William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #21
William,
..kwanza inaelekea alilazimishwa kujiuzulu.
..kumbuka mwanzo aligoma, na hata waziri Mwakyembe alimtetea wakati walipokuwa na joint press conference.
..jambo lingine uelewe kwamba waziri huyu amejiuzulu kutokana na uzembe ktk wizara yake ambao umesababisha mamia ya wananchi kupoteza maisha yao.
..wanaopaswa kupongezwa kwa kujiuzulu ni wale wanaofanya hivyo kwa kupinga ufisadi na uzembe ktk maeneo wanayoyasimia.
..kwa mtizamo wangu huyu waziri alipaswa kutimuliwa. hata ile kupewa nafasi ya kujiuzulu naona amefanyiwa hisani tu.
- cha muhimu ni amejiuzulu na kuweka msingi flani wa kuigwa mbee ya safari for that anahitaji kuwa shujaa, kumbuka angeweza kugoma na asingefanywa anything!!
Willy!