Wapenzi wa Rock music!

Guys..kiukweli rock music ni noma...yaaani unaweza ukawa chizi ukipandwa na mzuka.. Napenda sana rock..coz ni mziki ambao hauna instrumental..yaani unapigwa live..wa guitar unamwona, wa drumkit unamwona, wa keybrd unamuona.... Pia, i like the way watu wanavyovaaa! Kinda awesome!

Ninazo nyimbo za hawa watu wa rock lakni kwangu mimi ni ngumu kumeza! Nasikiliza basi tu

hahahaha.. Ukijizoesha utazipenda tu..au..ukiwa na mtu anayezipenda akufanya uzipende. Mimi skull nimewafanya washkaji zangu wengi wameanza kuwa wapenzi wa rock.

Mwehhhh

AC DC all the way ..

Hao mababu na waheshimu na uniform

zao .... ubahatike kuwa ona LiVE..

Guns and Roses nawavulia kofia hao jamaa..

Nilikuwa namfagilia Darkness ..sijui kapotea

Wapi siku hiizi..

Pia napenda sana nyimbo za Pink na Kelly

Clackson ingawa nyimbo zao nyingine ni

Pop....

Ntaa endelea baadaye....

nakumbuka enzi ya AC/DC, METALLICA, NIRVANA, THE BEATLES, ELVIS, IRON MAIDEN... Zilikuwa rock za ukweli! I likes it!

Mi siwezi kujiita mpenzi wa ROCK ila kuna baadhi ya nyimbo napenda...

Use somebody - Kingss of Leon

Boulevard of broken dream - Green day

American idiot - green day

Na baadhi ya nyimbo za Linkin park na pink.

Nwy kutaka bongo wapende sana/wasuport na hata kutengeneza rock ni kazi kweli ukizingatia kupiga vyombo live ni moja ya udhaifu wetu..na ile inataka watu wachanganye drums na guitar live kama hawana akili nzuri!!

wow, umesema Green Day? Ohh! Hawa jamaa ni wa ukweli!

napenda alternative country coz inaelekea kufanana na classic rock...

Yeah! country naipenda sana. Ukisikiliza zilipendwa nyingi tz zilikuwa katika mahadhi ya country, nampenda sana Blake,underwood.
Rock mzuka unapanda mpaka wanavunja magita. Masoud masoud alikuwa anajaribu sana hapa TZ

Whats ur fav band.. Green day, linkin park, one republic, my chemical romance, metallica, u2, 30 seconds to mars, the rasmus, neon trees, capital light, death cab for cuties, nirvana, ac/dc, hawk nelson, sanctus real, skillet, since october, sevedust, underoath, bullet for my valentine, blink 182, cobra starship, paramore, evanescence, nickelback, daughtry, avril lavigne, simple plan, fuels, creed, since october, the fray, jimmy eat world, third eye blind, papa roach, system of a down (S.O.A.D), carnical corps, chirdren of bodoms, take that, lifehouse, vertical horizon, official hot mess, red hot chill perpers, the offsprings, boys like girls, face, crossfade, coldplay, cranberries, panic! At the disco, crazytown, gorillaz, 10 years, pink, sum 41, remy zero, everclear, fall out boy, kelvin rudolf, lil wayne, good charlote, jewel, billy talent, all american reject, take that, rev theory, rancid, red car wire, escape the fate, five finger death punch, bill boy on poison and the white tie affair?

Yeah! country naipenda sana. Ukisikiliza zilipendwa nyingi tz zilikuwa katika mahadhi ya country, nampenda sana Blake,underwood.

Rock mzuka unapanda mpaka wanavunja magita. Masoud masoud alikuwa anajaribu sana hapa TZ

hahahahaaa, ful mzuka, wow.... Katika country Namkubali alan jackson, billy ray, cyrus, blake shelton, jason aldean, groliana na wale wanamuziki wa country enzi zile za kenny rogers and dolly....

apolinaryprotas;Whats ur fav band
one republic, metallica, nickelback, october, the fray, gorillaz, 10 years, pink, billy talent,rancid,coldplay,cranberries

Hi Tanzanians, i think hapa kwetu nchini kuna wapenzi wachache sana wa Rock, Punk, Electro and Gothic.. I think its time for us to support it. Kuna bends nzuri kama vile Linkin Park, 30 seconds to mars, One Republic na nyinginezo hazipewi kipaumbele katika radio chats, awards na tv chats zetu.. Only TBC International radio j3 mpaka jmosi saa 3 till saa 6 asubuhi and Chanel 5 (EAST AFRICA TV) jmosi saa 3 asubuhi mpaka saa 4. Mimi ni mpenzi sana wa Rock.. But nimekutana na watu wachache wanaoipendi hii miziki, i dont know why inakuwa hivyi! Lets support Rock Music. Nimegundua Kenya wanapenda Rock and inalipa kule. Hakuna muziki wa race, kila aina ya mziki ni ya wote. Nawatakia siku njema! Ya boy RoCKstaR!

Mkuu thanks for this useful thread, mm napenda saaaaaaaaana Music, nasikiliza kila aina ya music hata kama sisikii wanasema nn japo beats zina kuna vains zangu. Uzuri wa music wa Rock ni performance banaaa na namna wanavyovaa majukwaani. Na mzuka wa mwimbaji hasa pale anapofikia kwenye bridge anapaza sauti kwenye highest fine and sharp tune....kwa waTZ tulioshindia viporo tukiwa tunakuwa na kutembea peku vijijini hapo hatuwezi, utatema kilimi bureee au kukoholea mic.

Ila saingine wanaume wanavyojipaka mawanja wana nikera sana

hahahahaaa, ful mzuka, wow.... Katika country Namkubali alan jackson, billy ray, cyrus, blake shelton, jason aldean, groliana na wale wanamuziki wa country enzi zile za kenny rogers and dolly....

wow, yaani hao wote ninawakubali mno!

Mkuu thanks for this useful thread, mm napenda saaaaaaaaana Music, nasikiliza kila aina ya music hata kama sisikii wanasema nn japo beats zina kuna vains zangu. Uzuri wa music wa Rock ni performance banaaa na namna wanavyovaa majukwaani. Na mzuka wa mwimbaji hasa pale anapofikia kwenye bridge anapaza sauti kwenye highest fine and sharp tune....kwa waTZ tulioshindia viporo tukiwa tunakuwa na kutembea peku vijijini hapo hatuwezi, utatema kilimi bureee au kukoholea mic.

Ila saingine wanaume wanavyojipaka mawanja wana nikera sana

mkuu umenifurahisha saaaaana! Realy! Hii miziki ina mzuka sana, inabidi ushibe. Napenda the way wanavyovaaa. Its awesome yaani usipime!

Naikumbuka hii ndio ilikuwa post yangu kipindi kileee, nilipokuwa naanza kuwa member. Thanx to all ambao mnapenda rock pia. Rock on. \m/

Raha kujua nina company yako mkuu kwenye rock, yaani Jpili saa nane mpaka saa kumi no matter nilipo will listen to East Africa Radio, mkuu ulikuwa pale Sweet Eazy Idd mosi?

Raha kujua nina company yako mkuu kwenye rock, yaani Jpili saa nane mpaka saa kumi no matter nilipo will listen to East Africa Radio, mkuu ulikuwa pale Sweet Eazy Idd mosi?
nimefurahi kusikia kuwa nawe ni mwanachama.. Thats good. Yaani hata mimi hicho kipindi cha rock sikikosi, ninakipenda. Na kile cha ''rock and pop steve on the daily edition''-TBC international.. Duh, sikuwepo hapo kwenye Sweet Eazy Idd.. Vipi palikuwa pa ukweli ehh? :)

Nawapenda NICKLEBACK
kweli! Nickelback wanaweza na vocalist wao Chad Kroger.. Kuna far away, i wanna b a rockstar, how you remind me, photograph, too bad, someday, if everybody cares, if today was ur last day, you will neva be alone, burn it to the ground, sex, something in ur mouth..ni noma.. Albam ya 'Darkhorse' imetulia kiukweli. :)

Dah!!! Actually huo kwenye red ndio nausikiliza sasa hivi

Back
Top Bottom