Wapendwa mnisaidie how to move on,nataka kumdelete mme wangu parmanently

Niliomba MUNGU MNO NA BADO NAOMBA.NIlienda kwa wachungaji mfano MCH Chegere,SEMTOMVU,mme wangu hakomi na ni only 34 yrs.mpaka akafikishe 70?nitakufa kwa pressure
Kama ataifikisha kwa jinsi anavyo fungua zipu na wasiwasi nae sana,dada kutendwa kunauma sana,ila nakushauri utulie sana ndo uchukue maamuzi,kwanza fikiria watoto, maisha yao na elimu yao,hivi unakazi? na hiyo kazi inaweza kukusuport wewe na hao watoto?je maisha ya hao viumbe itakuwa salama?basi ukisha hakiki hayo unaweza kuachana na huyo mzinzi
 
Kama uyasemayo ni kweli (kuwa ana small house tatu), kapime mpendwa, ukiona uko poa ... Chukua maamuzi magumu, atakuua!
 
I realy feel you and understand the situation your in and im realy sorry ......umeshauriwa mengi dada ila pamoja na yote usiache kusali tumia maandiko matakatifu...omba ulinzi kwa familia yako soma zaburi ya 35 sambaratisha kila maroho kutoka kwa kizazi cha mumeo na haribu kisiingie kwa watoto wako ..im sure usipovunja ..baada ya miaka 30 utaletewa kesi na wakwe zako na wewe utajibu kama mama mkwe wako anavyokujibu leo kuwa hata baba yake alikua hivyo.....mwanamke ni jeshi kubwa ..

Pia Mungu ameumba jambo jipya mwanamke atamlinda mwanaume..no one ana uchungu naye kama si wewe mama yake hawezi mbadilisha yupo aliyemfinyanga naye anajihusisha sana na mambo yako ...you just have to pray nakuombea uchungu wako uondoke amani upendo vicheko virudi ndani ya nyumba yako in Jesus name

Nashukuru,wakati mwingine najiuliza hivi Mungu yupo kweli?
 
unahitaji maombi, mnyime unyumna kwa sasa kapimeni
itisha kikao cha wazazi wakwe aahidi na akubali kuwa mwaminifu
akikataa omba kutengana mkifa wote nani atalea watoto bora kusuka ili kuokoa watoto.
 
34 years,ni utoto tu,akikua ataacha. swala la kumbwaga au lah,naamini ni la kwako kama ilivyokuwa wakati anakuingiza mkenge. mmeo atakuwa ni limbukeni tu,sababu haihitaji kulala kwa nyumba ndogo ili kukidhi haja zake za ndoa,angeweza kabisa kula na kipofu pasipo kumshika mkono,hebu jichunguze wewe isijekuwa maamuzi ya mumeo yanatokana na 'stress' za ndoa. inahitaji ujasili wa kishetani mwanamume aliyeoa kwenda kwa mwanamke mwingine na kuilala huko huko.
 
Hizi ni nyakati za mwisho, tutafanya uovu lakini siku moja itaisha. Naomba uwe mtulivu, kama kweli hii shida unayo ebu mwambie Mungu akupe moyo wa uvumilivu. Sisi tukianza kusema hapa tuliyonayo nafiikiri utampenda mumeo sana na kuona yake ni nafuu. Sasa basi shika kilicho chako, komaa nae, mwambie nakupenda sana mume wangu hata kama wewe hunipendi unaenda kwa nyumba ndogo zako.

Nikwambie the way tunavyosurubika na hawa wanaume huku kitaa ungemshika wako vizuri usimwache mumeo (hakuna kama yeye). . Ebu angalia wapi unakosea maana tunaongea mengi lakini tukija kwenye ukweli unakuta sisi ni vyanzo. Hata wewe siyo mwema/mzuri sana. Omba kwa ajili yako, ujisamehe, msamehe mwenzio maana bila hivyo hutasamehewa.
 
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs nikasamehe.ana small hous 3 ninazozifahamu.alisafiri kwenda mkoani akasema siku zimeongenzwa.nikaingia kwenye mail yake nikakuta alitakiwa kurudi Dar jana,nipo nje ya Dar nikamtuma mdogo wangu aende air port jamaa aliingia DaR JANA.WHy ALINIDANGANYA?B'COZ ALIPAKA KUSTAY KWA ONE OF SMALL HOUses.NIMECHOKA I NEED TO MOVE ON,PLS help.AMELIE

Pole dada...

Ila huyo jamaa anaonekana kidume cha mbegu hasa maana mtoto wa pili alikuzalisha wa kwanza akiwa na miezi 14... Ina maana mlitungisha mimba miezi mitano tu baada ya wewe kuzaa wa kwanza... Usimuache...
 
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs nikasamehe.ana small hous 3 ninazozifahamu.alisafiri kwenda mkoani akasema siku zimeongenzwa.nikaingia kwenye mail yake nikakuta alitakiwa kurudi Dar jana,nipo nje ya Dar nikamtuma mdogo wangu aende air port jamaa aliingia DaR JANA.WHy ALINIDANGANYA?B'COZ ALIPAKA KUSTAY KWA ONE OF SMALL HOUses.NIMECHOKA I NEED TO MOVE ON,PLS help.AMELIE

pole sana dada.ila usikate tamaa haraka ww jasiri bwana mpaka umeweza kuzaa manake ww ngangali usikubali makahaba wakushinde.km neno la Mungu unalijua kwann usilitumie?ile item anayoenda kutumia ni mali yako kwann usiifungie kwa maombi?akitoka anatoka km alivo akijifanya kwenda kuchombeza haisimami wala nn.neno linasema lolote mtakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa.so fungia iyo kitu.Mungu anachukia kuachana.ni adui tu yuko ndani yake kukuchukiza ww na hapo kaiba ule upendo aliokuwa nao kwako so inabidi umsamehe na kuamini Mungu ndo atamlipa.kisha kumbuka agano na Mungu huwa ni ngumu kulifuta.ulimwambia kifol ndo kitawatenganisha si makahaba.una wakati mgumu sana ila tulia kwanza.hakuna lisilowezekana kwa Mungu usikubali kutupwa mtaani na kahaba.Mungu ndo shahidi wa ndoa.
 
Endelea na original plan yako ya KUMDELETE; swali lako ni how to move on? It is easy at least to you. Una kazi yako, tafuta nyumba nyingine hama. Tena kipindi hiki ambacho una Hasira ndiyo right moment hasa kwa type ya wanawake kama wewe (wenye huruma)! Kwa kweli kama alivyosema nyumba kubwa na dark city, umechelewa sana kuchukua uamuzi huo.

Don't be weak, huyo mumeo anajua mapungufu yako yote ndio maana haachi wala kupunguza ushenzi wake. Kama bado wampenda; separation ni njia pekee ya yeye kujua kuwa anaweza kukukosa for good! Wanaokwambia uvumilie, wanajaribu kuwa nice tu na kukuangalia how serious you are; after all it is ur life n suffering.

Grow up woman!!! You can be on ur own; wangapi wamefiwa na waume zao na kuachiwa half a dozen chidren seuse wewe mwenye ajira yako na vitoto 2 tu!
 
Utavunja ndoa yako kwa kosa dogo ambalo utajuta siku zote na itakuwa aibu kuwaelezea watu baada ya kuachana, ulimfumania unajua ananyumba ndogo tatu ukamsamehe, sasa unataka kuvunja ndoa kwa kukudanganya siku ya kurudi au kwa makosa ya nyuma?
 
Hizi ni nyakati za mwisho, tutafanya uovu lakini siku moja itaisha. Naomba uwe mtulivu, kama kweli hii shida unayo ebu mwambie Mungu akupe moyo wa uvumilivu. Sisi tukianza kusema hapa tuliyonayo nafiikiri utampenda mumeo sana na kuona yake ni nafuu. Sasa basi shika kilicho chako, komaa nae, mwambie nakupenda sana mume wangu hata kama wewe hunipendi unaenda kwa nyumba ndogo zako.

Nikwambie the way tunavyosurubika na hawa wanaume huku kitaa ungemshika wako vizuri usimwache mumeo (hakuna kama yeye). . Ebu angalia wapi unakosea maana tunaongea mengi lakini tukija kwenye ukweli unakuta sisi ni vyanzo. Hata wewe siyo mwema/mzuri sana. Omba kwa ajili yako, ujisamehe, msamehe mwenzio maana bila hivyo hutasamehewa.

afu we niaje we unadhan kila mume ana hadhi ya kuwa mume...yaan yeye anywe maji machafu kwakuwa tu kuna uhaba wa maji...madem bana take action kuna maradhi au mpaka ampelekee ngoma pale alipo (si ajabu anayo tayari) afu we unamwambia avumilie kwa vile tu skuizi kuolewa tabu au coz ndoa za skuiz zina matatizo mengi...nadhan hapa jf wangeweka button ya makofi hata kama siwezi kukata makofi moja kwa moja atleast nionyeshe nia kwa kubonyeza kitufe....umeniboa sana we mama, sijui dada ,sijui binti gadmn bistro
 
Utavunja ndoa yako kwa kosa dogo ambalo utajuta siku zote na itakuwa aibu kuwaelezea watu baada ya kuachana, ulimfumania unajua ananyumba ndogo tatu ukamsamehe, sasa unataka kuvunja ndoa kwa kukudanganya siku ya kurudi au kwa makosa ya nyuma?

kwan ndoa ni kitu gani we mtu...ni muhimu zaidi ya uhai na maisha yako? Mmekutana watu wawili ambao hamjuani wala hamfanani wala sio ndugu...mkakubaliana kuanzisha familia ili muje kuwa na mji wenu hapo mbeleni...leo makubaliano yenu mmoja anayatia doa kwa makusudi kabisa huku akijua hali ya sasa ya maradhi akijua kabisa makubaliano yenu yameleta matunda ambayo ni watoto na jukumu lililo mbele ni kuwatunza yeye fedha anaenda kutumia na malaya wachafu wachafu wanaotembea na mtu kwa sababu ya fedha anauuza utu wako bila hidhini wala kibali chako kuna haja gan ya kuendelea kuvumilia na kuendekeza upumba.vu...kama wewe ni mdhaifu usiwe unachangia mada kama hizi
 
Nashukuru,wakati mwingine najiuliza hivi Mungu yupo kweli?

(ALILIJUA HILO NA NDIO MAANA ANASEMA WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA)
Amelie im trying hard to understand you , wewe kama mama wa familia kuwa na mashaka na Mungu? Sasa kama una mashaka mpz itakuwaje au nisemeje unielewe ?
Mungu yupo na hapo ulipo yupo na anafanya binafsi nina experience zaidi ya elfu amenitendea waziwazi ni si kwa wachungaji wala nini kwa kusoma maandiko na kumkumbusha alisema neno langu halitanirudia bure lazima litafanikiwa kwa kazi ile niliyolituma kwalo….
1.Tubu maneno mabaya yote uliyowahi kuyatamka kwaajili yako na mumeo
2.Samehe na usahau(Sali baba yetu)
3.anza kumueleza Mungu kwa kutumia ref anza na Mathayo 11:28 Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.(hapa sasa sema naye mueleze matatizo yako yote A-Z muulize mbona ww umesema nije kwako nami nakuja kwako unipumzisha hakika utaona pls NPM for more details kama uko serious hapa ntawachosha wengine)
 
pole mwaya...ila ikifika muda wa kutaka kumuacha hata hutauliza mtu utamuacha kimya kimya sa hizi bado unampenda kaa naye tu my dear
 
Pole sana Dada, Jaribu kufikiri sana nini kinamfanya mumeo atoke nje au ulishawahi kumuliza kosa lako liko wapi mpaka anakutendea vituko kama hivyo? nikiwa kama mwanamke nakuelewa ni kiasi gani inauma unapokuta sms kwenye cm ya mumeo seuze kumfumania kabisa namwanamke,
Ikiwa bado unampenda sana mumeo na unahitaji kuendelea nae ni vema ukajipanga upya nini umfanye ili atulie na aachane na hizo nyumba ndogo,
Hizo dhiki zakupekua kwenye email yake mara kujua number ya cm ya mchuchuwake mara utume mtu akamuangalie airport mbona unajipa BP billa sababu ya msingi,yeye si mtoto wanaotakiwa wakupelekeshe ni wanao sio yeye,kwa lipi? asikufupishie maisha kaa chini fikiri afadhali ule ugali na mchunga lakini uwe na amani na afya nzuri kuliko kula Biriani na roho yako haina amani na afya yenye mgogoro.....
 
Pole dada kama ni ndoa ya kanisani haina jinsi vumilia tu,kama ni ya bomani unaweza fanya maarifa hayo au kama ninyi ni waislamu unaweza ongelea issue ya talaka lakini kama ni mkristo na ndoa imefungwa kanisani mama hapo pana kazi maana yeyote atakayeachana na mwenzake na kwenda kuolewa ili hali mwenzake wa ndoa bado yu hai AZINI kwa hiyo suala ni kulifikisha kwa wazee wake mkae chini aseme kama yeye anajiona ni kidume kuliko wengine atafutiwe dawa.Suala ni moja hasa kina dada wakisha zaa wanasahau wajibu wao kwa waume zao,hakikisha hakuna kuchoka mahusiano yale yale yaliyokuwepo kabla ya kuzaa yanaendelea kama mume wako ni wa goli tano mpaka asubuhi jitahidi angalau ukiishia nne sio mbaya lakini kama kabla ya kuzaa mlikuwa mnafunga tano umezaa zimepungua mpaka moja au sifuri asikudanganye mtu lazima mwenzako atatoka tu.Na kitu kingine hizi kazi za kufanya mmoja yuko mwanza mwingine Dar mimi nawashauri si nzuri maana unaweza ukazingatia kazi ukakosa mume au mke kwa hiyo hapo chagua mke/mume au kazi.Bandugu ukishaoa au kuolewa jitahidini sana kukaa na familia zenu pesa ipo tu na inaweza kutafutwa kwa namna nyingi hata kwa kulima mapapai unaweza pata pesa suala la kufuata kazi nzuri arusha unamuacha mke Dar utalea watoto wa wenzako.Ushauri wa bure huo.
 
Back
Top Bottom