Wanawake wengi tumebadilika kitabia kutokana na tabia za waume zetu

Hoyeeeeeeeee
Wametubadili sana, sometime for the better and sometime for the worse, mie namshukuru wangu sana kwani amenipatia, mie the only daughter, baba ananiabudu, mama ananidekeza hadi leo, lakini huyu kaka ameweza kunifanya nifikirie watu wengine, yeye anatokea familia kubwa kwa hio hakuna selfishness, ni sharing of everything, time, feelings, money, worries nk. mie hayo sikujua, hata sikuwa naona kama natakiwa niwe responsible kwa mtu yoyote, ila sasa naanza kujikuta nasaidia watoto wa ndugu ets.

To me this is a very positive effect, hata wazazi wangu wanashangaa pricess wao kawa vipi.

Lakini kwa upande mwininge, it is difficult to change na my only advise in this, pleaese usifanye jambo kwa kumlipizia kisasi, fanya tu kwa kujiliwaza, tafuta sehemu au kampani safe ya kujiliwaza. ni very risky kujiliwaza na vitu vya siri, kama sex, porn, shopping, food, drinks, ni rahisi kupitiliza na kuwa addicted.

...hongera sana haika,
nyinyi akina haika na ndugu zako wote wa pande hiyo..........
haya mambo ya extended families ni janga la kitaifa huko kwenu.......
hongera kwakuwa umetambua uwepo wa ndugu wa pembeni sasa...................
 
Cheuro naunga mkono hoja kwa 50%. Uvumilivu una kikomo. Hasa wakipata pesa wanataka mabinti wa mjini. Heshma ndani hakuna. Watu wanaish for the sake of kids.
 
VOR unapokuwa kwenye shida kuna wakati unaona giza kabisa .........i have been there ...i have done that..... lakini yote mapito jitahidi sana kutafuta ushauri kwa watu wenye busara bila kusahau kusali sana.

Ingawa ni mkristu anayesali kawaida ila hii issue ya kila uozo anaofanya mwanaume eti uombe sana, hivi huku kuomba ni kwa wanawake tu wanatakiwa kuombea ndoa ili iwe na amani?? Kwani ndoa ni mwanamke peke yake what about the man kuomba pamoja au kufanya vyema ili ndoa iwe na amani? Kuliko kufanya self destruction eti kwa sababu ya mwanaume uliyekutana naye ukiwa na meno yako 32 si bora uangalie ustaarabu mwingine!! Kuna ndoa ambazo hata ufanyeje love is no onger there mnaexist tu for whatever reason, iwe financial, kids or jamii. Ushauri kama umefanya kila liwezekano to rescue ndoa na haisimami move on as hamna haja ya kuishi kwa sononi na mavisukari for a person with flesh like u, halafu kuna wakati hata hao watoto manaoamua kukaa pamoja for the sake of them mnawaathiri zaidi kuliko kuwajenga coz kila siku ni gubu tu ndani nyumba, no happy hour for the family, tensions non stop, bora kila mtu kivyake n watoto visiting nadhani inakuwa bora zadi. I love arrangement na my partner not married bt we see each other daily in one of us houses no stress no what heshima, n we cant get enough of each other, nikiaga in mid night nadhani anatamani niendelee kubaki, haya ya kuchukuliana for granted! na issue nyingine wanawake tuache kulazimisha ndoa sijui kwa kubeba mimba or what let it be natural, kuna couple hawaanishi kuwa pamoja basi mazingira yana force. Leave ur life as kuna one chance only coz hatuna uhakika kama kweli another world inaexist coz we havnt seen it!!!!!!!
 
Acheni kujustify maovu kwa kuwapaka wenzenu matope. Na wanawake walevi ambao hawataki ndoa? Nani kasababisha.
Yashinde mazingira unayoishi, ndo maana uliumbwa binadamu na siyo simba au swala.
Au walaumu waliokulea, maana waliruka syllabus ya uvumilivu wa ndoa.
Kwenye ndoa hakutakiwi kuwa na Uvumilivu ni UPENDO,ukiwa na upendo yote yanakuja hakuna binaadamu hata mmoja mwenye kuvumilia shida HAKUNA mwenye moyo huu katika sayari ya jua hili ndio mana mwisho anakwambia nimevumilia nimechoka.Ila uckubali watoto waharibike kwasababu ya kima mmoja anayerudi asbh ama kuchelewa kurudi kila leo kwakweli ni karaha sana watoto wanakosa mapenzi wanakuwa hawana huruma wala mapenzi mzazi
 
Pole sana mpenzi umenikumbusha mbali sana huwa ni kipindi kigumu sana siku moja nilikuwa na mawazo mpaka nikajikuta naongea mwenyewe njiani kaka watu maskini alifanya kunipigia makofi kuniuliza kulikoni.

Huwa tuna tabia mbaya sana ya kupenda kulaumu watu bila kuangalia chanzo cha tatizo na mazingira yalimpelekea mtu kuwa hivo sasa hapo umemshauri au unamlaumu kumbuka hata malezi yetu huwa yanachangia sana kwenye tabia na ufanyaji wa maamuzi yetu .

Chauro msaidie huyu dada ulivyoweza kuondokana na hayo matatizo. Pole sana mtoa mada nakushari ukimbilie maombi piga sana maombi Mungu akuondelee hiyo hali unayojisikia kwani ni mbaya sana hasa kama una watoto wataathirika pia kama alivyosema blaki woman hapo juu. Ni ngumu ila jitahidi mpenzi wengi tu yamewakuta hayo yanayokukuta sasa wewe wal sio wa kwanza.
 
Pole sana mpenzi umenikumbusha mbali sana huwa ni kipindi kigumu sana siku moja nilikuwa na mawazo mpaka nikajikuta naongea mwenyewe njiani kaka watu maskini alifanya kunipigia makofi kuniuliza kulikoni.

Ingawa ni mkristu anayesali kawaida ila hii issue ya kila uozo anaofanya mwanaume eti uombe sana, hivi huku kuomba ni kwa wanawake tu wanatakiwa kuombea ndoa ili iwe na amani?? Kwani ndoa ni mwanamke peke yake what about the man kuomba pamoja au kufanya vyema ili ndoa iwe na amani? Kuliko kufanya self destruction eti kwa sababu ya mwanaume uliyekutana naye ukiwa na meno yako 32 si bora uangalie ustaarabu mwingine!! Kuna ndoa ambazo hata ufanyeje love is no onger there mnaexist tu for whatever reason, iwe financial, kids or jamii. Ushauri kama umefanya kila liwezekano to rescue ndoa na haisimami move on as hamna haja ya kuishi kwa sononi na mavisukari for a person with flesh like u, halafu kuna wakati hata hao watoto manaoamua kukaa pamoja for the sake of them mnawaathiri zaidi kuliko kuwajenga coz kila siku ni gubu tu ndani nyumba, no happy hour for the family, tensions non stop, bora kila mtu kivyake n watoto visiting nadhani inakuwa bora zadi. I love arrangement na my partner not married bt we see each other daily in one of us houses no stress no what heshima, n we cant get enough of each other, nikiaga in mid night nadhani anatamani niendelee kubaki, haya ya kuchukuliana for granted! na issue nyingine wanawake tuache kulazimisha ndoa sijui kwa kubeba mimba or what let it be natural, kuna couple hawaanishi kuwa pamoja basi mazingira yana force. Leave ur life as kuna one chance only coz hatuna uhakika kama kweli another world inaexist coz we havnt seen it!!!!!!!

Ukiomba kwa kumaanisha na kusubiri hakuna linashindikana kwa Mungu ni wewe tu kuwa na imani. Ila inabidi ujiangalie uliingiaje kwenye hiyo ndoa je alikuja mume mwenyewe na kutaka ndoa au ulilazimisha? kama hiyo ndoa uliipanga mfano kwa kubeba mimba, utaomba mpaka Yesu arudi isiwe kwani unauombea ubavu wa mwenzio.
 
Halafu huwa una change pole pole bila wewe kukusudia wala ku note. Mara nyingi huwa ni ktk harakati za kukufanya ujickie vizuri na usiumizwe sana na kero zake unajikuta umekuwa mtu tofauti kabisa.
 
nakubaliana na wewe kabisa,tena mimi huwa nafuahi akisafii maana nakuwa na amani mpaka basi,akiudi loh uso unakuwa wa mzee kila saa anakuboa unalia weeeee mpaka unazeeka kabla a muda hawa viumbe cjui tuwafanaje,mimi cku hizi naongea sana na ckuwa hivo sababu ni mume wangu ahhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!
 
Karina; Tuliza akili yako vema achana na papala za kujibu mapigo anayokufanyia mumeo. Hasira hazijengi zaidi ya kukupeleka kusiko.
Kama mna watoto wafikilie ni kwa kiasi gani mnawaathiri kwa nifalakano yako na mumeo. Usione watu wanazeeka wakiwa pamoja, kuna kuvumilia kwingi kulitawala. Jiulize unataka nini kwenye ndoa yako na hicho unachokitaka kinapatikanaje? Usilipize uovu kwa kutenda maovu Unajiangamiza.
Jiulize pia kwa nini mumeo kabadilika ghafla? Ni kweli pesa ndo zimembadili mumeo? Kama alikuwa anakupenda, kupata pesa kunaondoa upendo kwa umpendaye? Jiulize pia umechangia vipi mumeo kubadilika isijekuwa unatowa lawama kumbe na wewe ulikuwa ni chanzo. Wanaume wengi huwa siyo waongeaje sana kama nyie akina dada. Ukimkosea mara nyingi anakujibu kwa matendo, nyie ni kidogo tu lawama zitasikika mtaa wa tatu.

Mtegemee Mungu, hashindwi kitu atambadili tu huyo mumeo. Hili litaambatana na uvumilivu japokuwa wewe umesema uvumilivu ulikuwa kwa
babu na bibi zetu. Ndowa nyingi zinakuwa na mawimbi, usitegemee bahari kuwa shwari tu. Hivyo lazima uvumilie lasivyo utajitosa baharini ambamo utaliwa na Papa. Vumilia dada ndo ndoa hiyo na ndo mumeo huyo uliyesema utampenda katika shida na raha. Hata kama utasema uondoke ukatafute mwingine, unaweza ambulia pagumu zaidi na ukasema afadhari na uliye naye.

Mungu akupe hekima ukafanya maamzi ya busara na ndoa yako ikawe na furaha tena na Amani

well said mkuu

Kuna vitu vingi kama nini vyakuombea kama watoto wawe na afya njema wazazi masomo bado nije nihangaike na mtu ambaye hata habadiliki mweeeeeeeeeeee niacheni
Usiseme hivyo mamito punguza hasira my dear, wewe sio wa kwanza kukutwa na hiyo hali si umemsikia chauro hapo na wengine wengi hatuwezi kurudia kueleza mapito tuliyopitia ni ngumu ila jitahidi kutuliza munkari. Wanaume wote wanakera si walio ndoani au walionje ya ndoa wote ni wale wale tu.

nakubaliana na wewe kabisa,tena mimi huwa nafuahi akisafii maana nakuwa na amani mpaka basi,akiudi loh uso unakuwa wa mzee kila saa anakuboa unalia weeeee mpaka unazeeka kabla a muda hawa viumbe cjui tuwafanaje,mimi cku hizi naongea sana na ckuwa hivo sababu ni mume wangu ahhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!

Pole hili ni janga kubwa na linawakuta wanawake wengi sana.
 
Karen hivi vitu vinakuja vyenyewe automatic unashangaa hutamani kumjibu vizuri cos kakujia asubuhi hutamani hata kuongea cos akifungua mdomo wake ni pombe tupu na maneno ya kuudhu. so vitu vyote hivyo unashangaa unavifanya japo hukulelewa hivyo

Ulipokuwa unaolewa hukujua mchumba wako mlevi? Kwanza huenda mlikutana baa. Hapo unategemea nini? Nyimbo za pambio?
 
Haya mambo ni kuomba Mungu na kutemea mate chini yasikukute. Napinga wale wanaosema wanawake wanaopata tabu kwenye ndoa walijishikisha mimba. Mama yangu hakujishikisha mimba na walipooana na baba they were real in love kiasi kwamba mpaka baba leo hii anatusimulia maisha yao ya ujana. Na bado ndoa ilimshinda. Hata kama mtu kaolewa na mimba huwezi jua labda ni makubaliano ya wawili ku conceive. Hivi woote wenye matatizo waliolewa na mimba?

Nimeamua kuwatetea tu walioolewa na mimba mimi si mmoja wao msije sema najitetea.
 
Eeee Mungu wabariki wanawake wote Tanzania, tuna mitihani mingi sana kwenye mahusiano yetu
 
wanawaka pia wamechangia mengi kwa wanaume pia! Check thread ya lizi, uiifatilia vizuri hoja vinavyowasilishwa...
 
Back
Top Bottom