Wapenzi wa Rock music!

Also always tune to East Africa Radio on Sundays from 2pm to 4pm they usually play good Rock music kipindi chao kinaitwa LIVE WIRE
 
nimefurahi kusikia kuwa nawe ni mwanachama.. Thats good. Yaani hata mimi hicho kipindi cha rock sikikosi, ninakipenda. Na kile cha ''rock and pop steve on the daily edition''-TBC international.. Duh, sikuwepo hapo kwenye Sweet Eazy Idd.. Vipi palikuwa pa ukweli ehh? :)

Nilipenda music iliyopigwa siku hiyo sana, pamoja na uchovu wa safari nilienjoy! Ziada wa EA radio nailed it alipochukua udj! watu walikuwa wachache ila was nice, nilitoka mkoa kuifuata rock nite na kurudi mkoa!
 
Also always tune to East Africa Radio on Sundays from 2pm to 4pm they usually play good Rock music kipindi chao kinaitwa LIVE WIRE

No wonder unaiita The Finest! From nimeona ile post ya mdada kukufia najitahidi kusoma post zako kadiri nipatavyo muda, she had a reason...!
 
Scorpion kaka kutoka Ujerumani ni noma 'napenda wind of change',zoo,Train,rock you like a hurricane,still loving you,pia wale wahuni wa uingereza Iron Maiden na Brave new world,wild wind blows,coming home,pia bibi TT ni moto
Hapa bongo wapenzi wa rock unawahesabu,tofauti na Nairobi kuna kumbi special za muziki wa rock
 
mhh! Kuna metals nyingine nzuri. Me too, kinachonifanya nipende rock ni kuwa, napenda kuona live shows..pia i like guitarz and drum kitz.
Kwa gitarz nyuzi bin nyuzi kaka mimi nawavulia kofia wahuni wa uingereza wale jamaa wanne wa Iron Maiden chini ya David Harris ,kuna wimbo unaitwa Brave new world hizo nyuzi ni balaa na hizo drums sijui ziko mia moja ni hatari
 
hiyo band ni nzuri sana ndugu.. Aisee huo wimbo c'na. Itanibidi leo night niu-download.. Guitar lina raha yake mkuu.
 
Scorpion kaka kutoka Ujerumani ni noma 'napenda wind of change',zoo,Train,rock you like a hurricane,still loving you,pia wale wahuni wa uingereza Iron Maiden na Brave new world,wild wind blows,coming home,pia bibi TT ni moto<br />
Hapa bongo wapenzi wa rock unawahesabu,tofauti na Nairobi kuna kumbi special za muziki wa rock
yeah, Nairobi nawapa big up sana kwa hilo. Hata south na Namibia wanapenda rock.. Hapa bongo tupo wachache.
 
Hey hey Me too Im crazy about rock music and my favorite band I like is Tokio Hotel, and speaking about rock music in Tanzania its true there very few fans of rock and I was actually thinking that if I get people and we join and form a band one day we start singing rock music in tanzania to wake them up.
 
Am a ROCK Fanatic,my best Rock bands are Cold play,Owl city,30mnts to mars,muse ,linkin park,U2 nd the Rasmus they ar jc too talented,i real enjoy listening their Hits!
 
I hope I'm not late kwa hii thread, I'm a Rock addict since nipo kid those days za akina Bruce Springsteen, AC/DC, Rollingstone it was awesome.. The biggest chance niliyopata kusikiliza rock to the fullest ni nikiwa advance level thru Xfm ya Kenya.. Nina a lot of digital downloads from Avenged Sevenfold to Foster the People, from Seether (South Africans) to Iceland'sOf Monster and People.. I know many contemporary rock songs and bands na over 95% of music in my phone ni Rock! -- Now playing Turn Blue - The black keys..
 
Apollo umepotea sana siku hizi. siku hizi nasikiliza sana power na folk metal. blind guardian, children of bodom, alestorm, amaranthe, theocracy, sinbreeds, sonata artica, sabaton na freedom call ndiyo band zangu sikuhizi. ila mumfords and sons huwasikiliza pia.
 
Habari kaka Red Giant. Samahani sana kwa kupotea kwangu. Ni kwa majukumu tu ndio yalinibana. Napenda kushukuru kwa kuendelea kuwa pamoja na mimi katika mada mbalimbali hasa za rock na Intelijinsia. Nimerudi kaka, naamini tutakuwa tunaleta mada mpya na kupromote mziki huu tena. Bless.
 
pole na majukumu na karibu sana mkuu. rock fans wote inabidi tusikilize track ya AC/DC for those about to rock, kufurahia come back ya Apollo.
 
pole na majukumu na karibu sana mkuu. rock fans wote inabidi tusikilize track ya AC/DC for those about to rock, kufurahia come back ya Apollo.
Hahaha, Asante sana kaka. Nami nitasikiliza rocks kama kawaida kufurahia ushabiki wa Rock.
 
kuna album mpya ya imagine dragons ni nzuri sana. inaitwa smoke and mirrors, nimependa nyimbo smoke and mirrors na thief.
 
habari wakuu. ni jinsi gani naweza pata album ya mumford and sons inaitwa wilder mind imetoka mwezi wa tatu?
 
Nawapenda akina Demi Lovato, Miley cyrus, Alvir Lavigne, Taylor Swift, Katty Peri and the like, sijui nayo ni Rock?
 
Nawapenda akina Demi Lovato, Miley cyrus, Alvir Lavigne, Taylor Swift, Katty Peri and the like, sijui nayo ni Rock?
lavigne anapiga rock japo mwwanzoni alianza na pop. hao wengine wanachanganya country ,pop na rock. umewahi msikiliza kelly clarkson?
 
Back
Top Bottom