Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 1,729
- 6,792
Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe.
Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na duka/supermarket tyr yenye bidhaa moja renewable hapo kati. Kwa hio moja kwa moja anaanza kusupply mara tu demand ikiwa kubwa (akitongozwa mara 2 / 3).
Tatu, hilo duka wanalodhani wanalo akilini mwao linawapa kiburi hawatulii nyumbani na mume mmoja. Wanakuja kujua too late na hvo wanarudi kwenye biashara yao kama kawaida.
Wajuzi ongezeeni, mie nipo hapa na pisi kali sana moja inaniuliza eti “Kama unampenda mke wako kwa nn uko na mm hapa” Nimeiambia “Namuheshimu mke wangu sababu kanizalia watoto hivyo mambo ninayoenda kukufanyia usiku huu ni yale nisioyafanya kwa mke au mchepuko wangu”
Tukutane asbh ntajibu comments.