Wanawake mnaodai usawa 50/50 mtazeeka na mtakufa na kujichokea sana

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu zangu na mwenye ufahamu na asikie neno hili.

Siyo kwamba tunawachukia wanawake, tunawapenda ila nyie wenyewe ndiyo waharibifu wakubwa, bado mnadanganywa na wanawake wenzenu mafeminist wakiopoteza mwelekeo wa maisha pamoja na wanaume waliokosa akili na kuleft group kwamba kuna usawa 50/50 na mwanaume ila hamtaki kusikia na kufahamu huo ni upuuzi.

Mungu alisema mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, tena akafika mbali na kusema mtoto mpumbavu ni aibu kwa mama yake mbaya zaidi alisema Taifa lisilo na maono limehangamia.

Sisi wanaume tuna mbegu na nyie wanawake nishamba lakupanda mbegu tulizo nazo ili tupate mavuno (watoto) wazuri, sasa kama shamba mkae mkijua hakuna mwanaume mwenye akili timamu na aliyekamilika akakubali kuoa mwanamke anayetaka usawa wa kijinsia na anayedai 50/50 baina yake na mwanaume.

Wanawake kujilinganisha na wanaume huku wakisahau nafasi zao na jinsia zao, wakiyaacha maumbile yao na namna zao za kike ni dalili moja wapo ya upumbavu mkubwa sana na kukosa akili ni ishara za wazi wazi za ushetani na hauna mwanaume atakaye kubali kukuoa. Tutakuchezea alafu tutakuacha uzeeke uwe bibi wa hovyo sana duniani na ufe kifo cha aibu.

Ikumbukwe ndoa nyingi zinavunjika, vijana wengi hawataki na hatutaki kuoa kwasababu ya sera hii mbovu ya usawa wa kijinsia inayohubiriwa kila kukicha kwamba ni mwendo wa 50/50 huku wanawake mnajitoa ufahamu na kuichekelea badala ya kuikemea vikali ili kulinda thamani yenu mbele ya wanaume.

Mwanamke anayejiona yupo sawa na mwanaume huyo ni ibilisi na ni mpumbavu sana hakila na waambieni na mwisho wa huyo mwanamke ni mbaya sana.

Enyi wanawake viumbe wazuri tunawapenda maana Mungu alituamuru tuwapende ila eleweni kwamba hii sera ya usawa wa kijinsia baina ya mwanaume na mwanamke ni mpango wa shetani na imekuja kuwavurugia sifa zenu za umwanamke, sera hii imekuja kuwageuza nyie muwe sex toy kwetu wanaume, huku wengine tukiwaacha single maza na hata wanawake wengine kuuwawa kikatili mno.

Sera hii ya 50/50 imekuja kuweka uadui mkubwa baina ya mwanaume na mwanamke ndiyo maana utajionea sasa hivi wanawake wakiuawa sana kutokana na visa vya mapenzi, humu wengine wakiachwa walemavu, wengine single maza na wengine wakibaki kusema hakuna waoaji.

Enyi wanawake wazee wenye akili wafundisheni wanawake wadogo na mabinti zenu kwamba hakuna na haitakaa kutokea hata siku moja mwanamke akawa sawa na mwanaume, Mwenyezi Mungu wa Mbinguni alisha umba na akatutofautisha wanaume na wanawake, tena akasema nyie wanawake ni viumbe dhaifu tuishi na nyie kwa akili huku akiwapa amri ya kututii sisi wanaume nasi kupewa amri ya kuwapenda na kuishi na nyie kwa akili.

Sis wanaume tunatumia akili sana na haitakaa kutokea mwanaume mwenye akili akakubaliana na wewe kukuoa huku unachembe chembe za ufeminist, kudai haki sawa na kusema wewe na mwanaume ni 50/50, na ikitokea mwanaume mwezetu katekwa na mwanamke mpumbavu ikumbukwe akija kijiweni tutamkanda na kumfungua akili.

TUTAENDELEA KUKATAA NDOA MPAKA MPATE AKILI, MKIJILENGESHA TUTAICHAPA NA MKIZAA MTAKUA SINGLE MAZA NA LITATIMIA LILE NENO KWAMBA IPO SIKU WANAWAKE SABA WATANYANG'ANYANA MWANAUME MMOJA AWAOE
 
Mkuu loading,

Nimesoma uzi wako vizuri.
Lakini sera ya 50/50 unaielewa?
Si kweli sera hii inahitaji mwanamke awe juu ya mwanaume.

Kutafuta uwiano katika:
1 kupata usawa wa kielimu tofauti na mwanzo mtoto wakike alikuwa akiachwa nyumbani na mtoto wakiume kusomeshwa( rejea muvi ya marehemu Steven kanumba Uncle Jj)

2. Ushiriki katika kujenga uchumi,
3. Ushiriki katika siasa
4. Haki za kisheria( imetoa Wigo mpana kwa wanawake kutambua haki zao na kuondoka na manyanyaso ya wanaume Tanzania women lawyers association.

Mkuu Loading,
Dunia inabadilika hatuwezi kuendelea kuwa vile mababu zetu walivyokuwa kutokana na mabadiliko ya dunia.
Mwanaume anaendelea kumpenda Mke na mwanamke anaendelea kumtii mume halina uhusiano wowote na sera ya 50/50.

Je wewe pointi yako ilikuwa ni ipi? Unavyosema utaendelea kuwazalisha kwani unamkomoa nani? Huoni unaendelea kuleta viumbe ambavyo havina hatia kuja kuteseka?

Embu tuwekee changamoto unazoziona?
 
Kama kweli wanaume hatuitaki hiyo 50/50 basi tuache kuwaambia wanawake nao watafute pesa ili watusaidie majukumu, tuendelee kuwahudumia kiuchumi na tuache kuwasema kwamba eti wanaingia kwenye mahusiano sababu ya pesa hiyo ni haki yao, wanadai Usawa kwa sababu siku hizi wanaume ndio tumetaka waingilie majukumu yetu lazima tuchague moja..
 
Mkuu loading,

Nimesoma uzi wako vizuri.
Lakini sera ya 50/50 unaielewa?
Si kweli sera hii inahitaji mwanamke awe juu ya mwanaume.

Kutafuta uwiano katika:
1 kupata usawa wa kielimu tofauti na mwanzo mtoto wakike alikuwa akiachwa nyumbani na mtoto wakiume kusomeshwa( rejea muvi ya marehemu Steven kanumba Uncle Jj)

2. Ushiriki katika kujenga uchumi,
3. Ushiriki katika siasa
4. Haki za kisheria( imetoa Wigo mpana kwa wanawake kutambua haki zao na kuondoka na manyanyaso ya wanaume Tanzania women lawyers association.

Mkuu Loading,
Dunia inabadilika hatuwezi kuendelea kuwa vile mababu zetu walivyokuwa kutokana na mabadiliko ya dunia.
Mwanaume anaendelea kumpenda Mke na mwanamke anaendelea kumtii mume halina uhusiano wowote na sera ya 50/50.

Je wewe pointi yako ilikuwa ni ipi? Unavyosema utaendelea kuwazalisha kwani unamkomoa nani? Huoni unaendelea kuleta viumbe ambavyo havina hatia kuja kuteseka?

Embu tuwekee changamoto unazoziona?

Ukisoma vizuri bandiko langi utagunda kuna changamoto kubwa ya 50/50. Pia kumlinganisha mwanaume na mwanamke kwamba ni sawa kwa namna yeyote ile ni upuuzi mtupu na ni ushetani. Mwenyezi Mungu alisha panga nyie ni kina nani msahihishe?

Rejea maandiko matakatifu kwa kina sawa sawa na imani yako.
 
Hizi mada za wanawake tumezichoka sasa. Asubuhi wanawake, mchana wanawake, jioni wanawake, nyenyenyenyenye
Leta ya kwako ambayo ni tofauti na wanawake. alafu jiongelee nafsi yako ukiona huku kunakukwaza nenda jukwaa lingine
 
kumlinganisha mwanaume na mwanamke kwamba ni sawa kwa namna yeyote ile ni upuuzi mtupu na ni ushetani.
Mkuu loading,

Nafikiri labda hapa bado sijaelewa.
Naomba sana unieleweshe ni vipi 50/50 inamlinganisha mwanamke na mwanaume?

for the sake of argument, tutumie reference ya imani unayotaka wewe which personal am not a fan of that stuffs.

mkuu umeleta mada ili tuichambue,embu tueleze sasa ni namna ipi mwanamke analinganishwa na mwanaume. Ipo katika angle gani haswa?
Ahsante
 
Mistari muhimu ya kukumbuka:-

1 WAKORINTHO 14:34-36

34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.

35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.

36 Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?

1 TIMOTHEO 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.

12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.

1petro 3:1-6*

3 Kadhalika ninyi wake, jinyenyekezeni chini ya waume zenu, ili kama wako wasioliamini neno, wapate kuamini kwa kuvutiwa na mwenendo wa wake zao. Hawatahitaji kuambiwa neno 2 kwa sababu wataona maisha yenu safi na ya kumcha Mungu.

3 Kujipamba kwenu kusiwe kwa nje, yaani: kwa kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu na kuvaa mavazi maridadi. 4 Bali kujipamba kwenu kuwe katika utu wa ndani wa moyoni, kwa uzuri usioharibika, wa roho ya upole na utulivu. Uzuri wa namna hii ni wa thamani sana mbele za Mungu. 5 Maana ndivyo walivyojipamba wanawake wata katifu wa zamani, waliomtumaini Mungu na kuwa wanyenyekevu kwa waume zao. 6 Kama Sara alivyomtii mumewe Ibrahimu, akamwita ‘bwana’. Ninyi sasa ni binti zake Sara kama mkitenda mema pasipo kuogopa tishio lo lote.

Mambo ya walawi 15:19-30

19 Mwanamke ye yote, kama anatokwa na kitu, na kitu chake alichokuwa nacho mwilini mwake ni damu, ataketi katika kutengwa kwake muda wa siku saba; na mtu ye yote atakayemgusa atakuwa najisi hata jioni.
20 Na kitu cho chote akilaliacho katika kutengwa kwake kitakuwa najisi; na kila kitu ambacho akiketia kitakuwa najisi.
21 Mtu ye yote atakayekigusa kitanda chake huyo mwanamke atazifua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hata jioni.
22 Mtu ye yote atakayekigusa cho chote ambacho huyo mwanamke amekiketia atazifua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hata jioni.
23 Kwamba ni katika kitanda, au cho chote alichokikalia huyo mwanamke, atakapokigusa kitu hicho, atakuwa najisi hata jioni.
24 Na mtu ye yote atakayelala na mwanamke na unajisi ukawa juu yake, atakuwa najisi muda wa siku saba; na kila kitanda alichokilalia kitakuwa najisi.
25 Na mwanamke kama akitokwa na damu yake siku nyingi, nayo si katika majira ya kutengwa kwake, au kama anatoka damu kuzidi majira ya kutengwa kwake; siku hizo zote za kutoka damu ya unajisi wake, atakuwa kama alivyokuwa katika siku za kutengwa kwake; yeye yu najisi.
26 Kila kitanda akilaliacho katika siku zote za kutoka damu kitakuwa kama kitanda cha kutengwa kwake; na kila kitu atakachokilalia kitakuwa najisi, kama unajisi wa kutengwa kwake.
27 Na mtu ye yote atakayevigusa vitu vile atakuwa najisi, naye atazifua nguo zake, na kuoga majini, naye atakuwa najisi hata jioni.
28 Lakini huyo mwanamke kwamba ametakaswa na kule kutoka damu kwake, ndipo atakapojihesabia siku saba, na baadaye atakuwa safi.
29 Siku ya nane atajipatia hua wawili, au makinda mawili ya njiwa, na kumletea kuhani, mlangoni pa hema ya kukutania.
30 Kuhani atamsongeza mmoja kuwa sadaka ya dhambi, na wa pili kuwa sadaka ya kuteketezwa; naye kuhani atafanya upatanisho kwa ajili yake mbele za Bwana, kwa ajili ya kutoka damu ya unajisi kwake.

* Hizo ni chache ila Bado upande wa pili nitaleta nikipata muda*

Pia jiulize tokea mwanamke apewe nafasi ya usemaji kajenga au ana bomoa. Jiulize kwanini wanawake wengi ndiyo wanaopigania kujilinganisha na wanaume na sii wanaume kujilinganisha na wanawake viumbe dhaifu?
 
@passion_amo1 je, kupitia maandiko haya huoni kwamba kuna gender gap and gender imbalance kama umeiona kwanini 50/50?
 
Mkuu Loading
Asante sana. Haya tuanze hapa soma na wewe taratibu.👇

Timotheo wa kwanza 2:11-12 inasema, “mwanamke na ajifunze katika utulivu akitii kwa kila namna. Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha wala kumtawala mwanamume bali awe katika utulivu.” Katika kanisa Mungu hugawanya wajibu kwa wanaume na wanawake. Hii ni kwa sababu ya vile wanadamu walivyoumbwa (Timotheo wa kwanza 2:13) na pia kwa jinsi ile dhambi ilivyoingia duniani (Timotho wa pili 2:14). Mungu, kupitia nyaraka za Mtume Paulo akataza wanawake kuhudumu katika nyadhifa zenye kuwapa mamlaka ya kiroho juu ya wanaume. Hii inajumuisha huduma ya uchungaji, uhubiri, walimu na mamlaka ya kiroho juu ya wanaume.

Kuna upinzani mwingi juu ya wanawake kuhudumu katika uchungaji. La kwanza, Paulo awazuia wanawake wasifundishe kwa kuwa katika karne ya kwanza wanawake hawakusoma. Ijapokuwa katika Timotheo wa kwanza 2:11-14 hawakutaja swala la elimu. Kama kusoma kungekuwa kigezo cha mtu kuhudumu basi wanafunzi wengi wa Yesu hawangehudumu. La pili ni kwamba Paulo aliwakataza wanawake wa kiefeso wasifundishe (Timotheo wa kwanza ni waraka kwa ajili ya Timotheo aliyekuwa mchungaji wa kanisa la efeso). Mji wa efeso ulijulikana sana kwa hekalu lake la Artemi, Mungu bandia wa kiyunani na kirumi. Wanawake walikuwa ndio wenye mamlaka katika ibaada ya Artemi, ambayo ndiyo sababu ya kukatazwa huku katika Timotheo wa kwanza 2:11-12.

La tatu ni kuwa Paulo azungumzia juu ya wake na waume zao wala si wanawake kwa wanaume kwa jumla. Neno la kiyunani katika Timotheo wa kwanza 2:11-14 yaweza kumaanisha waume kwa wake zao. Katika aya za 8-10 pia neno hilo limetumika tena. Je, ni Wanaume pekee ambao niwainue mikono yao mitakatifu katika sala bila hasira wala kulazimishwa (aya 8)? Je, ni wanawake tu ndio ni wavae mavazi ya kujisitiri, wawe na matendo mema na wamwabudu Mungu (aya 9 - 10)? La hasha. Aya za 8 – 10 zazungumzia juu ya wanaume na wanawake kwa jumla swala sio waume kwa wake zao. Hakuna chochote ambacho kingethibitisha kusimama mahali pa waume na wake katika aya 11-14.

Pingamizi kwa tafsiri hii ya wanawake wachungaji/wahubiri ni kwa kuwatazama Miriam, Deborah, Huldah, Prisilla,Fibi na kadhalika, waliokuwa na nyadhifa za uongozi katika Biblia. Deborah alikuwa mwanamke peke yake aliyekuwa mwamuzi katika waamuzi 13. Huldah alikuwa peke yake nabii wa kike kati ya manabii wote waliotajwa katika Biblia. Miriam aliunganihwa na huduma ya ndugu zake wakina Musa na Haruni. Wanawake maarufu katika nyakati za wafalme ni Athaliah na Yezebeli – ambao hawawezi kufaa kama mifano ya wanawake waliokuwa na uongozi wa kimungu.

Katika kitabu cha Matendo ya mitume 18, Prisila na Akwila wanatambulishwa kama watumishi wa kristo waaminifu. Jina la prisila linatajwa kwanza,kuashiria alikuwa maarufu zaidi katika huduma kuliko mumewe.hakuna mahali alipoelezwa kufanya huduma yoyote ambayo ni kinyume na Timotheo wa kwanza 2: 11-14. walimleta kwa pamoja Apolo nyumbani mwao na kumfanya mwanafunzi kwa kumfundisha neno la Mungu kwa uhakika (matendo 18:26).

ika Warumi 16:1 hata Fibi pia atambuliwa kama shemasi wala si mtumishi kama vile mwalimu katika kanisa ajulikanavyo. “mwenye uwezo wa kufundisha “ ni kigezo cha wazee lakini kwa shemasi hakitumiki. Timotheo wa kwanza 3:1-13; Tito 1:6-9). Wazee/ makasisi/ mashemasi wanatajwa kama “waume wa mke mmoja” “mume ambayo watoto wake wanaamini,” na “ waume wanostahili heshima.”

Mpangilio wa maandiko katika Timotheo wa kwanza 2:11-14 inafafanua vizuri. Aya 13 inaeleza kwa nini Paulo alisema yale ayliymo katika aya za 11-12. kwa nini wanawake wasifundishe na wasiwe na mamlaka juu ya waume? Kwa sababu,- “kwa kuwa Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza na Hawa baadaye. Wala Adamu hakudanganywa ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.” Hii ndiyo sababu. Mungu alimuumba Adamu kwanza na Hawa baadaye ili awe msaidizi wa Adamu. Hivyo ndivyo ilivyo katika jamii zetu nyumbani (waefeso 5:22-33) na kanisani. Wengi huamini kuwa wanawake ni rahisi kudanganywa.hivyo ni sawa na kusema wanawake wasiwe walimu. Mbona basi huachiwa watoto wawafunze? Ujumbe huo haukulenga tafsiri hiyo. Kwa sababu hiyo basi, Mungu amewapa wanaume jukumu na mamlaka ya kufundisha katika kanisa.

Wanawake ni bora katika vipawa vya ukarimu,huruma walimu na misaada. Huduma nyingi za kanisa hutegemea wanawake wanawake kanisani hawakatazwi kuomba kwa sauti au kutoa unabii (wakorintho wa kwanza 11:5), lakini wamekatazwa kuwa na mamlaka ya kiroho juu ya wanaume. Biblia haikatazi wanawake wasitumie vipawa vya Roho Mtakatifu (wakorintho wa kwanza 12). Wanawake, kama vile wanaume, huitwa kuhudumiana ili wadhihirisha matunda ya Roho Mtakatifu (wagalatia 5:22-23), na klitangaza injili kwa waliopotea (Mathayo 28:18-20; matendo 1:8; petro wa kwanza 3:15).

Mungu ameidhinisha waume wahudumu katika nyadhifa za mafundisho yenye mamlaka ya kiroho katika kanisa.hii si kwa sababu wanaume ni walimu bora au kuwa wanawake ni watu duni. Ni kwa sababu Mungu mwenyewe alitaka kanisa liwe hivyo. Wanaume ni wawe mifano katika uongozi wa kiroho- katika maisha yao na pia katika matamshi yao. Wanawake wanasisitizwa kufundisha wanawake wengine (Tito 2:3-5). Biblia pia haiwazuii wanawake kuwafundisha watoto. Kila wanachozuia kufanya ni kufundisha au kuwa na mamlaka ya kiroho juu ya wanaume. Hili linawajumuisha wanawake katika huduma ya uchungaji/uhubiri. Hili haliwafanyi wanawake kuwa si wa muhimu sana ila kuwapa mtazamo katika huduma ambao una kubalika mbele za Mungu.

Halafu uniambie umeelewa?

Mimi siamini haya mambo, ila tutatumia reference hizo hizo kuendeleza mjadala.

Halafu sasa uonyeshe ni wapi wanaweke wamebomoa?
 
Hapo hakuna hilo gender imbalance katika context ya biblia, ila kimantiki hilo lipo na ndio ambalo linafanyiwa kazi ili wote tuwe sawa kielimu, kijamii, umiliki, kisheria, na sekta zingine.

sasa useme ni wapi mwanamke anataka kujilinganisha na mwanaume?
 
Kwahiyo mkuu haipaswi mwanamke kuongoza kundi (mchungaji) au kuwa muangalizi wa kundi (askofu)?
 
Back
Top Bottom