Mwanaume kuwa na wanawake wengi ni kutimiza jukumu lake la asili mwanamke kuwa na wanaume wengi ni umalaya

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,417
9,805
Ukiangalia asili inakubali mwanaume kuwa wanawake wengi kwanza kuna kuzaliana mwanaume anaweza akawapa mimba hata wanawake kumi kwa kipindi kimoja ila mwanamke hawezi kubeba mimba kumi kwa mara moja.

Tuongee tu ukweli mwanamke mmoja hawezi kumridhisha mwanaume kimapenzi asili ndio ipo ivyo. Ni wanaume wachache wanaweza kuukwepa huo mtego wa kuwa na wanawake wengi kwa sababu za kuona noma au kukosa hela(mapenzi yamekua gharama upande wa mwanaume). Ingawa kuna wanaume wachache sana wanaamua tu kutulia na mwanamke mmoja wakiwa na uwezo wa kuwa na wanawake wengi.

Mwanaume mwenzangu kama mkeo anakutosha baki nae ila kama ukiona una huitaji wa kubadilisha radha usisite wala kuogopa kufanya ivyo kwa sababu iyo ni nature
 
Back
Top Bottom