikuuliza hapo juu unambie kwa nii umekatazwa kwenda igunga kusaidia kampeni??

nakwambia kama ulivyowahi kusema wewe mwenyewe kuwa tatizo ni mwenyekiti wa chama...na ni kweli anzieni hapo...na huyu ndiye tatizo la msingi mtoeni hapo haraka maana hajui anafanya nini....hata kada mwenzako shyrose banji kasema na heri yake huyu yuko wazi na kasema kweli kuwa nchi imemshinda jk...sasa wewe umeingia kichwa kichwa huku unajua kabisa kuwa tatizo ni mwenyekiti sasa subiri atakapokutoa kafara ndo utajua....uanike sasa hivi kijana kungali mapema na jua bado la sivyo utautwanga mbichi''........

halafu kingine huu ni ushauri wa bure kwako rekebisha maswala yako ndoa na mkeo achana yule mama wa singida(mbunge viti maalumu) mjali mkeo kwanza na hili linakutesa sana kwa sasa.......mrudie mkeo halali achana na huyo mama ...
 
Nadhani inatia aibu kusema jambo ambalo huna hakika nalo....nimejaribu kusoma kejeli hapa nyingi sana lakini nasema mambo yatakapo kuwa kama nilivyosema( na bila shaka mnajua wameshaanza) ....msisite kuja hapa kupongeza pia.......[/QUOTE

Igunga umejiandaandaaje?
 
Back
Top Bottom