Wanawake wengi tumebadilika kitabia kutokana na tabia za waume zetu

My take ni kwamba mtu yeyote asiyejua anakoelekea basi njia yoyote humfikisha kwenye safari hiyo...huwezi kua muadilifu na mwenye tabia njema tokea utotoni na ghafla badae uwe na hulka na tabia zisizofaa huku ukijipa tumaini mazingira ndiyo yamekubadili!...Hata kidogo!
 
....na hili la siku hizi la kutoa line ya tigo kwaajili ya kujiexpress,
nalo waume zenu wamewasababishia......?
ahahaha jamani bacha you know what?? you are not seriuos mambo ya tigo yanatoka wapi huku???
 
My take ni kwamba mtu yeyote asiyejua anakoelekea basi njia yoyote humfikisha kwenye safari hiyo...huwezi kua muadilifu na mwenye tabia njema tokea utotoni na ghafla badae uwe na hulka na tabia zisizofaa huku ukijipa tumaini mazingira ndiyo yamekubadili!...Hata kidogo!
Weeeeeeeeeeee usiseme hivyo nilitoka kwetu miaka 5 iliyopita nilikuwa mcheshi, na mwenye furaha wakati wote ila sasa kucheka kwangu ni kwa nadra sana cos mwanaume kichwa kinaniuma frequently kisa....... juzi nilikuwa naendesha gari nimepitiliza kichumi cha home nimejikuta kilomita kama 4 hiv cos mawazo why?????
 
Pole sana
unapoamua kubadilika kuwa mlevi, kuamua kurudi nyumba late inamaana watoto wataathirika kimalezi........na mengine ambayo ukiwa kama mama wa familia yatakwenda ndivyo sivyo.......unachotakiwa kufanya ni kumrekebisha taratibu ipo siku atajitambua na kuona hakustaili kufanya hayo.........usisahau mwanamke mwenye busara hujenga nyumba yake na mpumbavu huibomoa ......jitahidi uwezavyo kumsaidia.......usisahau kummwombea usiku na mchana
 
Pole sana mpenzi umenikumbusha mbali sana huwa ni kipindi kigumu sana siku moja nilikuwa na mawazo mpaka nikajikuta naongea mwenyewe njiani kaka watu maskini alifanya kunipigia makofi kuniuliza kulikoni.

Weeeeeeeeeeee usiseme hivyo nilitoka kwetu miaka 5 iliyopita nilikuwa mcheshi, na mwenye furaha wakati wote ila sasa kucheka kwangu ni kwa nadra sana cos mwanaume kichwa kinaniuma frequently kisa....... juzi nilikuwa naendesha gari nimepitiliza kichumi cha home nimejikuta kilomita kama 4 hiv cos mawazo why?????
 
Huwa tuna tabia mbaya sana ya kupenda kulaumu watu bila kuangalia chanzo cha tatizo na mazingira yalimpelekea mtu kuwa hivo sasa hapo umemshauri au unamlaumu kumbuka hata malezi yetu huwa yanachangia sana kwenye tabia na ufanyaji wa maamuzi yetu .

thats a lame excuse...unabadilika kisa mumeo?
 
Pole sana mpenzi umenikumbusha mbali sana huwa ni kipindi kigumu sana siku moja nilikuwa na mawazo mpaka nikajikuta naongea mwenyewe njiani kaka watu maskini alifanya kunipigia makofi kuniuliza kulikoni.
Chauro we acha tu mumy haya mambo yapo japo wanaume wanayakataa ila yapo
tena kama unabosimwanamke ofisini ndo kikiamka atawalazi chali wafanyakazi woote kwa hasira za home kwake
 
Ndiyo maana tunashauriwa kuwa na muda wa kutosha kufahamiana kabla hatujafanya maamuzi magumu ya kuishi pamoja ili kuepusha haya mambo ambayo naamini yanaepukika...nalazimika kufikiri kua km ulituliza kichwa na hukusukumwa na mali/kitu ama influency ya mtu kiasi cha kukupotezea umakini wako wakati wa urafiki na uchumba basi usingefika hapa leo...
 
Unajua watu huwa hawasemi ukweli lakini sishangai malezi yetu mengi yametufundisha kuficha ficha na kusema uongo.

Chauro we acha tu mumy haya mambo yapo japo wanaume wanayakataa ila yapo
tena kama unabosimwanamke ofisini ndo kikiamka atawalazi chali wafanyakazi woote kwa hasira za home kwake
 
Nyie wenyewe ndo mjilaumu,usifanye kitu kwa sababu ya mtu,fanya kwa sababu umeamua!
 
Ndiyo maana tunashauriwa kuwa na muda wa kutosha kufahamiana kabla hatujafanya maamuzi magumu ya kuishi pamoja ili kuepusha haya mambo ambayo naamini yanaepukika...nalazimika kufikiri kua km ulituliza kichwa na hukusukumwa na mali/kitu ama influency ya mtu kiasi cha kukupotezea umakini wako wakati wa urafiki na uchumba basi usingefika hapa leo...
we Arch sema tu hivyo wakati nyie wanaume wakati mko vyuoni mnakuwa hamna pesa so kumbe mnaishi kulingana na wakati.
mkipata kazi na mshahara mzuri ndo mnabadilika kama kunyonga mweeeee!!!! so mtakua miaka yote ya uchamba cos anakuwa hela haijakolea ndo maana anakuwa na maadili mema ngoja kwanza zikolee utasikia UTANIAMBIA NINI WEWE WA WAZIRI MDOGO TU WEWE:A S 114:
 
wanaume!!1 Wanaume!!!

Acheni kujustify maovu kwa kuwapaka wenzenu matope. Na wanawake walevi ambao hawataki ndoa? Nani kasababisha.
Yashinde mazingira unayoishi, ndo maana uliumbwa binadamu na siyo simba au swala.
Au walaumu waliokulea, maana waliruka syllabus ya uvumilivu wa ndoa.
 
UVUMILIVU!!!! UVUMILIVU!!! What is this??? chakuja kupata presha na vidonda vya tumbo kisa??? uvumilivu ulikuwa enzi za mabibi zetu rembember this is 2011!!!! Upo hapo?
 
Kuwa mlevi, au panga vidumu halafu uone maana ya hilo neno.
 
Kuna principle moja nimeshaithibitisha inayofanya kazi vizuri sana kwenye migogoro ya ndoa, kuwa: The part of your life that intercept with your partners life, should not exceed 20 percent. Cwez kuifafanua hapa kwani itakuwa na maelezo marefu sana. Kwa anaetaka tuidiscuss anitafute kwenye chat yangu huko inbox, of coz co sasa maana hata umeme hamna nilipo. Kwa wale ambao wanadhani kuwa patna wako hawezi kukubadilisha wanakosea, na wale ambao wanadhani namna ya kumhandle patna mwenye mapungufu ya tabia ni kwa kumuacha, wanakosea zaidi.
 
Back
Top Bottom