Wanawake wengi tumebadilika kitabia kutokana na tabia za waume zetu

Jamani wanawake wa JF nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa wanawake wengi tulioko kwenye ndoa sivyo tulivyo. Tumebadilika kutokana na tabia mbaya za waume zetu. wametusababisha tumekuwa na Gubu, Hasira, Kiburi, Dharau, Mawazo, Magonjwa, Ulevi, na hata utumiaji wa pesa hovyo kwa madai kwamba mbona yeye anapeleka kwa wanawake zake huko nje let me enjoy. Wanawke hoyeeeeeeeeeeee:israel:
Gubu ,hasira,ulevi na mawazo epukana navyo kwani vinakudestroy.utaugua maradhi makubwa.Kuwa cool kwani kuna wanaume wengine wanaamua kukukwaza makusudi kama kinga ili usiweze kumuuliza kitu.
 
Utatabasamu na kucheka na mtu ambaye anakunyanyasa?? so mpaka hapo tu umeshaishi vile ambayo reality hukuwa hivyo
Ndugu yangu hakuna dawa nzuri kama kucheka nae huyo mnyanyasaji,badili mtazamo anza kumpenda kama mwanzo na uamini Mungu alikupa huyo mume kwa sababu alijua wewe ndio utamweza,ukicheka na kufumbia macho ukorofi wake na kuongeza mapenzi kwake hakika atabadilika.Fanya haya yote ukimshirikisha Mungu huku ukimwombea mumeo na pia ukimwomba akupe uvumilivu ujasiri
 
kwa nini usibadilike kama unafanya hi'
housegel amfungulie mlango
housegel ampe chakula wewe umechoka,
aulize msosi umuonyeshe kwa mguu ukiwa umejilaza kochini.
mtofautiane kidogo umjibu hukunikuta kwetu nikiwa na shida nyumban napendwa sana.
housegel afue boxer zake,wewe hujiskii vizuri kichwa kinauma.
ukitoka kazini moja kwa moja kitandani,nyumba haijapangwa inavyotakiwa,viatu juu ya friji,matunda yapo stoo,nguo zipo seating room.
mashoga wasioeleweka,asubuh mpaka jioni wanapishana.
watoto wanalia hawajala wewe umechoka subirirni baba yenu aje awabembeleze then awape chakula.
umempiga jungu wifi yako aliyeko kushimundu.
umebeba ofisi umehamishia nyumbani,typist kawa secretary.messenger kawa mkurugenz na uongo mwingi wa kutosha.

kwa mwendo huo lazima tabia yako ibadilike tuu,kulingana na hayo mazingira.
 
I was about to say the same. Mimi mama yangu miaka ya mwisho mwisho kabla ya kutengana na baba, nilikuwa sijuhi kama huwa anachekaga. Yaani alikuwa full kisirani kumbe ni ma frustration. Toka wamedivorce kawa kama kabinti!! Full tabasamu. Gubu lazeeha ati. Ndio maana nikajifunza no one on earth will make me regret in my life. Na msikimbilie kusema kuwa kujibu mapigo ni kuwa malaya. There are different ways to make ourselves happy!!! mama yangu sijawahi muona na mwanaume mwingine toka ametengana na baba na ni almost 15 years now. keshakuwa bibi. Inafika kipindi mtu anasema enough is enough!

Ni kweli hata kushinda kanisani 24/7 ni kuchanganyikiwa sio usual na penyewe ni hatari kwa ndoa na familia kwa ujumla. Watoto wanakuona saa ngapi kama wewe wampikia na kumsafishia nyumba mchungaji?

Naona kama unachanganya madesa mpendwa, kubadilika tabia sio lazima ziwe mbaya unaweza ukaanza kushinda kanisani na mwisho wake ukageuka mwehu sababu ya depression na hiyo nayo ni tabia mbaya.
 
Jamani wanawake wa JF nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa wanawake wengi tulioko kwenye ndoa sivyo tulivyo. Tumebadilika kutokana na tabia mbaya za waume zetu. wametusababisha tumekuwa na Gubu, Hasira, Kiburi, Dharau, Mawazo, Magonjwa, Ulevi, na hata utumiaji wa pesa hovyo kwa madai kwamba mbona yeye anapeleka kwa wanawake zake huko nje let me enjoy. Wanawke hoyeeeeeeeeeeee:israel:

Hivi ni visingizio tu ...........kama una tabia nzuri huwezi ukawa na malipizi kwa sababu unajua upo duniani kumtumikia Muumba na wala siyo kiumbe kama huyu mumewe................................ili utende uovu ni lazima mawazo yako kwa kiwango kikubwa yametawaliwa na uovu.......................kumbuka fikira zetu ndizo chimbuko la maovu na hapa na pale hujaribu kutafuta visingizio vya kuhalalisha maovu.......
 
Mmmmmmmhhhhhhhhhh
 
Uliyonena ni yaukweli mkuu, sina cha kuengeza hapa zaidi ya kukushukuru!
 
I was about to say the same. Mimi mama yangu miaka ya mwisho mwisho kabla ya kutengana na baba, nilikuwa sijuhi kama huwa anachekaga. Yaani alikuwa full kisirani kumbe ni ma frustration. Toka wamedivorce kawa kama kabinti!! Full tabasamu. Gubu lazeeha ati. Ndio maana nikajifunza no one on earth will make me regret in my life. Na msikimbilie kusema kuwa kujibu mapigo ni kuwa malaya. There are different way to make ourselves happy!!! mama yangu sijawahi muona na mwanaume mwingine toka ametengana na baba na ni almost 15 years now. keshakuwa bibi. Inafika kipindi mtu anasema enough is enough!Ni kweli hata kushinda kanisani 24/7 ni kuchanganyikiwa sio usual na penyewe ni hatari kwa ndoa na familia kwa ujumla. Watoto wanakuona saa ngapi kama wewe wampikia na kumsafishia nyumba mchungaji?
Speaking from expelience is very much respected in Jamiiforums. Mkuu mama yako kapitia mengi, kuna kila haja ya kumpongeza kwa hatua yake na maamuzi yake magumu! Nzuri zaidi amewalindia heshima nyie pia kwa kujituliza!
 
Gagurito usicheke haya mambo yanatia hasira sana. mtu unaishi as if .......
Sio kwamba nacheka, nimekumbuka toka ulipogonga hodi humu jamvini tena kwa mbwembwe ukapotea ghafla. Nimefurahi umerudi tena and this tym ur doing very good. thanx for the nice thread, michango watu ni mizuri, inatujenga!
 
hujambo jomse?

avatar35809_7.gif
 
Karina; Tuliza akili yako vema achana na papala za kujibu mapigo anayokufanyia mumeo. Hasira hazijengi zaidi ya kukupeleka kusiko.
Kama mna watoto wafikilie ni kwa kiasi gani mnawaathiri kwa nifalakano yako na mumeo. Usione watu wanazeeka wakiwa pamoja, kuna kuvumilia kwingi kulitawala. Jiulize unataka nini kwenye ndoa yako na hicho unachokitaka kinapatikanaje? Usilipize uovu kwa kutenda maovu Unajiangamiza.
Jiulize pia kwa nini mumeo kabadilika ghafla? Ni kweli pesa ndo zimembadili mumeo? Kama alikuwa anakupenda, kupata pesa kunaondoa upendo kwa umpendaye? Jiulize pia umechangia vipi mumeo kubadilika isijekuwa unatowa lawama kumbe na wewe ulikuwa ni chanzo. Wanaume wengi huwa siyo waongeaje sana kama nyie akina dada. Ukimkosea mara nyingi anakujibu kwa matendo, nyie ni kidogo tu lawama zitasikika mtaa wa tatu.

Mtegemee Mungu, hashindwi kitu atambadili tu huyo mumeo. Hili litaambatana na uvumilivu japokuwa wewe umesema uvumilivu ulikuwa kwa
babu na bibi zetu. Ndowa nyingi zinakuwa na mawimbi, usitegemee bahari kuwa shwari tu. Hivyo lazima uvumilie lasivyo utajitosa baharini ambamo utaliwa na Papa. Vumilia dada ndo ndoa hiyo na ndo mumeo huyo uliyesema utampenda katika shida na raha. Hata kama utasema uondoke ukatafute mwingine, unaweza ambulia pagumu zaidi na ukasema afadhari na uliye naye.

Mungu akupe hekima ukafanya maamzi ya busara na ndoa yako ikawe na furaha tena na Amani
 
Jamani wanawake wa JF nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa wanawake wengi tulioko kwenye ndoa sivyo tulivyo. Tumebadilika kutokana na tabia mbaya za waume zetu. wametusababisha tumekuwa na Gubu, Hasira, Kiburi, Dharau, Mawazo, Magonjwa, Ulevi, na hata utumiaji wa pesa hovyo kwa madai kwamba mbona yeye anapeleka kwa wanawake zake huko nje let me enjoy. Wanawke hoyeeeeeeeeeeee:israel:
Mwanamke mjinga hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Hapo hakuna cha kubadirishwa tabia na mwanaume wake, ni tabia yake aliyoficha toka awali.
 
Mwanamke mjinga hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Hapo hakuna cha kubadirishwa tabia na mwanaume wake, ni tabia yake aliyoficha toka awali.
Kweli mkuu, wanawake wa dizain hii ni wakuchapa tu!
 
Jamani wanawake wa JF nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa wanawake wengi tulioko kwenye ndoa sivyo tulivyo. Tumebadilika kutokana na tabia mbaya za waume zetu. wametusababisha tumekuwa na Gubu, Hasira, Kiburi, Dharau, Mawazo, Magonjwa, Ulevi, na hata utumiaji wa pesa hovyo kwa madai kwamba mbona yeye anapeleka kwa wanawake zake huko nje let me enjoy. Wanawke hoyeeeeeeeeeeee:israel:
Kwa kweli ni huruma, utakuta mtu anaolewa hata mvinyo haujui, ila atautafuta tu baada ya mambo fulani kwenda kombo, tunawaona mtaani mnavokuwa, na kucheat juu, japo mwanamke aliyeolewa kucheat huwa ni shida sana sababu ya woga ila wapo maninja wanaofanya hii, cha muhimu ni kukaa na wanaume zenu kujadili hili kabla ya hatari, maana dunia nayo imeharibika sana
 
Nafikiri kufanya hayo yote wala sio solution! Ni bora ukatafuta mbinu mbadala ya kumbadilisha mume wako na kuiponya ndoa yako! Kumkomoa mume wako ni sawa na kujikomoa mwenywe!
Karen sio vizuri ulipa kisasi ndio nakubali, but nilivomwelewa anafanya yooote hayo kutafuta happiness, na vyote alivovitaja naona sio haramu,
 
Jamani wanawake wa JF nafikiri mtakubaliana na mimi kuwa wanawake wengi tulioko kwenye ndoa sivyo tulivyo. Tumebadilika kutokana na tabia mbaya za waume zetu. wametusababisha tumekuwa na Gubu, Hasira, Kiburi, Dharau, Mawazo, Magonjwa, Ulevi, na hata utumiaji wa pesa hovyo kwa madai kwamba mbona yeye anapeleka kwa wanawake zake huko nje let me enjoy. Wanawke hoyeeeeeeeeeeee:israel:
Akupigaye shavu la kushoto..........?????.?????? Napita tu dawa ya ugonjwa sindano.
 
Back
Top Bottom