Kupendwa na wanawake(Nyota ya Wanawake)

Tman900

Senior Member
May 30, 2017
175
345
Ninae Rafiki Yangu Mmoja Jina lake linaanzia na Herufi H. Nimiaka mingi Sana tumefahamiana nae, Ebana Huyo mshikaji anapendwa sana na Wanawake.

Mara Nyingi tunapokua Wote Tunaeza kua Hata tumeongoza mi kutaka kuthibitisha Hilo, naeza ona mwanamke Hata kwa Mbali,na mwambia msemeshe yule tuone Kama atakubali, yaani akimsemesha mwanamke achomoi.

Na inafika hatua mpaka Wanawake wanamuomba Namba mshikaji,na wao ndo wanamtafuta.
Mwaka Jana Kuna bint nilimuona mlimani city mi nikamsemesha hakuitikia kauli Yangu, Mara Tatu namsemesha hajaitikia, Rafiki Yangu Alikua ameenda kununua maji, aliporudi nikamuadhia Kuna Mrembo kapita Hapa nimemsemesha Hata ajanibu kitu, akaniambia Yuko wapi Bint Mwenyewe Nika muonyesha yule kule...

Alitembea Fasta kumfata yule Bint akampita akaenda kwa Mbele Kuna mlinzi wa pakingi aka msalimia arafu akaanza kurudi nilipo huwezi amini alipomsemesha tu yule Bint alisimama na Namba akatoa.

Baada siku kadhaa akanipigia Simu Mida ya Saa mbili Broo Uko wapi, nkamwambia ndo natoka kazini, akaniambia Kama una mda pitia home upate Chakula Cha jioni Niko na shemeji yako.

Kwenda na.kumkuta yule Binti...
Tayari kasha Chezea koki.....
 
Hadithi njoo uongo njoo utamu kuloea
 
Huenda ni kweli ila acha nikusanue mwanangu.
Iko hivi kuna baadhi ya wanaume wanapenda sana kuonesha umwamba kwa wanaume wenzao.
Yaani ile mi nachapa sana manzi, hamna dem ananikataa na vitu ka hizo.

Ukiwa hujielewi unaweza kuamini ila deepdown ni kua nao hukatiliwa ila tofauti ni kua wao huongeza juhudi ili kuzidi kuwaaminisha nyie.

Achana na hayo mawazo mkuu, mwanamke yeyote ukimvalia njuga hachomoi.

Na cha kujiuliza zaidi juu ya akili ya jamaa yako ni kua ni kwanini alikuita umuone huyo dem.
Hebu jiongeze dogo, tatizo mnatambishiana sana.
 
Mazingira na matendo yake ndo yananishangaza.
Mfano watu wanaweza sema demu fulani mgumu Yeye hatobishana Ila utashangaa Huyo Demu ndo anamtafuta mshikaji.
Na kuhusu yule Demu alilala pale kwake. Maana mi niliondoka Mida yaa saa 4 pale kwake.
 
Watu wa hivo wapo mkuu, na mm nlisoma nap wengi tu.
Wazee wa kutunishiana misuli.

Hustle zake yeye ni kwa ajili hiyo, anapenda kuonekana hivyo.
 
Ni jinsi tu mtu anacheza na maneno na hawa wanawake,tupo kizazi cha kimalaya malaya hao viumbe hawajiulizi tena mara mbili mbili mwenye bundle na muda afungue link hii aingalie huyu jamaa anavyofanya prank kuwatongoza ataelewa mleta mada anachomaanisha.

Japo siyo siha nzuri mbele ya jamii mtu kuwa na tabia hiyo.
 
Back
Top Bottom