Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,221
Hi Tanzanians, i think hapa kwetu nchini kuna wapenzi wachache sana wa Rock, Punk, Electro and Gothic.. I think its time for us to support it. Kuna bends nzuri kama vile Linkin Park, 30 seconds to mars, One Republic na nyinginezo hazipewi kipaumbele katika radio chats, awards na tv chats zetu.. Only TBC International radio j3 mpaka jmosi saa 3 till saa 6 asubuhi and Chanel 5 (EAST AFRICA TV) jmosi saa 3 asubuhi mpaka saa 4. Mimi ni mpenzi sana wa Rock.. But nimekutana na watu wachache wanaoipendi hii miziki, i dont know why inakuwa hivyi! Lets support Rock Music. Nimegundua Kenya wanapenda Rock and inalipa kule. Hakuna muziki wa race, kila aina ya mziki ni ya wote. Nawatakia siku njema! Ya boy RoCKstaR!