"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

Nimeongelea kisa ninachokijua na kinachomhusu mweupe na wapo weusi pia wanaoringa ila my point here ni huyo dada na nimekizungumzia kutokana na msemo wa TB kuwa mbega aliponzwa na uzuri wake

So weupe wake sio factor hapo.......ni uzuri wake.

its all about statics
and what you see around you....

mimi nilipokuwa high school kulikuwa na wasichana wawili weupe na wazuri sana
walikuwa na akili sawa na wengine but wao hawakufika chuo ,wote waliishia kuwa
nyumba ndogo za watu fulani hivi na wakiwategemea hao wanaume kwa kila kitu
while wenzao walienda chuo na kufanya kazi na kufika mbali kwa ujumla

Na hapo ndo wengi wao wanapoishiaga!

Umejuaje kuwa ana ringa kwa sababu mweupe? Hakuna mtu mweusi anaeringa kwa sababu ni beautiful?

mostly tunazungumzia tanzania
na jamii yetu

but kwa jamii zingine mfano wamarekani...tukija kwenye race
whites and black women
huko utakuta matokeo mengine kwa mujibu wa socieety yao ilivyo

So weupe wake sio factor hapo.......ni uzuri wake.

Weupe wake na alichokuwa anaringia sio uzuri zaidi ni mweupe among many ladies of that villagge maana aliuona weupe wake kuwa ni kitu adimu sana pale kijijini
Na maana ya kuuchukua msomeo huo sio uzuri zaidi ila weupe wa yule dada nikaufananisha na msemo kuwa mbega aliponzw ana uzuri ila kwa dada hapa aliponzwa na weupe wake

So weupe wake sio factor hapo.......ni uzuri wake.

Wengi wanachukulia kuwa weupe ni moja ya factor za uzuri...so hata watoto wa kike mapacha wawili, wamefanana kwa kila kitu isipokuwa mmoja mweupe mwingine mweusi...utaambiwa yule mweupe ndo mzuri na hata tabia zake ni likely kuwa si nzuri kulinganisha na mwenziye.

mostly tunazungumzia tanzania
na jamii yetu

but kwa jamii zingine mfano wamarekani...tukija kwenye race
whites and black women
huko utakuta matokeo mengine kwa mujibu wa socieety yao ilivyo

Marekani haya mambo ya light skinned vs dark skinned bado yapo sana. Hakuna siri kuwa light skinned, hususan kwa wanawake ndo huonekana wana mvuto zaidi.

Ndo maana utasikia kauli za kama 'ooh you're cute for a dark skinned girl' na blah blah kama hizo. Kina Halle Berry, Beyonce, na wengineo kama hao waliochanganya damu ndo wanaonekana wazuri. It's sad but that's just the way it is.

Wakuu habari ya mwanzo wa mwisho wa juma,

Kuna wakati jamaa yangu mmoja aliwahi kutamka kuwa kamwe hatajihusisha na mwanamke mweupe.

Kwa mtazamo wake yeye ni kuwa eti mwanamke akishakuwa mweupe tu, basi huona hicho ni kigezo kimojawapo cha urembo hata kama hali haiko hivyo. Kwa sababu hiyo husababisha yeye kujisikia sana.

Jamaa yangu aliendelea kudai kuwa ndiyo maana hata baadhi ya wale ambao hawajajaaliwa weupe, hujitahidi kuutafuta kwa gharama yoyote ile kutegemea na kipato cha muhusika.

Kinyume chake akadai jamaa yangu kuwa anawapenda sana wanawake weusi kwani wengi wao wana nidhamu ya hali ya juu, hawajisikii na hawana complications kiujumla.

Je dhana hii ina ukweli wowote?

Michango chanya inakaribishwa.

I don't agree at all and it is not fair to generalize! Attitude ya mtu depends on a lot of things including up-bringing etc etc. This is a racist comment. For example if someone generalizes' wanawake weusi ni player' that will be a senseless conclusion!

Marekani haya mambo ya light skinned vs dark skinned bado yapo sana. Hakuna siri kuwa light skinned, hususan kwa wanawake ndo huonekana wana mvuto zaidi.

there you go..
kwa ujumla tuseme ni its universal kwa wanawake weusi ambao ni light skinned
kujiona au kuchukuliwa ni more attractive kuliko dark skinned..

mostly tunazungumzia tanzania
na jamii yetu

but kwa jamii zingine mfano wamarekani...tukija kwenye race
whites and black women
huko utakuta matokeo mengine kwa mujibu wa socieety yao ilivyo

Unawajua wanawake weupe wangapi na uka compare na wanawake weusi wangapi?

Huwezi kufanya comparison kwa sample size zisizolingana hata kidogo.

Ukiwa unawajua wanawake 10 tu weupe na watano wakawa na majivuno utakuja na kauli kuwa 50% ya uliokutana nao wana majivuno, wakati wanawake weusi hawajivuni wengi kwa sababu tu unawajua wanawake weusi 200 na waliojivuna ni 20. The mathematics of statistics dont work like that

I don't agree at all and it is not fair to generalize! Attitude ya mtu depends on a lot of things including up-bringing etc etc. This is a racist comment. For example if someone generalizes' wanawake weusi ni player' that will be a senseless conclusion!

"Noted mkuu!"

there you go..
kwa ujumla tuseme ni its universal kwa wanawake weusi ambao ni light skinned
kujiona au kuchukuliwa ni more attractive kuliko dark skinned..

Oh yeah! Wewe jiulize kwa nini watu waliingia maabara na kutengeneza skin lightening creams?

Tena kwa Marekani watu washafanya na tafiti na kuona kwamba kwa ujumla weusi walio light skinned ndio hufanikiwa zaidi hata kimaisha kuliko wale walio dark skinned. Yaani wewe acha tu.

"Some Say the Darker the Berry the Sweeter the Juice..., I Say the Darker the Flesh the Deeper the Roots" _ 2 Pac...

Anyway kwa upande wangu ni package ya mtu ndio uzuri wa mtu... kila kitu kinaendana na mtu mwenyewe na anapendeza regardless na rangi yake...

Kuhusu kujisikia au hapana inategemea na jamii inaowazunguka na stereotypes za watu. Ukiwa usukumani wanaona weupe ndio uzuri obvious na mtu muhusika atajiona mzuri sababu jamii inamchukulia hivyo

Ukiwa Africa unene ni deal lakini wenzetu Europe wembamba ndio uzuri kwahiyo hata wahusika watakuwa wanafeel regarding na jamii inavyowaona..

Kuhusu kujisikia ni tabia ya mtu na haiendani na rangi yake, na wale weusi wanaotaka kujifanya weupe ni sababu tu ya inferiority complex

Kuhusu kujisikia au hapana inategemea na jamii inaowazunguka na stereotypes za watu. Ukiwa usukumani wanaona weupe ndio uzuri obvious na mtu muhusika atajiona mzuri sababu jamii inamchukulia hivyo

Hii ya Wasukuma nayo ni kweli ila sijui kwa sasa kama bado iko kama ilivyokuwa zamani.

Kitu gani kinawa-drive kuutafuta weupe?

Unawajua wanawake weupe wangapi na uka compare na wanawake weusi wangapi?

Huwezi kufanya comparison kwa sample size zisizolingana hata kidogo.

Ukiwa unawajua wanawake 10 tu weupe na watano wakawa na majivuno utakuja na kauli kuwa 50% ya uliokutana nao wana majivuno, wakati wanawake weusi hawajivuni wengi kwa sababu tu unawajua wanawake weusi 200 na waliojivuna ni 20. The mathematics of statistics dont work like that

kuna vitu havihitaji mathematics of statistics
kama mimi nimekutana na several light skinned na nikawa
nina my own perception
halafu nikakutana na watu wengine watano ambao
nao through uzoefu wao tukawa na the same perception.....
basi hapo ni logic tu inatosha,huna haja ya statistics wala research

usisahau kuwa a society hata kama sio y wasomi huwa iko right
most of time kuliko one professor.........

Hii ya Wasukuma nayo ni kweli ila sijui kwa sasa kama bado iko kama ilivyokuwa zamani.
Watu wamebadilika siku hizi lakini zamani ukienda kuchumbia mtoto wa kisukuma inabidi ujipange na ng'ombe wa kutosha.., lakini am sure msichana akiwa mweusi Singida huenda ndio akawa deal sababu ni unique

Kitu gani kinawa-drive kuutafuta weupe?

Mentality ya kutawaliwa kuwa cha mtu mweupe ndo kizuri ndio inayowafanya watu wapake mikorogo but still haielezi wala kutoa ushahidi kuwa watu weupe wanajivuna na kujisikia

Back
Top Bottom