Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect

lazima ukae

JF-Expert Member
May 15, 2013
789
382
Kumekua na kipaumbele cha pesa kwenye mahusiano mengi sana siku hizi kutoka kwa hawa wanawake wetu tunaowaita wapenzi, baby, honey, laazizi, mahabuba, nyonga mkalia ini,asali wa moyo na majina mengine kadha wa kadha.

Wanawake wengi siku hizi wanajiuza indirect way, tofauti yao na wale wa Ubungo Riverside ni kwasababu wale wa Riverside wanajipanga barabarani wakati hawa tunaowaita wapenzi wetu hawajipangi barabarani ila wanauza kwa appointment.

Siku hizi kuna baadhi ya wapenzi wetu ukikutana nao kwenye sex kisha ukampa tu nauli anaanza kununa na anaondoka kwa hasira, anaweza kaa hata wiki asikutafute.Furaha yake unaiona tu pale ambapo unamtumia pesa au mkitoka kungonoka na kumpa pesa nzuri ya matumizi ndo ataondoka kwa tabasamu.

Wakati mwingine unaweza ukawa unamtumia pesa ya matumizi bila hata ya kukutana nae kimwili lakini hilo yeye wala halizingatii ila anapokutana na wewe kimwili anakua na matarajio ya kupewa kiasi flani cha pesa ambacho alishakikadiria kwenye akili yake kabla hamjakutana chumbani.

Inawezekana wewe kijana mwenzangu upo kwenye mahusiano ya namna hii bila kujua kwamba mwenzako anakuchukulia kama mpenzi wake au mteja wa bidhaa yake ya kipochi manyoya.

Mwanamke wa namna hii ukitegemea uje kumuoa kisha muishi pamoja amini kwamba siku ukiyumba tu kidogo kiuchumi hatosita kutafuta mabwana wengine wa nje ili atumie mwili wake kujipatia pesa.

Nadhani kwa haya machache niliyoandika kila mtu kashajua kama mpenzi wake yupo kwenye kundi hili au la

Kuwa makini na hawa wanawake wanaojiuza huku wakijificha kwenye kimvuli cha mahusiano.
 
umesema wanawake wengi unaweza kuthibitisha hilo?

halafu wewe unamuangalia tu anavyokuchuna humuachi yeye ndo mjinga hapo?
 
Back
Top Bottom