Wapi Nape?

Nape sasa anapokea maelekezo kutoka kwa lowasa atafanya nini ccm sasa inaongozwa na lowassa siku c nyingi mtanielewa na kukumbuka nilichosema!!
 
Anasaidia kuongeza hasira za watu. Sababu Wachaga kashawatibua, CUF na Sharif. Arudi tu, labda atatibua na wa Lindi, Tanga na Mtwara. (mtaji wa ccm)
 
Nahii ishu ya Msekwa na Ngorongoro, sasa atasema nini, maana msekwa alitangaza kwa mbwembwe kuwa mafisadi ndo wameshusha umaarufu wa ccm, sasa kumbe na yeye ni gamba, Hivi msekwa kwa sasa anaweza kumwita ofisini lowasa ili ampe barua. Mnategemea nepi atasema nini sasa mkojo umezi na ma**i pia kwenye nepi. Hivi yupo kweli? Muvi tunalosubiri sasa ni gamba kuu jk kuingia rasmi kwenye picha. yetu macho Nape aliingia choo cha kike. Unajua cha kushangaza jk sasa ni futuru na kuhudhuria misiba tuu. bongo tambalale.
 
Nape anajiandaa kwani yuko na watu makini wasiojua ni vigumu kunielewa.Nyie subirini mtaona tu kimya cha Nape, hiyo yote inayosemwa ni njama za mafisadi ila watashindwa tu.Watu mnaowataja walishachafuka hawasafishiki hata kwa gunia la sabuni ya unga.
 
Wakati wa mgogoro wa jengo la UVCCM mzee makamba alimwambia ni njaa tu ndio inamsumbua akishiba atakaa kimya.. ...labda neno limetimia
 
Atakuwa anajipanga atoke vipi,maji ya shingo yamemfika

Kama inafikia hatua mtu anazuiwa kwenda kwenye kampeni wakati yeye ni katibu wa itikadi na uenezi unategemea nini
 
Nadhani inatia aibu kusema jambo ambalo huna hakika nalo....nimejaribu kusoma kejeli hapa nyingi sana lakini nasema mambo yatakapo kuwa kama nilivyosema( na bila shaka mnajua wameshaanza) ....msisite kuja hapa kupongeza pia.......
 
Sisi hatujui kama wameshaanza........Lowassa na Chenge kujivua then.............basi.........what about the aftermath.
 
Nadhani inatia aibu kusema jambo ambalo huna hakika nalo....nimejaribu kusoma kejeli hapa nyingi sana lakini nasema mambo yatakapo kuwa kama nilivyosema( na bila shaka mnajua wameshaanza) ....msisite kuja hapa kupongeza pia.......
Nashukuru kwa kujitokeza watu walianza kuwa na wasiwasi huyu ndugu kapotelea wapi.......hata hivyo nina swali moja, lini utakwenda Igunga maana kwa cheo chako wewe ndiye hasa wa kukiuza chama hasa wakati huu wa uchaguzi, nauliza hivyo kwa sababu nilisikia tetesi kuwa CC imekuzuia wewe na Chiligati kwenda huko ni ya kweli hayo.
 
Bora kapotea, maana kuna wakati kila ukifungua blog za Wabongo ulikuwa humkosi. Sasa ameibuka starring mpya, Makamu wa Pili wa Rais, Gharib Balal au sijui nani. Kila kukicha, ni kizee hiki kikipeana mikono, kikifuturisha au kikitoa hotuba aka kutembeza pumba kama hakina akili nzuri.
 
Back
Top Bottom