"Wanawake weupe wanajisikia sana".....ni kweli?

halafu mbona huyo uliyemshika hapo unapocheza sijui ndio kiduku cha wazee!.....ni mweupe lakn anaonekana tu kwa macho hana majivuno,,..hakuna bana.

Huoni yuko mwenyewe tu humo...
Angalia na status yangu kwenye jamii...masuala ya vijisent...kama we huna vijisent muibukie afu uone tabia inavyo-change ghafla...
 
me napenda black coz kadri unavyomchojoa viwalo ndivyo anavyozidi kuwa mweupe but whites wengi kwenye maeneo ya nanihino zao huwa ni peusi sana................. sijui kwa nini!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ni kweli wale weupe mara nyingi unakuta nanihii zao ni kama vile kabandikwa na pasi ya moto mwingi!!!!
 
Kwani naye ni mashauzi..?
Kama anajishaua basi huenda kuna kaukweli hapo.

Siongelei mashauzi apo,,ninachomaanisha ni colour yake imempa hadhi ya kutangazi magodoro ya vita.

Huenda angekua mweusi tii kwa uzuri ule ule, wasingemwa-proach kutangaza.
 
Siongelei mashauzi apo,,ninachomaanisha ni colour yake imempa hadhi ya kutangazi magodoro ya vita.

Huenda angekua mweusi tii kwa uzuri ule ule, wasingemwa-proach kutangaza.

Kwa hiyo soko lao lipo juu kuzidi hawa wenye rangi kama akina sisi...
 
some truth
but wana weakness na wanaume weusi
halafu wanawake weupe wanakuwaga less bright ukilinganisha na weusi
 
Wakuu habari ya mwanzo wa mwisho wa juma,
Kuna wakati jamaa yangu mmoja aliwahi kutamka kuwa kamwe hatajihusisha na mwanamke mweupe.
Kwa mtazamo wake yeye ni kuwa eti mwanamke akishakuwa mweupe tu, basi huona hicho ni kigezo kimojawapo cha urembo hata kama hali haiko hivyo. Kwa sababu hiyo husababisha yeye kujisikia sana.

Jamaa yangu aliendelea kudai kuwa ndiyo maana hata baadhi ya wale ambao hawajajaaliwa weupe, hujitahidi kuutafuta kwa gharama yoyote ile kutegemea na kipato cha muhusika.
Kinyume chake akadai jamaa yangu kuwa anawapenda sana wanawake weusi kwani wengi wao wana nidhamu ya hali ya juu, hawajisikii na hawana complications kiujumla.

Je dhana hii ina ukweli wowote?
Michango chanya inakaribishwa.


Its only Assumption.
 
Back
Top Bottom