Wapenda Mabadiliko wapo wapi?

William,

..kwanza inaelekea alilazimishwa kujiuzulu.

..kumbuka mwanzo aligoma, na hata waziri Mwakyembe alimtetea wakati walipokuwa na joint press conference.

..jambo lingine uelewe kwamba waziri huyu amejiuzulu kutokana na uzembe ktk wizara yake ambao umesababisha mamia ya wananchi kupoteza maisha yao.

..wanaopaswa kupongezwa kwa kujiuzulu ni wale wanaofanya hivyo kwa kupinga ufisadi na uzembe ktk maeneo wanayoyasimia.

..kwa mtizamo wangu huyu waziri alipaswa kutimuliwa. hata ile kupewa nafasi ya kujiuzulu naona amefanyiwa hisani tu.

- cha muhimu ni amejiuzulu na kuweka msingi flani wa kuigwa mbee ya safari for that anahitaji kuwa shujaa, kumbuka angeweza kugoma na asingefanywa anything!!

Willy!
 
Mimi nadhani kulinganisha ukomavu wa kisiasa wa Zanzibar na Bara, ni kukosea. Wenzetu Zenj kisiasa wamega hatua sana. Pili hatujui 'internal dynamics' za serikali ya Zenj-pengine aliombwa au kulazimishwa na boss wake, hatujui. Hii inaweza kuwa ni staili ya utendaji wa kimyakimya wa Shein. Siasa za majukwaa 'za kutoa majibu mazito kupitia wazee wa Dar' hazisaidii sana kama haziendani na matokeo.
 
- Ninashangazwa sana na the fact kwamba Waziri Wa Zanzibar amejiuuzulu kutokana na ishu mbili za ajali za meli katika uwaziri wake, lakini haina heshima wala praise kutoka kwa Wanaharakati kutoka chama chochote cha siasa nchini, wala NGOs! WHY?

- I mean responsibility ndio quality number one kwenye reforms, sasa leo ametokea kiongozi aliyefanya the impossible hakuna praise, sio kwa wanaharakati tu hata kwenye media hakuna, hakuna a word of courage toka kwa vyama vya upinzani, wala hata media coverage haikugusa sana the topic, that is very sad!

- Ninapenda kumpa salute Mheshimiwa Waziri kwa kitendo chake hicho cha kishujaa sana, kinatakiwa kuweka msingi wa uwajibikaji wa Viongozi wa juu katika taifa leu, ambao unaonekana kutokuwepo na kuwapa nafasi baadhi ya viongozi wetu kujifanyia tu wanavyotaka na siku zote kuishia kumpa taabu sana Rais wa Jamhuri kuvunja baraza zima la mawaziri, badala ya waziri mmoja aliyeharibu kujitoa mwenyewe kama huyu Shujaa aivyofanya!!

OUR MEDIA, WANAHARAKATI, NA WAPENDA MABADIIKO KWENYE HII MMEHARIBU SANA TUMPE WAZIRI HESHIMA YA AINA YAKE KUSUDI UWE MFANO KWA WENGINE!!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!

WILIAM.

Tumpe heshima mtu ambaye ana chukuliwa kuwa na dhamana ya kuzuia maafa, sasa ya metokea mara ya pili ndio ana wajibika!

Mara baada ya ajali ya mv spice ilibidi ajiuzulu, lakini hakufanya hivyo wakati ndio ulikuwa wakati sahihi pengine haya yasinge tokea.

Alihojiwa na vyombo vya habari aka kana kujiuzulu na akasema hawezi fanya hivyo!

Leo kajiuzulu hatujui kwa shinikizo la nani alaf haonekane shujaa na vyombo vya habari vimpe coverage kwa nini?

Nakushanga unataka mtu kama huyu asifiwe kwa kujiuzulu wakati ilibidi achapwe viboko kwa kuchelewa kuwajibika.

Mambo ya sifa yamepitwa na wakati.
 
Tunataka tuone watu wanajiuzuru kwa issue nzito kama EPA, meremeta, deep green sio hivi vifo vya watu wachache wakati kuna madudu ya nguvu yanaendelea ndani ya CCM na serikali yke na yamesha claim multitude of Tanzanian lives- and still holding the potential to claim more for years to come- lakini wahusik bado wapo tu madarakani! We William aliyekufundisha kunywa pombe ya chimpumu angalia siku atakunywesha gongo iliyotengenezwa Kigogo mbuyuni, shauri yako!
 
Baba yako wakati akiwa waziri mkuu Aliachia ngazi?

Mh alikuwa mbishi kuachia ngazi yeye na Kolimba.. ilibidi Mwl atumie nguvu za ziada.. Ilikuwa ama wao ama Raisi Mwinyi..

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wengine hatujaridhika na kujiuzulu tu, ndio maana hatupongezi.

Tulitaka maelezo ya kina na uchunguzi wa kisheria kuona kama kuna uzembe, na kama upo, mashtaka na kifungo.

Unaongelea responsibility? Hiyo ndiyo responsibility.

Kujiuzulu mtu aondoke Scott free huwezi kuita responsibility.
 
Kesi ya mwanzo ya M.V Spice Island ilisomwa mara moja tu na ikafa kibudu
sasa hii ya pili watafanya nini?
na wziri ndo huyo huyu toka ajali ya mwanzo
 
William, waziri aliyeachia ngazi anatoka CUF, better late than never, watu walipiga kelele sana wakati wa ajali ya Spixe Islanders lakini hakuachiwa ngazi. Vifo north of 1200 bado akaukashusha then haya ya week iliyopita. As I said, better late than never, lakini alitakiwa kufanya hivyo kitambo.

Hapo kwenye red, wameishiwa nguvu, Mbagala, Gongo la Mboto, Spice Islander, again, mabasi ya mikoani hii imekuwa kama la kawaida!!!. Hii nchi kuna mambo ya kusikitisha, gari la rais linazimika kwa sababu ya mafuta yaliyochakuliwa (rais akiwa ndani ya gari) lakini hakuna mtu amewajibishwa!

mkuu hakuna wa kuulizwa gari la rais kuzimika kwa kuwekwa mafuta ya kuchakuchuliwa si ameweka kwenye sheli za mwanae ridhi embu fikiri gari la mamilioni ya pesa liliwekwa mafuta ya uchakachuzi hakuna anayejali kweli hii nchi inaongozwa na ABUNUASI
 
  • Thanks
Reactions: FJM
- cha muhimu ni amejiuzulu na kuweka msingi flani wa kuigwa mbee ya safari for that anahitaji kuwa shujaa, kumbuka angeweza kugoma na asingefanywa anything!!

Willy!

Mkuu,,lkn huyu kajiuzulu kwa sababu ya inefficient,kushindwa kwake kusimamia vema nk. Ndiyo tumpongeze kwa uzembe/incopentence yake? Haiwezekani Willy! Haiwezekani kabisa will bana, acha masikhara kaka! watu wazembe wazembe tu? C bora hata Magufuli wakati ule wa bomoa bomoa waliovamia hifadhi ya barabara labda angejiuzulu pale aliposimamishwa na JK&Pinda@Liwalo na liwe angeonekana shujaaa?
 
- Sawa lakini bado anastahili heshima kwa kitendo chake cha kujiuzulu!!

Willie!!
 
- Sawa lakini bado anastahili heshima kwa kitendo chake cha kujiuzulu!!

Willie!!
Kama unataka kuwa mwanasiasa mzuri, soma sana, tena sana. Soma angalau kitabu kimoja cha philosophy kwa wiki.
Kwa sababu hoja zako ni za kitoto mno.
Kujiuzulu ni jambo la aibu. Failure in a gentleman's way (only if you were not forced to).
Na kama unasifia failures, then....
 
- Mzee wa hoja za kikubwa vipi kuja kujibu hoja za kitoto, mzee wa kusoma vitabu vya philosophy kimoja kila wiki, vipi tena kuja kupoteza phiosophy zako na asiyekua nazo? ha! ha! ha! ha! ha! yaani so childish and foolish nasikia hata kutapika kusoma this nonsense!!

- Kujiuzulu ni jambo la aibu? REALLY? ndio phiosophy unazotaka na mimi niwe nazo? ha1 ha! ha! when the gentleman,s admitt his failure to the public and relinguish his position of power you call that a shame? then shame on you!!

- I call that a political maturity that needs to be followed by others in power!!

RESPECT!!

LE MUTUZ!!!
 
That's not political maturity but simply an agreement, on the record, that you failed.
Unavyoandika humu ni vitu ambavyo ni superficial, hujaangalia circumstances zilizomfanya ajiuzulu especially baada ya yeye kusema hatajiuzulu.
Kama angekuwa ni kocha wa timu ambaye amejiuzulu baada ya timu yake kukosa ubingwa (lakini ilicheza vizuri na kuingia fainali), unaweza kumsifia kwa sababu mtu kama huyo hakuwa tayari ku-setlle for less than championship.
Au angejiuzulu kwa sababu meli imefika salama bandarini lakini ilizidisha uwezo wake wa kubeba abiria, na abiria waliokuwepo ndani ya meli hawakuwepo kwenye register kutokana na usimamizi mbovu, then tungeweza kumpa a pat on his back.
Hii resignation haina haja ya kusifiwa .... jipange upya kama ulitaka kutuonyesha kuwa wewe ni makini.
 
- Labda ujipange upya na kujifunza mazingara aliyojiuzulu ni ya bongo sio ughaibuni, ukijua hilo then utaheshimu uamuzi wake wa kujiuzulu cause tumejionea madudu ya ajabu hapa bongo na wahusika hawajajiuzulu mpaka leo!!

Willie!!
 
Wakati Malichela mdogo anataka tumuimbie mapambio waziri alojiuzuru, mimi nilitarajia awe amefikishwa mahakamani kwa uzembe!
 
- Labda ujipange upya na kujifunza mazingara aliyojiuzulu ni ya bongo sio ughaibuni, ukijua hilo then utaheshimu uamuzi wake wa kujiuzulu cause tumejionea madudu ya ajabu hapa bongo na wahusika hawajajiuzulu mpaka leo!!

Willie!!
Kwanza kabisa amelazimishwa.
Pili, ughaibuni au bongo standards ni zilezile. Ndiyo maana nikakwambia kama kweli unataka kuwa mwanasiasa, jitahidi kusoma. Na hiyo haimaanishi mimi ni mtu anayesoma sana, ila watu wanaosoma utawajua tu, huwa wana points za maana na siyo za kupoteza muda.
Sorry brah, ila unajiexpose too much !!! ... tuliza boli kwanza.
 
- DUH unasema kama ninataka kuwa mwanasiasa na wakati nipo kwenye siasa tayari, halafu unasema wewe unasoma sana? REALLY?

- STANDARDS NI ZILE ZILE? REALY? zipi hizo wangapi bongo wamejiuzulu kwa madudu? I mean mara kwa mara unapotumia hii ID huwa unakuwa na sense sana kuliko ie ya kaiwada lakini sio leo bro, upo nje sana ya mstari na ni watu kama wewe ndio wamenifanya kwua msimamo mpya wa kushiriki JF bila kushirikiana na anybody humu, cause wewe ni nothing but mnafiki tu!!

- Una matatizo binafsi unajaribu sana kuyaficha nyuma ya hii topic lakini unashindwa kwa sababu unacheza na the master of this game, nenda ujipange upya maana sina sababu ya kurudia mambo yaliyokwisha tokea na hakuna kiongozi aliyejiuzulu, halafu msomi unasema ni standards za kawaida wapi huko kwenu kijijini? ha! ha! ha! ha! simpy a joker!!

Willie!!
 
Back
Top Bottom