Wapendwa mnisaidie how to move on,nataka kumdelete mme wangu parmanently

kote uko!!!!!!anayependa pipi ni ngumu kupenda kula na ganda!!!!hivyo atafika 70 akizingatia matumizi sahihi ya ARVs baada ya kuukwaa!!ILA USHAURI YAWEKE WAZI HAYA KWA WANAOKUZUNGUKA MUMEO ANAOWAESHIMU WAMKETISHE!!!KAMA NA WEWE UTAMU UMEKUISHA TAFUTA NJIA ZA KUWA MTAMU!!
Niliomba MUNGU MNO NA BADO NAOMBA.NIlienda kwa wachungaji mfano MCH Chegere,SEMTOMVU,mme wangu hakomi na ni only 34 yrs.mpaka akafikishe 70?nitakufa kwa pressure
 
Inaelekea Dada humridhishi mpaka anamiliki tata kama wimbo wa tatu bila wa Sir Juma nature ni hatari
Pole kwa hilo ila ndoa ilinde tu..
Ulisaini kwamba mtavumiliana mpaka kifo sasa kama unataka kutengana naye wakati kifo hakijaja huoni kwamba ni hatari?
 
pole dadangu Mungu akusaidie sikiliza mawazo ya watu lkn mwisho wa yote chambua na ufanye maamuzi pia mshirikishe Mungu katika hili mamangu mmmh!
 
pole mpnz..mkalishe chini uongee nae umuuliza kinachofanya atoke nje hvyo ni nn?mkishindwana achana nae asije kukuua usivumilie bila yy utaweza!
 
natamani kufa!!! nikiskia hizi habari! pole sana mamy! ''HII MIJITU NDIVYO ILIVYO''
 
hujalea kisa kizima kwa uwazi zaid!!! umemsikiliza mmeo kwa nini alichelewa kurudi? kakujibu nini? hata kama uliingia kwenye email yake na kukuta kuwa alipaswa kuwa amerudi..je unajua kilichomsibu huko? ...hii ni sababu hafifu sana kumuacha mmeo kama uliweza kumsameh live ulipmkamata na nyumba ndogo...kwa hili unachemka..tafakari upya...lakini pia ndoa huvunjwa na wanandoa na si mtu mwingine......
Siyo kachelewa kurudi,yeye alisema asingerudi jana,kuna mda simu ikawa haipatikani kumbe alikuwa kwennye ndege kgm to mza.alipofika mwanza ikapatikana nikamuuliza akasema network.nikaweka mtego Dar.alifika Dar hiyo jana.kumbuka alise haji wiki yote hii
 
sasa kama huyu dada hamridhishi,na hao vimada ake watatu nao hawamridhishi si atafute mtetea ama ahamie kwa wanaume wenzie labda atapata ridhiko analotafuta? tatizo analo mwenyewe huyu mwanaume, dada mwisho wako u mikononi mwako. nakushauri take all the time u need, bt trust ur guts!
Inaelekea Dada humridhishi mpaka anamiliki tata kama wimbo wa tatu bila wa Sir Juma nature ni hatari
Pole kwa hilo ila ndoa ilinde tu..
Ulisaini kwamba mtavumiliana mpaka kifo sasa kama unataka kutengana naye wakati kifo hakijaja huoni kwamba ni hatari?
 
1.pole sana,vumilia mungu akiwa upande wako utashinda.
2.sina shaka baada ya hayo yote bado unampenda. Huna uwezo wa kumuacha.
3.kwa ajili hiyo,mvumilie na acha kumfuatafuata, wake wenzio watajakutoa roho bureee.
4.nenda kapime,ukikuta uko fit mwombe nae akapime sababu unazo,akikataa utajua maana yake ninini na uishije.
 
Kwa kifupi wanaume zaid ya asilimia 80 ndo maisha yao yapo ivo
Maamuzi yako ni makubwa mno kwa sababu ni mmeo,angekuwa jamaa tu ningesema mmwage fasta...ila vuta subira,mwenye kusubili hajutii hata siku moja
 
Ndoa ya kanisani.mama mkwe nilimwambia akasema nisiwe narukwa moyo hata yeye aliwalea kwa taabu,BABA MKWE KIWEMBE
Kwa ushauri...never go to mama mkwe for ushauri au mashtaka...hakuna jipya atakalokwambia coz hawezi kwenda against his son. Atakwambia tu wanaume ndivyo walivyo...au hata baba yake alikuwa hivyo...blah,bla,blah. Kwa tabia ya mumeo you need to sit down n do the hard thinking then uamua mwenyewe nini unataka maishani kwako.
 
Inaelekea Dada humridhishi mpaka anamiliki tata kama wimbo wa tatu bila wa Sir Juma nature ni hatari
Pole kwa hilo ila ndoa ilinde tu..
Ulisaini kwamba mtavumiliana mpaka kifo sasa kama unataka kutengana naye wakati kifo hakijaja huoni kwamba ni hatari?

sikio la kufa halisikii dawa
 
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs nikasamehe.ana small hous 3 ninazozifahamu.alisafiri kwenda mkoani akasema siku zimeongenzwa.nikaingia kwenye mail yake nikakuta alitakiwa kurudi Dar jana,nipo nje ya Dar nikamtuma mdogo wangu aende air port jamaa aliingia DaR JANA.WHy ALINIDANGANYA?B'COZ ALIPAKA KUSTAY KWA ONE OF SMALL HOUses.NIMECHOKA I NEED TO MOVE ON,PLS help.AMELIE


Maskini pole Amelie, nimesoma hiyo sentensi ya mwisho nikahisi uchungu sana, najua unavyojisikia dia na inaumiza sana, sijui umeshalifikisha swala hili wapi na wapi, kama umeongea nae na ameshindwa kijirekebisha, nenda kwa wadhamini wa ndoa yenu, ikishindikana hapo ita wazazi wa pande zote mbili, ikishindikana nenda kanisani, sasa kama hatawasikiliza viongozi wa dini na akaendelea na tabia yake hapo ni akili kichwa mwako dadangu manake mwisho wa siku utaletewa maradhi ushindwe hata kulea wanao.
 
inauma na inasikitisha sana lakini chukua muda katika kulifanyia maamuzi hili suala lako busara iwatangulie wote wewe na mumeo,kuachana si jambo jema,Be tough take heart,rekebisha kwa kujenga na si kwa kubomoa mumeo ni binadamu naimani nae anafeel pain na anajuta pia.nawatakia maisha marefu yasiyo na mawaa baada ya kusolve.
 
Pole sana dada,kuwa na subira wataalamu watakupatia ushauri, tuwasubiri tu humu watatokea,pia mwombe mungu ktk hili kabla ya kufanya maamuzi yoyote hakuna linaloshindika mbele zake!
we cantalisia vipi wewe yaani unasema tuwasubili tu humu watatokea wewe je umeshindwa kabisa cha kumwambia.
ila dada yangu pole sana kama unaweza kukaa na mumeo kama anaweza badili hiyo tabia ila ukishindwa achana nae
 
Ndoa ya kanisani.mama mkwe nilimwambia akasema nisiwe narukwa moyo hata yeye aliwalea kwa taabu,BABA MKWE KIWEMBE
like father like son kumbe! Ila dada usiumie sana ungawa unaumia hiyo ni cheni ndefu inawezekana ikawa ni tabia ndani ya ukoo iliyomo ndani ya damu ya mumeo.Unachotakiwa uwemvumilivu mshirikishe sana Mungu ikibidi fanya maombi maalumu ya kuvunja laana hiyo,ili isiwapate watoto.Fuatilia ushauri mbalimbali kwa watu mbalimbali hasa wanafamilia walioishi katika ndoa miaka mingi.
 
Nyumba ndogo tatu??? Sasa wewe mke una thamani gani kwake? This is too much jamani khaaa!! Lady, are you selling your soul? Pole sana.......
 
many a times tunakimbilia kusema nimeuomba MUNGU...kama wewe uafanya uamuzi mbaya atakama uobe namna gani bado uta-sufer consequences....sasa la msingi hapa ni hili. HUYU HATABADILIKA!!! SO CHAKUFANYA NI KUACHANA NAE TUU.
 
Back
Top Bottom