Wapendwa mnisaidie how to move on,nataka kumdelete mme wangu parmanently

Amelie

Senior Member
Oct 13, 2008
194
54
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs nikasamehe.ana small hous 3 ninazozifahamu.alisafiri kwenda mkoani akasema siku zimeongenzwa.nikaingia kwenye mail yake nikakuta alitakiwa kurudi Dar jana,nipo nje ya Dar nikamtuma mdogo wangu aende air port jamaa aliingia DaR JANA.WHy ALINIDANGANYA?B'COZ ALIPAKA KUSTAY KWA ONE OF SMALL HOUses.NIMECHOKA I NEED TO MOVE ON,PLS help.AMELIE
 
Help me please i want to remove him from my mind.uchafu wake unacycle kichwani kwangu
 
Pole sana dada,kuwa na subira wataalamu watakupatia ushauri, tuwasubiri tu humu watatokea,pia mwombe mungu ktk hili kabla ya kufanya maamuzi yoyote hakuna linaloshindika mbele zake!
 
pole sana Amelie ..........pamoja na ushauri mzuri utakaopata jipe muda usifanye maamuzi wakati una hasira.
 
Oooh, pole sana. You deserve better than that! Two kids in the background ni tatizo kubwa sana. Lakini katika hali hiyo, haina maana yoyote! Unatakiwa ufanye uamzi wa kutengana naye mapema iwezekanavyo. Mpe chance ya kufanya reformation lakini mkiwa separate. Akishindwa kufanya reformation au asipojali endelea na maisha yako! PROVIDED una ushahidi wa kutosha ku-back madai yako hayo!!
 
Pole sana mpendwa wangu, nakuombea Mungu akupe hekima ili ufanye maamuzi ambayo hutakaa ujutie maishani mwako. Pole tena.
 
pole sana dada ............kua tu makini asije kukuletea ugonjwa ndani ya house kutoka ktk izo small small houses zake loh!
 
pole sana dada vp ndo yenu ni takatifu? namaanisha mmefunga ndoa if yes naomba nenda kwa viongozi wa dini wajaribu kumkanya na kama wazazi wapo nao washirikishe ili uokoe ndoa yako usimdelete fasta hivyo watoto wanaitaji malezi yenu wawili ukiokoa ndoa utawsaidia sana watoto
 
Niliomba MUNGU MNO NA BADO NAOMBA.NIlienda kwa wachungaji mfano MCH Chegere,SEMTOMVU,mme wangu hakomi na ni only 34 yrs.mpaka akafikishe 70?nitakufa kwa pressure
 
Ndoa ya kanisani.mama mkwe nilimwambia akasema nisiwe narukwa moyo hata yeye aliwalea kwa taabu,BABA MKWE KIWEMBE
 
Pole sana dada yangu kwa yanayokupata lakini jipe moyo binadamu hasa wenye ndoa hupitia magumu na majaribu mengi sana lakini kitu kikubwa na maamuzi makubwa ni yapo ndani ya ndoa yenu.. kaa chini wewe na mume wako mjadili hili suala na mfikie mwafaka. watu wanaweza kukushauri uachane nae lakini kumbuka kuwa mna watoto watakuwa tayari wapo njia panda, nikupe mfano mmoja kuna dada nafanya nae kazi hapa aliolewa na jamaa mmoja alikuwa ni kiwembe sana alikuwa na small house zaidi ya hata zhizo unazosema wewe. siku moja alidiriki hadi kuja na Small house yake ndani ya nyumba usiku akajifanya kalewa na eti kasahau kuwa ameoa.. dada yule alikuja ofisini kesho yake analia sana. kitu tulichomshauri ni kukaa chini tu na mume wake na wala sio watu wengine wajadili matatizo ya ndoa yao na ufumbuzi wake ni nini, pili awe mtu wa maombi sana maana ndoa za siku hizi hakuna iliyo nafuu. kweli yule dada alikaa na mumewe wakaongea matatizo yao na wakasameheana na kuiweka ndoa yao mbele za mungu. huwezi amini mpaka leo yule jamaa kaishabadilika hizo small house hazipo na wapo na raha ya ndoa yao.

Kwa hiyo ushauri wangu ni wewe na mume wako mkae na kujadili matatizo yenu kwa kina na sio kusema tu sorrry my wife then mnaaachia hapo na pili kuwa mtu wa maombi siku zote kama hamna jadi ya kusali usiku na asubuhi hebu jifanye umeokoka mnapomaliza kula waite watoto na mume wako wote msali kabla ya kulala na asubuhi mnapoamka pia. nisikuchoshe kusoma japo nina mengi sana ya kuandika kwa leo hayo yanakutosha
 
Namna ulivyoandika napata shaka kama kweli una tatizo hili...anyways Piga goti mbele za Mungu wako nae atakuonesha njia...
 
Namna ulivyoandika napata shaka kama kweli una tatizo hili...anyways Piga goti mbele za Mungu wako nae atakuonesha njia...
Yap..hata mm nina doubt!..anyway yeye ndiye anayejua ukweli wake,...ila pole sana,..kwa ushauri wangu apambane akiwa ndani ya ndoa_kwani hilo ni tatizo la ndoa nyingi,...wanaume wengi na hasa tulio ndani ya umri wa mumeo tuko hivyo(pitfall so to speak)...jaribuni kuongea na kusuruhisha tena na tena.
 
Tutaongea mara ngapi?kuna siku nilimsamehe akaenda mwanza.akasogeza siku ya kurudi.kumbe alirudi siku ile na akaenda kulala kwa kimada.VIMADA ZAKE HUWA ANAWAPA INFMTns zangu,mfano nafanya kazi wapi,wanangu n.k
 
mhhh.... dada wacha kwanza nikupe pole maana hayo yanavyo onekana ni kama mazito vile lakini usife moyo maana huwaga wanasema mvumiliane katika shida na raha labda hizo ndo shida zenyewe lakini pia watakiwa ujue kila jaribu huwa halikosi mlango wa kutokea
 
duu huyo mume ni kiboko, nyumba ndogo tatu zote za nini, si vema kuendelea kumvumilia maana amezidi, watoto wako ni wadogo sana anaweza kuletea matatizo na maradhi ukashindwa hata kuwaona watoto wako wakikua
 
Pole sana mpendwa.Huyo mume wako ni muhuni,angalau ungemsamehe iwapo ingekuwa ni mara moja.Nyumba ndogo tatu ni hatari kwake na kwako.Hapo ukimwi hautacheza mbali .Lakini maamuzi ya hatua zakuchukua unayo wewe mwenyewe.
 
hujalea kisa kizima kwa uwazi zaid!!! umemsikiliza mmeo kwa nini alichelewa kurudi? kakujibu nini? hata kama uliingia kwenye email yake na kukuta kuwa alipaswa kuwa amerudi..je unajua kilichomsibu huko? ...hii ni sababu hafifu sana kumuacha mmeo kama uliweza kumsameh live ulipmkamata na nyumba ndogo...kwa hili unachemka..tafakari upya...lakini pia ndoa huvunjwa na wanandoa na si mtu mwingine......
 
Back
Top Bottom