Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
Wee umewahi kula kwenye restaurant?
hamisi kishindo nitakusemea kwa lizzy.
Wee umewahi kula kwenye restaurant?
inategemea gaijin.huku dodoma kuna restaurant flani inaitwa annex, wahudumu wanawake hawahudumii wanawake wenzao. Ukiwaita wanakwambia "njo wewe". Akiingia kidume sasa...(ngoja niishie hapa)
inategemea gaijin.huku dodoma kuna restaurant flani inaitwa annex, wahudumu wanawake hawahudumii wanawake wenzao. Ukiwaita wanakwambia "njo wewe". Akiingia kidume sasa...(ngoja niishie hapa)
Kumbe eeh? Basi lazima nije kwenye hiyo restoranti.
Hao sio hawapendi wanawake....wanapenda wanaume.
Na huyo Bossi wao mgonjwa kuruhusu tabia hiyo kuendelea
kama wangewapenda wanawake wangewahudumia kama wanavyofanya kwa wanaume. Ni kwamba hawapendi wanawake maana wanawake wakiwa wanaondoka wanaanza kuwateta. Wengine tulishaacha kwenda hapo.
Siku hizi unaendaga wapi sasa?
siendi popote, nimeamua niwe napika tu.
inategemea gaijin.huku dodoma kuna restaurant flani inaitwa annex, wahudumu wanawake hawahudumii wanawake wenzao. Ukiwaita wanakwambia "njo wewe". Akiingia kidume sasa...(ngoja niishie hapa)
Leo umepika nini?
Leo umepika nini?
uki-demand right yako kama mteja watakuhudumia tena kwa nidhamu zote.
Tatizo wanawake huwa wanajishtukia wakati mwingine.
Wawafanyie hivyo wanamme uone, ni timbwili tu.
hapa hatuongelei kutakana wewe. Kwani hata kama nakupenda lazima nikukubali? Kwa mwendo huo nitakubali wangapi?
hee! Tuanze kupigizana kelele kama tunapewa huduma bure!! Hapo ni kusepa tu wabaki wanauza nyago.
Kwani Yesu alipenda wangapi? Kwani na kila unaye mpenda lazima ufikirie swala la ngono?
Safi sana Mwajuma.
we ukimtaka mtu unataka nini kama sio downstairs!!
umenipa like?