Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo.
Ahsante queen.
Wewe humpendi nani?
Hili mbona limekaa kaa dongo kwa mtu? Ukimwagiwa tindikali usije kulia kwangu....
hahaha Ngabu bana :laugh:
Khabari yako Mjapenga?
Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo.
Ahsante queen.
Hilo la wanawake hawapendani lina ukweli sana inabidi kutafuta namna ya kusolve hilo tatizo.
Hebu fafanua hapa....ukweli kama upi?
Manake ni kwamba mbwa ukimjua jina wala hakupi shida.
Hivi linaanzishwa na nini hasa?
huyu mbwa jina lake mwanamke au?
mi nawapenda wote. Wasionipenda pia nawapenda.
Hebu fafanua hapa....ukweli kama upi?
unaweza kugundua hilo unapohitaji huduma na mtoa huduma ni mwanamke.
Mbona mi nakutaka unakataa?
Huduma gani Mwajuma?
unaweza kugundua hilo unapohitaji huduma na mtoa huduma ni mwanamke.
simu, vyakula kwenye restaurants, banks, etc.
Mie kukiwa na mhudumu mwanamme na mwanamke, I always chose the female one.
Najiona naweza ku connect nae zaidi