Kama ataifikisha kwa jinsi anavyo fungua zipu na wasiwasi nae sana,dada kutendwa kunauma sana,ila nakushauri utulie sana ndo uchukue maamuzi,kwanza fikiria watoto, maisha yao na elimu yao,hivi unakazi? na hiyo kazi inaweza kukusuport wewe na hao watoto?je maisha ya hao viumbe itakuwa salama?basi ukisha hakiki hayo unaweza kuachana na huyo mzinziNiliomba MUNGU MNO NA BADO NAOMBA.NIlienda kwa wachungaji mfano MCH Chegere,SEMTOMVU,mme wangu hakomi na ni only 34 yrs.mpaka akafikishe 70?nitakufa kwa pressure