Wapenzi wa Rock music!

Jamaa wa rock wanajua kufanya live show ni balaa full hyper ,AC /DC,Linkin park,The mettalica na cold play wako poa.Kibongo bongo rock music wasema nyimbo za majini especially Gothic metal

Coldplay,metallica,3doors down,U2 yaani ni mzuka sana!huku A-town kuna sehemu kama empaya,vuavua na colobus unaweza pata vionjo vya hii miziki.
wow! Ur awesome! Good hata mimi ninawakubali sana.

Jamaa wa rock wanajua kufanya live show ni balaa full hyper ,AC /DC,Linkin park,The mettalica na cold play wako poa.Kibongo bongo rock music wasema nyimbo za majini especially Gothic metal
wow... Ni kweli kabisa...they roock. Thats good kama unapenda Gothic, ni waTZ wachache wanaipenda.

Ni kweli unalosema... ila B.O.B sio saana, Bruno Mars kabisaaa.... na Ule wimbo mpya wa CB na TP... does it qualify kua Rock?? really....And i do agree kuhusu vionjo vyake.... (musicians) naona music saizi ina evolve Ila i second Eqlypz kwenye hio Metal Music.... i can not stand it.
B.O.C na bruno mars wanatumia Alternative rock mxd with instrumental! Check live shows zao! METAL IS AWESOME!

Ninazo nyimbo za hawa watu wa rock lakni kwangu mimi ni ngumu kumeza! Nasikiliza basi tu

Mwehhhh
AC DC all the way ..
Hao mababu na waheshimu na uniform
zao .... ubahatike kuwa ona LiVE..

Guns and Roses nawavulia kofia hao jamaa..

Nilikuwa namfagilia Darkness ..sijui kapotea
Wapi siku hiizi..

Pia napenda sana nyimbo za Pink na Kelly
Clackson ingawa nyimbo zao nyingine ni
Pop....

Ntaa endelea baadaye....

Huyo dada kuna wimbo wake mmoja unanikosha sana 1. Don't Let Me Get Me ila nauzimia sana 2. I Don't Believe You.
1

2

Last edited by a moderator:
Mie niliona kwenye show ndogo sana katika 3D.

Aisee, ilikuwa unamuona Bono karibu sana hadi unataka kumshika mkono. Kama sikosei ilikuwa ni Concert ya Brazil.

Stage la U-2 kwa kweli linatisha. Ni kama ule mdude wa The Rolling Stones. Ila Stones wana zile Spika zao za JBL wanazifunga juu na zinakuwa zinaonekana kama Mpira ni mwisho wa matatizo. Kuna jamaa anadai siku moja wamefanya Effect ya kuzima moto na ule mvuke/hewa waliipuliza hadi watu waliokuwa zaidi ya mita 300 walilipata joto.

Rocky Music ni nzuri kwa LIVE show nakubaliana na member aliyesema hivyo. Ndiyo maana wanamuziki wengi wa R&B huwa wanaweka elements za Rocky kwenye show zao na mmoja wapo ni Usher.
Kuna mtu yoyote alifanikiwa kuwaona U2 kwenye 360 Tour?

Ile stage ya U2 360 ni noma.

Last edited by a moderator:
Kuna mtu amezungumzia guitar kwenye rock, huu wimbo ulinifanye ni fall in love na Jennifer Batten -literally- maana jinsi alivyoricharaza guitar ni balaa.

Last edited by a moderator:
Mi siwezi kujiita mpenzi wa ROCK ila kuna baadhi ya nyimbo napenda...

Use somebody - Kingss of Leon
Boulevard of broken dream - Green day
American idiot - green day
Na baadhi ya nyimbo za Linkin park na pink.

Nwy kutaka bongo wapende sana/wasuport na hata kutengeneza rock ni kazi kweli ukizingatia kupiga vyombo live ni moja ya udhaifu wetu..na ile inataka watu wachanganye drums na guitar live kama hawana akili nzuri!!

sex on fire-kings of leone

Hivi nyimbo za "simple plan" pamoja na "sugar ray" nazo ni rock? Mana nazipenda ile mbaya!

Back
Top Bottom