"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

some truth
but wana weakness na wanaume weusi
halafu wanawake weupe wanakuwaga less bright ukilinganisha na weusi

Nimeipenda hii mkuu.
Hapo red: Yawezekana inatokana na wao kujiamini sana hasa kwa hiyo credit ya rangi ambayo automatically inachange kuwa weakness badala ya strenght.

Nimeipenda hii mkuu.
Hapo red: Yawezekana inatokana na wao kujiamini sana hasa kwa hiyo credit ya rangi ambayo automatically inachange kuwa weakness badala ya strenght.

kwa kutongozwa sana
mwiso wanaamini kuwa hawahitaji kujisumbua sana kuhusu maisha
wanaona maisha ni mtelezo,so hawajihangaishi kwa lolote kw saana

most of times ukikuta mwanamke ana biashara zake mwenyewe
au kasoma sana mpaka phd na kadhalika utakuta weusi au brown hivi
few ni weupe

sio wote wanaojiona kwani weupe kitu gani,mie naona sawa mweupe mweusi sawa2 sema kuna wale wanaume wenye kasumba ya wanawake weupe

tena anasema mie mwanamke mweusi simtaki kabisi yeye ukimuona mweusi kama lamii,sasa anapota mwanamke mweupe ndio aaaaaaaaaaaaah...

mtatafuta pakuweka roho zenu kuna watu wakutoka sehemu flani ndio wanakasumba ya wanawake weupe.

si useme tu kanda ya ziwa.

kwa kutongozwa sana
mwiso wanaamini kuwa hawahitaji kujisumbua sana kuhusu maisha
wanaona maisha ni mtelezo,so hawajihangaishi kwa lolote kw saana

most of times ukikuta mwanamke ana biashara zake mwenyewe
au kasoma sana mpaka phd na kadhalika utakuta weusi au brown hivi
few ni weupe

Wanaobisha wafanye kautafiti.

kuna msemo unasema

mbega huponzwa na uzuri wake....

ina apply kwa wanawake weupe na wazuri

kwa kutongozwa sana
mwiso wanaamini kuwa hawahitaji kujisumbua sana kuhusu maisha
wanaona maisha ni mtelezo,so hawajihangaishi kwa lolote kw saana

most of times ukikuta mwanamke ana biashara zake mwenyewe
au kasoma sana mpaka phd na kadhalika utakuta weusi au brown hivi
few ni weupe

Kaka tutake radhi

Ahsante

Mkeshaji mwarabu gani mke wa mtu anaweza spend time yoote hii online??

Hii avatar tu rafiki... niko opposite kabisa katika kila aspect ya hio avatar....lol

kumbe ashadii uko single?

kuna msemo unasema

mbega huponzwa na uzuri wake....

ina apply kwa wanawake weupe na wazuri

Hivi hata tukianza kuhesabu maceleb....majority wanaojioneshaonesha ni mawaiti.....afu cheki hata lifestaili yao..dah
Siwataji kwa majina!

nimesema very few ni weupe
labda wewe ni among the very few..
but wewe si mweupe wa aina hii
nahisi wewe ni mweupe wa kuchanganya damu,uwongo?

weupe wa aina hiyo ni upi?

hizi stereotyping tuache jamani. Mtawafanya watu wajiskie vibaya kwa sababu wamezaliwa weupe tu.

Back
Top Bottom