Wanawake wengi siku hizi ni wahuni sana

Wanawake wengi wamekuwa na tabia Za kimalaya. Aijalishi single, mchumba au mke.
Kwa kuwa wanaume wengi ni malaya haijalishi single, ana mchumba au mume. Mwanaume akimwaga mboga, mwanamke anamwaga ugali...!
 
NGOJA NIZUNGUMZIE MAPENZI.

Mapenzi yetu ya leo kaazi kwelikweli,Zaman ilkua rahisi sana mwanaume akimtongoza msichana ambaye ana mtu wake au anamsimamo wke au hayuko tayari basi, kutukanwa au kukataliwa waziwazi ilkua si Jambo la kushangaza.

Lakini Leo hii kila msichana Anajiita mi "niko sosho" huu ni uhuni Wallah,yani anajiita sosho eti kwamba anaongea nayeyote jambo lolote ata km mke wa mtu lakin anakuambia "am very social, i like chating,sharing ideas etc"

Msichana ana mpezi wake lakin
anajiita Single eti kisa AENDELEE KUTONGOZWA, na hapa natoa Falsafa yangu kwamba "MWANAMKE ANAJIHISI HAI NA MWENYE AFYA KAMA ANENDELEA KUTONGOZWA"...usishangae rafki wa kike wa kawaida tu akakuona huna maana kisa eti humtongozi wala humsifiisifii(lakini ana boyfriend au mmewe) huu ni uhuni MTAKATIFU.

RAFKIANGU ALINISKITIDSHA SANA ALIPONAMBIA ALKUA ANATEMBEA NA RAFKIAKE WA KIKE IKATOKEA AKAMWACHA ATANGULIE MANA YY ALKUTANA NA NDUGUYE WAKAWA WANASALIMIANA. BASI KULE MBELE AKATOKEA JAMAA AKAWA ANAMUULIZA YULE GIRL FRIEND WAKE KUA YULE JAMAA NI NAN LAKINI MSCHANA AKAMKANA BOYFRIEND WAKE AKASEAMA YULE NI KAKAANGU..HIVI UNADHAN KWANN ALIJIBU IVYO.

Kwa kweli kupata mke mzuri wa kuoa ckuiz wanaume tunakazi sana.
NAJUA NA SISI WANAUME TUNA YETU LAKIN WANAWAKE WAMEZIDI
"if you marry good wife you will enjoy life but if you marry bad wife you will become a philosopher"..Aristotle.
MUHIMU:SIO WANAWAKE WOTE WAKO IVYO,JAPO WENGI WAO HASA UMRI KATI MIAKA 18-30

Edited:Nimejaribu kuzungumzia upande wa wanawake,Uhuni ni wazi hata wanaume wanahusika lakini hapa najaribu kutoa mtizamo kwa upande mmoja. Kimsimgi mwanamke mwenye tabia nzuri na anajitambua hawezi kujiita Single wakati na mme wake.
Neno Kuwa SOCIAL limefafanuliwa na Mdau kufuatia maswali mengi kama nilivyo mnukuu "labda nieleze jamaa alicho maanisha hapa...ni kwamba si vzr mwanamke upo na mume au mpenzi wako...lakni unakuwa na uhusiana wa karibu sana na mwanaume mwingine(eg kupigiwa simu mpk usiku-ukiulizwa just friend...si unajua nipo social ninamarafiki wengi)....au kwenye social net work (eg face book) kuna wanaume wanacoment coment maneo ya ajabu ajabu-eti kwa vile upo social unaongea na kuchart na kila mtu....That's digested version ya mshkaji alicho maanisha".....Dr.Mo
Dah I Miss MMU
 
Back
Top Bottom